Maggid Historia ina tabia ya kuwafanya watu wafanane nayo. Na hivi ndivyo tulivyo unadhani nini kifanyikee zaidi ya kupigana. Historia zote duniani hazikaamiliki bila vita. Ni kujipa moyo kudhani kwa hali ilivyo hatutaingia vitani. Tunajua tunao maadui wa ndani walioko upande wa pili wakipigana kwa nguvu zote kumsaidia adui, lakini hili halitupi woga. Ni bira kufa ukitetea heshima yako na.watoto wako kuliko kubaki hai ukiwa mnyonge na kuonewa bila sababu. Utakuwa ni usaliti kukaa kimya bila.kusema jambo iwapo tunaona mambo yanaharibika eti kwa kuogopa jirani mkorofi. Nadhanj haitakuwa sahihi. Kuchukuaa hatua ndio huwa jambo la msingi kama wewe ulivyofanya kwaa Ludo wakati wwa saga lile...... Ussiogope katika hili MUNGU yuko upande.wetu tutapigana vita halali, no matter how the enemy is. Yaani katika hili ni aidha tuko pamoja au kinyume.na.sisi.na.hakuuna.sehemu ya katikati, hapa ndipo mtihhani ulipo Maggid. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>;
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com <mabadilikotanzania@googlegroups.com>;
Cc: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Nashauri, Media Yetu Iache Kupiga Ngoma Ya Vita...!
Sent: Sun, Sep 1, 2013 9:48:01 PM
Ndg Majid hakuna atakayemsikiliza JK kwa sababu yeye hataui migogoro yake ya ndani kwa mfumo wa masikilizano. Hii ina maana anatoa ushauri asiouamini CHARITY BEGIN AT HOME______________________________________________ Real Change for Real Development, Lemburis Kivuyo Unlimited Webhosting at TZS. 10,000/-/Month - www.webstar5.net 2013/9/1 Augustine Rukoma <rukomapekee@gmail.com> Maggid, acha mambo ya wakoloni weupe walisha ondoka, hawa weusi Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment