Mollel, Amour, Makwega et al.
Mie nafikiri kuwa hamtendei haki huyu jamaa. Kwani nani kasema kuwa ndoa lazima iwe na watoto? Hata hivyo yeye kasha seam kuwa wanamipango yao na ikikamilika watatafuta watoto sasa ndugu Mollel kwanini unsigned subiri halafu ikienda vinginevyo ndo uulize swali lako. Jamani acheni kuiingilia mipango ya watu na zaidi hayo hayana tofauti na majungu ya kijiweni ambako wasiokuwa na kazi za kufanya wanajadili watu. Nafikiri mijadala kama huu hakuna nafasi katika jukwaa hili, hapa tunahitaji kujadili maendeleo na mustakabali wa Taifa letu.
Ken
Sent from my iPad
Sent from my iPad
amour--
Hata mie nikahisi hilo ikabidi nianze kumfanyia ushauri kua kuzaa hakuna uhusiano na kununua gari ama kujenga,haizuiii hata kidogo, jamaa akakomaa ooh hapana nowdays akasema we educated men should plan b4 we get in, ndio maana wengi eti wanafail its bse hawana plans......nikachoka
Huenda ana tatizo kaka nini? au ndio westernization taking place, sisi kwetu masAINI WANGESHAMKALISHA KIKAO MARA 8 THEN watamualiaanyway sjui lakiniOn Thursday, May 1, 2014 2:06 AM, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:
Isije kuwa ana matatizo na sasa kapata kisingizio.Walewale.--On May 1, 2014 2:01 AM, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--nilikua naongea jana na mshkaji wangu mmoja anaeish mkoani huko, basi bana baada ya kuulizana hili na lile nikamwuliza kama kashamwoa rfk yake wa kike mmoja akanambia yes tena sasa wana mwaka wa 3 hivi ktk ndoa yao.Swali la pili kama ilivyo desturi ni mna watoto wangapi, akacheka akasema bado hawajaamua kuzaaa, wako ktk ujenzi ndipo wazae labda kuanzia mwakaniAh, nikaanza kuuliza kwanini, mikaambiwa na mshkaji ni mipango, ktk kumshauuri sana ikaonekana hapana lazima wamalize mipango yao ndio waamue kuzaaa, nikashtuka, nikajiuliza inakuajeniambieni wataalam kupitia hii scenario jamaa yupo sahihi, ndivyo inavyotakikana jamani, watu wa saikolojia ya mapenzi na masuala ya saikolojia mnasemaje hapo banduguNaomba kuwasilisha kwa heshma na taadhima
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment