Kwa wenye kuijua sheria hiyo tafadhari tuwekee hapa au tufafanulie ili tuielewe. Miaka ya nyuma sina uhakika kama palikuwepo na sheria rasmi iliyokuwa imeandikwa.
Na kama ilikuwepo ni lini ilibadilishwa watu wakaacha kwenda JKT kwa mujibu wa sheria hiyo, na lini sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho ya sasa. Ninachokijua ni kwamba ilikuwa huruhusiwi kujiunga na Chuo Kikuu au kwenye ajira rasmi ya serikali kama hujapitia JKT.
Kwa mazingira tuliyonayo leo sijui hiyo sheria ina vikwazo vipi na kama mtu akiivunja adhabu yake nini? Maana hata miaka hiyo ya enzi za Nyerere wapo watu ambao walikacha kwenda na wala hatukuona hatua yoyote iliyochukuliwa juu yao.

2013/9/27 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU 28 SEPTEMBA 2013.--
Vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT awamu ya tatu na pia wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu, wambao wanataka kuahirisha mkataba wa JKT, wanatakiwa kuandika barua Makao Makuu ya JKT kuomba kuahirisha mkataba wa JKT.
1. Barua binafsi kuomba kuahirisha mkataba iwe na picha yake.
2. Nakala ya barua ya kucahguilwa kujiunga na chuo (Joining instructions)
3. Barua hiyo ieleze kuwa utajiunga na JKT baada ya kuhitimu masomo.
4. Barua zao zifike Makao Makuu ya JKT kabla ya tarehe 02 Kotoba, 2013.
ANGALIZO
Kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria ni lazima. Hivyo ni wajibu wa kila mhitimu kuhudhuria mafunzo hayo.
Agizo hili limetolewa na Jeshi la Kujenga Tafia, Makao Makuu.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment