Tuache kuweka siasa za ndani kila mahali. Mngewajua m7 na kagame wallah wabillah
Mngeomba watolewe toka zamani.
Kwa sasa kampala hairuhusiwi kukaa zaidi ya watu 2 eti mnajadili siasa au m7. Kiongozi wa upinzani kiiza besigye haonekani takribani wiki 3
On Aug 27, 2013 10:19 AM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:
--Yona,Tangu vita ya pili ya dunia Amerika limekuwa taifa la kibeberu,(imperialist) na ndiyo sababu wanaona kuwa na maslahi pande zote za dunia. Unataka kuniambia hivi leo kuwa Tanzania nayo ni imperialist country?
em--2013/8/27 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>Angalia hapo kuna mataifa kama Marekani yaliyo rasi ya korea , rasi ya arabuni , africom kwa afrika na maeneo mengine duniani kwa ajili ya kulinda maslahi yao ya kiulinzi na usalama ingawa hayo maeneo ni ya mbali , kwanini sisi tunashtuka pale ambapo majeshi yetu yanapotaka kutetea maslahi yetu nje ya mipaka yetu ?Hivi nyie mnajua shida inayosababishwa na vita mashariki ya congo na maeneo jirani ? kwanini hawa watu wasikombolewe ili njia iweze kuwa salama wafanye biashara na tanzania , watanzania waweze kwenda huko kwa biashara zao salama salmini .--2013/8/27 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
--
Maro, Usalama, machafuko na vita vyote vinatokana na umaskini wa akili, roho na mwishowe kuathiri mifuko yetu. Tukishakijitambua hivyo, kujiamini kuwa tunaweza kupambana na umaskini huo, kuthubutu kupambana na kuwa na ujasiri wa kupambana ninaamini umaskini hasa ule uliokithiri utakwisha na kubakiwa na umaskini wa maendeleo ule wa kubadilika kutoa hatua moja kwenda nyingine.
Herment
Date: Tue, 27 Aug 2013 00:41:37 -0700
From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
CC: hmremai1@hotmail.com; hmrema11@hotmail.com
Subject: Re: [wanabidii] Lengo la kagame na mseveni ni moja kutawala afrika mashariki na kati.
Sasa huo umasikini utauondoaje kama baadhi ya maeneo sio salama kutokana na vita au machafuko yanayoendelea maeneo jirani ?
On Monday, August 26, 2013 6:59:03 PM UTC+3, Herment Mrema wrote:Adui mkubwa wa Tanzania ni
Umaskini wa akili, roho na mfukoni. Tumekataa kufikiri, tumekubali kuporwa na kupora, tuna roho mbaya, ubinafsi, ufisadi na matokeo yake mifuko yetu imetoboka
Tutafakari
Herment
Date: Mon, 26 Aug 2013 18:21:16 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Lengo la kagame na mseveni ni moja kutawala afrika mashariki na kati.
From: mng...@gmail.com
To: wana...@googlegroups.com
Adui yetu namba moja ni ujinga, maadui wengine wana take chance kwa sababu ya ujinga wetu wa kushindwa kutofautisha pumba na mchele2013/8/26 Mwema Felix <mwema...@gmail.com>
Adui mkubwa wa Tanzania kwasasa ni:-
umasikini maradhi njaa, na rushwaHao "adui" wengine ni upepo wa kisiasa tu, utapita. Alikuwepo Iddi Amini naye alipita!Lakini takribani kwa miaka hamsini baada ya uhuru, umasikini, njaa, maradhi na rushwa vimeendelewa kuwepo na vitaendelea kuwepo kama hatutochukua hatua stahiki.2013/8/26 Yona Maro <oldm...@gmail.com>Ndugu MugandaNaomba uniambie Adui namba moja wa Tanzania ni nani ? Maana inaonyesha unamahaba na Museveni na KagameLakini katika mafunzo na katika chochote kinachohusu usalama wa nchi hii haswa Jeshi adui namba moja anajulikana hata kama ni kwa siri sana , ni kiongozi yuko maziwa makuu na vyombo vyetu vya usalama muda wote saa yoyote viko tayari kwa ajili ya kumshugulikia .Mie namjua .2013/8/25 Mwema Felix <mwema...@gmail.com>
Sikiliza hii video http://www.youtube.com/watch?v=xUzK5c-V6q42013/8/25 lingson adam <ling...@yahoo.co.uk>Duh!Hakika chuki ya kikabila baina ya Watutsi na Wahutu ikijumuishwa na uchu wa kutawala, na jeuri na kibri, vitaisambaratisha Afrika Mashariki na Kati, isipodhibitiwa. Pongezi kwake Kikwete, walau kusema pale ulipotoa ushauri wazi wazi kwamba Kagame na Kaguta wakae na mahasimu wao! Maana imesaidia yaibuke mengi.
From: Judy Miriga <jba...@yahoo.com>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Cc: Uchunguzionline <uchungu...@yahoogroups.com>; Change Mombasa <changemo...@yahoogroups.com>; Mabadiliko <mabadilik...@googlegroups.com>; "ja...@jaluo.com" <ja...@jaluo.com>
Sent: Sunday, August 25, 2013 1:06 AM
Subject: [wanabidii] Lengo la kagame na mseveni ni moja kutawala afrika mashariki na kati.
--Sabalkheri Chipukizi kadri yake, sawa kabisa na mbiu za mgambo.....Kwa nguvu za Mwenyezi Mungu, inshalah, mawingu yata pita ila tupenye nia pana njia........tufanye hila.......ushirika ni nguvu...........Judy Miriga
Diaspora Spokesperson
Executive Director
Confederation Council Foundation for Africa Inc.,
USA
http://socioeconomicforum50.blogspot.com/From: Fakhi Karume <fka...@gmail.com>
To: wanabidii <wana...@googlegroups.com>
Sent: Saturday, August 24, 2013 12:50 PM
Subject: [wanabidii] Lengo la kagame na mseveni ni moja kutawala afrika mashariki na kati.
Watanzania wenzagu, mabibi na mabwana asalaam alaikum, Bwana Mungu asifiwe.
Paul Kagame na Yowel Museveni ni watutsi (Hamitics) wanaoamini kuwa wao ndio bora mbele za Mungu na wao ni super race (kizazi bora)tuliosalia wabantu kuonekana machoni pao inferior race (kizazi cha ovyo). Hivyo basi ni imani yao kuwa si jambo jema kwa kizazi cha ovyo kuendelea kuneemeka na neema tulizopewa na Mwenyezi Mungu, Ardhi nzuri, milima ya kuvutia, madini ya kila aina, malisho ya mifugo bora, mito maziwa na bahari. Lengo lao linakuwa kuhakikisha kwa njia yoyote ile iwe kumwaga damu yaani vita au vinginevyo wanatutawala na kutanua himaya ya wahima (HIMA EMPIRE).
Ninamjua vizuri Mseveni Yowel Kaguta, kipindi cha vita ya Kagera alikuwa upande wetu tukipambana dhidi ya Idi Amini Dada. Vitani alitumia nick name ya MUYOKA yaani JOKA kifupi cha Museven Yowel Kaguta na wakati mwingine alijibadirisha nick names kulingana na sehemu ya mapambano. Ilifikia wakati nikiwa na wanajeshi wenzangu wa Tanzania tume- take control uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe na ushindi wa kumuondoa Idi Amini umekaribia, makamanda tulianza kujadili ni nani anafaa kuwa rais wa Uganda na ni akina nani wanafaa kuwa wasaidizi wake. Makamanda watiifu kwa kikundi cha Mseveni walimpigia debe lakini sisi watz na jumuiya ya kimataifa tukamuona bado ni cha mtoto kuwa TOP MANYOTA tukamshauri atachukua nafasi fulani nyeti tena ya juu akagoma.
Alichukizwa na hali hiyo akatugeuka na kuanza kutushambulia wanajeshi wa Tanzania na kuangamiza walio wengi sana. Viongozi wetu wa kijeshi ngazi za juu komandi ya mwisho wakatuamuru makomando wote kuwa Museveni amekuwa adui na akionekana popote apatikane akiwa hai au mfu. Huyu jamaa kweli nyoka tulikuwa tunafanya Commando Mission tunaona gari aina ya Land Rover 109 anayoitumia inakatiza eneo la vita akiwemo tunaimwagia risasi nyingi na kuilipua anatoweka katika mazingira ya kutatanisha. Tulimaliza Vita tukarejea Tanzania akiwa amejificha misitu ya KONGO na akitembelea kwa baba yake na Paul Kagame Mzee Rukwavu Kagame ( rukwavu kinyarwanda maana yake sungura) huko Rwanda.
Mikakati yao ni aina moja, wanapandikiza watutsi ukabila wa nchi fulani fulani na kujiita wagoma, wakivu, wasukuma, waha, wahaya, wachaga na kujiita wazanaki lengo kuu ikiwa kujificha Unyarwanda wao (ututsi) ili kutawala sekta nyeti nchi za jirani ili mwisho wa siku mapinduzi yafanyike kiulaini. Hebu jiulize Tanzania usalama wetu uko wapi? Mkoani Kagera watutsi wanyarwanda wanajiita wahaya,wanyambo, wahangaza. Mkoani Singida wamejipachika makabila ya huko wakati huo huo Dar na Kigoma wanajiita waha. Iko siku wanatugeuka! Take care.
Siwezi kutoa siri ya jeshi hata siku moja ila wanasiasa nawatahadharisheni rushwa imekuwa ndiyo mbinu ya kuingia madarakani na ninyi ndio mmekuwa mkiamua mambo ya nchi hivyo kesho na kesho kutwa kikinuka mnatuamuru tuingie vitani. Halmashauri za Kagera wilaya zote ngazi nyeti wameshika watutsi kwa rushwa wanafedha kutoka kwa Kagame na Mseveni kuandaa mpango maalum. Hali kadhalika kwa mikoa ya Kigoma,Tabora, Mara na Katavi ni watutsi ndio madiwani, wabunge, madaktari mahospitalini, wenyeviti wa Halmashauri nk mpango maalum wa Rwanda na Uganda.
Si ngazi hizo tu mpaka mawaziri ni watutsi, iko siku kitanuka kisa wanyarwanda waliojipachika utanzania mkawaruhusu kuongoza wamefanya mipango kuruhusu majeshi na siraha za Rwanda na Uganda kuingia nchini na kuteka maeneo muhimu raia a Tz wakazuiliwa kutoka au kuingia eneo lililotekwa wakatumika kama (HUMAN SHIELD) ngao ya binadamu itakuwa ngumu kuwanasua na kulikomboa eneo husika.
USHAURI: Wanasiasa acheni longolongo, vita si lelemama (sio kwamba naogopa wakianzisha tupo fiti na mziki watauona) ila acheni ufisadi unaoangusha uchumi wa nchi ili vita ikitokea uchumi ukiwa juu inakuwa rahisi kuliko uchumi ukiwa kama hivi ulivyo sasa na oparesheni maalum ya uraia halisi ifanyike bila kuangalia sura taaluma au utajiri wa mtu.
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.---
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--Find Jobs in Africa Jobs in AfricaInternational Job Opportunities International Job OpportunitiesJobs in Kenya Jobs in Kenya

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment