Monday, 1 July 2013

Re: [wanabidii] Msimamo Mkali Wa Vijana Wa Mlimani ( VI)- Nyerere Aliwaita Wajerumani ' Wamasai Wa Ulaya'!

Ungejua wengine wa vyuo mbali mbali hata wakipewa assignment wanaona tabu kusoma vitabu kiufasaha, wanalalamika, anachokuja kufanya ni ku-download, copy and paste-huyo mjini kama mlimani city samaki samaki juu ya viti virefu.

ICT-darasani yupo na laptop kwenye facebook, email, wanabidii-anacheka peke yake. Boom likitoka-magari ya kusotasota na msongamano mitumbani mwenge, makumbusho, Morogoro mjini etc.

Anaingia darasani kichwani baloteli, suruali inaning'inia chini ya matako, dada kapandisha juu breasts zinachungulia nje, kaguo kamembana sana sana anahangaika kukaa. Kutoka bwenini hadi darasani-kwa mzinga wa gari sio atembee. Bwenini mashindano ya TV, fridge, sofa na majipambo mengine ambapo hela hii yote angejenga kwa wazazi na kuweka msingi wa biashara ikawasaidia. hao wa secondari-wanasimu za kisasa na wazazi hawakuwanunulia kutwa mtandaoni. Msachi mwanao kwa kumshitukiza utamuona nayo tu.

Likizo wasomi waliowengi kwa sasa- haturudi nyumbani tupo mjini kwa rafiki lakini vibarua tabu-twajibana bana mjini. Ikija job interview-hatupambi wanachukua wa nchi jirani maana kutwa tupo kijiweni sio kukaa kusoma kuongeza maarifa tatizo. Unafokea mwanao nyumbani na kumuonyesha mifano na kumtaka badala ya kukesha anabofya simu achukue mavitabu hapo asome-umemuudhi, anakesha kajificha chumbani na vikobeko masikioni music au hizo simu zenye TV kutwa hana muda na kuongeza maarifa. Unabaki unamtazama maana ukizidi kusema adrenaline zinakula akili yako, ukimrukia-atakupiga mateke maana hawazingatii mila na desturi kwamba hata uwe mkubwa mzazi akikasirika akupige usirudishie. Unamuacha, unaogopa utakuja kumtwanga stuli ukaishie jela miaka 20 Mungu aliyokubakizia.

Waache waende na wakati. Lakini inapokuja kuonekana kweli pamoja na kulalamika-anajibu yale ya 'My daily bread' anaaibikwa kwa umma hana kisingizio tena.

Kosoa uwe na sababu za msingi, usikosoe nawe umo katika kubomoa, hujitumi. Haki yako ni wajibu wako kama ni elimu soma kwa bidii. Wapo waliopewa hela na mzazi amejinyima lakini amezila, ameomba mkopo kala nazo zimekwisha kabla ya muda. Anapofukuzwa-mzazi anashangaa-kapata double na zimekwisha. Wapo wazazi wanawapa watoto watu wazima ada walipe bank kumuokoa asikae foleni-wanakula, analeta risiti feki, anakwenda shule kumbe hayupo shule yupo mtaani na zikiisha anahamia kwa baba/mama lea muuza pombe naye analewa huko.

Vijana maofisini mafisadi. Bibi kizee kavunjiwa nyumba ya udongo alipwe 20 milioni yeye anampa 20,000/= elfu au laki 2. Bibi hakieleweki anatembea anachoka hajui afanyewe. Inaonekana wamelipwa kumbe hawajachukua hela. Vijana wa sasa si waadilifu pia hata kama wazee ni mafisadi wao nao wamo. Si funding NGOs waliko au Mawizara-rushwa ndio upate tender. Kaanza kazi leo-ana mgari na mjumba.
Kwa siku hizi-Wanaopangiwa Kata, Tarafa, Mashule vijijini hata kama kuna nyumba-hawaendi hakuna umeme, mbali porini etc. Yupo anapata tabu mjini baadhi wanakuwa changu doa au kujikabidhi kwa mama poa, wanaishi kwa tabu kuliko angekwenda kijijini na kuna miradi donor.GVT funded.
Hao ni sawa na yule anayeuza jumba kariakoo kwa bilioni moja plus badala ya kwenda Mkuranga akawekeza akaishi kwa raha, anahamia bondeni jangwani anafukia matope kwa mataka anajenga. Mvua inakuja inaumzoa anapata hasara ya maisha-Yupo mjini kwenye mataa!! Wakirudisha JKT itatusaidia kubadilika, kujifunza ujasiriamali huko na kuwa na utanzania badilika utakaotupa mitazamo chanja sio lawama tu.

Hao huko wasomi Misri vijana wasomi sasa hawamtaki Rais wao. Walidhania hata kama akichukua mwana mabadiliko/mageuzi-kazi zitashuka kama mvua/bwerere dezo. Kumbe si rahisi hivyo, inachukua muda na maandalizi kisector na sio wote wataajiriwa. Sasa wanachoma majengo upya na kuuana. Wanaua na utalii maana vurugu na tourism ndio number 1 income earning activity ya Misri watalii hawatokwenda. Mungu awasaidie vijana wetu kuona jinsi ya kujikwamua.

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, 1 July 2013, 18:17
Subject: Re: [wanabidii] Msimamo Mkali Wa Vijana Wa Mlimani ( VI)- Nyerere Aliwaita Wajerumani ' Wamasai Wa Ulaya'!

Kunyaranyara uelewe elimu inamfanya mtu ajiamini na kuwa analytical kwa mambo mengi. Kuna mwandishi mmoja anayeitwa Paulo Freire aliandika kitabu juu ya education for consciontization and liberation. Nakuomba ukitafute kwenye mtandao ukisome kitakufungua macho.  Kwa madudu yanayofanywa na viongozi wetu si rahisi kwa kijana mwenye elimu ya chuo kikuu akae tu na kunyamaza akifanya hivyo basi fedha iliyomsomesha imepotea bure. Msomi kama huyu anatakiwa kuwasemea wengine ambao hawakupata nafasi hiyo. Usiwachukulie kwamba hawaipendi nchi yao bali ni wajibu wao kukosoa na kukaa kimya ndo kuichukia nchi yao wakiiangalia ikiteketezwa na mafisadi. Kwa lugha nyingine kukaa kimya watakuwa wanawasuport wauaji na wafilisi wa nchi yetu

2013/7/1 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Mathias,
 
Ukweli ni kwamba wasomi wetu ndio hawawapendi watawala wetu. Ndio maana wamegeuza Vyuo vikuu kuwa viwanda vya kutengeneza vijana kuchukia nchi yao.
 
Ambacho huenda hawajui (wasomi hawa) ni kwamba watakapogundua (wanafunzi wao) kwamba waliwaandaa kuchukia ndugu zao watawageukiwa wao kwa lawama kubwa inawezekana kukawa na kulipiza kisasi. ... sijui ...." But I am not a Prophet" 
 
K.E.M.S.
From: Mathias Lyamunda <mathias.lyamunda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 30 June 2013, 9:58
Subject: Re: [wanabidii] Msimamo Mkali Wa Vijana Wa Mlimani ( VI)- Nyerere Aliwaita Wajerumani ' Wamasai Wa Ulaya'!

Maggid Mjengwa,
Unataka kupendekeza Obama angekuwa na mhadhara Nkurumah Hall? Watala wa sasa hawawapendi sana wasomi sidhani kama jambo hilo linaweeza kuzingatia! South Afrika Obama alikuwa na Mhadhara Chuo Kikuu Cha Jo'berg!
On Jun 30, 2013 9:53 AM, "Maggid Mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Na Born Again Pagan

Mwalimu alikipenda Chuo Kikuu (Mlimani)! Alipendelea kuwaleta wageni wa taifa hapo Mlimani kukutana na jamii ya Chuo Kikuu na kubadilishana mawazo, kwa mfano. Rais Josip Tito wa Yugoslavia na Indira Gandhi wa India.

Mwalimu Nyerere alivutwa na wanafunzi wa Mlimani, hususan, wana-TYL. Wakati alipopata nafasi, hakusita kuwakaribisha wana-TYL nyumbani kwake Msasani. Nakumbuka siku moja alokoshwa sana na baadhi ya michango kutoka kwa kundi lilikwena kumtembelea alasiri moja ya Jumapili.

Akiwa amejawa na furaha, Mwalimu Nyerere alitamka...nasikia kuwa wakati mwingine mnaacha raha za wikiendi na kumalizia, pengine, "homework" zenu alasiri za Jumatano zisizo na madarasa kusaidia....Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/3606-msimamo-mkali-wa-vijana-wa-mlimani-vi-nyerere-aliwaita-wajerumani-wamasai-wa-ulaya.html#.Uc_VgpyNCAg
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment