Friday, 27 September 2013

Re: [wanabidii] OPERESHENI KIMBUNGA YAHAMIA MAOFISINI

Naona pia itabidi tuwachunguze hao maofisa uhamihaji kama ni watanzania na kama ni maofisa uhamiaji waliotumwa na serikali. maana tumesikia kuna matapeli wamevamia kitengo hicho kwa spidi kubwa. Wakija ofisini waje wamejiandaa na vielelezo vya kutosha la sivyo wanaweza kuhisiwa ni Al Shabaab. Ni vyema nao wakajiandaa kuwa interrogated na clients wao. Zoezi ni la muhimu lakini tumefika mahala hatuaminiani tena dunia imebadilika

On Fri, Sep 27, 2013 at 8:29 PM, Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Ndugu zangu 

Operesheni Kimbunga ambayo ina lengo la kukamata wahamiaji haramu nchini imeingia rasmi kwenye ofisi mbalimbali zile za serikali na watu binafsi .

Mnapoona watu wa uhamiaji wanapofanya shuguli zao tafadhali wapeni ushirikiano wa mali na mali .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment