Tuesday, 2 July 2013

Re: [wanabidii] Breakingnews: Kada wa Chadema 43 wafutiwa kesi na Mahakama ya Mafinga:YALIYOJIRI

Kwasababu huwa ninatoa kasoro pale ninapoona kosa au kupindishwa, nachukua heshima hii kumpongeza hakimu Nyakunga na jina lake liwe katika vitabu vya historia ya watu wenye uwezo wa kuthubutu na kulinda heshima ya sheria.
--------------------------------------------
On Mon, 7/1/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Breakingnews: Kada wa Chadema 43 wafutiwa kesi na Mahakama ya Mafinga:YALIYOJIRI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, July 1, 2013, 7:54 AM

Wote huo ni woga wa sisiem
kuondolewa madarakani, nafikiri kwa sasa hakuna cha
kuangalia sheria wala nini bali tukio lolote linaloonekana
kuwaimarisha wapinzani ni kulizuia tu bila kuangalia sheria
au taratibu zinasemaje. Mzee piga piga, ua ua upo? Uelewe
siyo kila unayoita amri halali au sheria ni halali, angalia
sasa sheria zinavyowaumbua mchana kweupe. Nchi ingekuwa na
akina hakimu Nyakunga wengi watakaoangalia sheria bila
kukiogopa chama tutapiga hatua kubwa katika mambo ya kisiasa
na demokrasia.



2013/7/1 mutabaazi
lugaziya <mjlugaziya@mail.com>

  Wasalaam,

Yaliyojiri Mahakama ya Wilaya ya Mufindi hapa Mafinga leo
asubuhi:

1.   Sheria ambayo ingetumika kuzuia shughuli za kisiasa
ili kupisha sensa ni Sheria ya Sensa, (The Census Act) na
sio Sheria ya Vyama vya Siasa (The Political Parties Act)
inayosomwa kwa pamoja na ile ya Polisi na Huduma Saidizi(The
Police Force and Auxiliary Services Act), kwa maana sheria
hizo mbili hazitajwi kuwa na nguvu kuliko sheria nyingine ya
Bunge. Ndio maana siku hiyo hiyo, vyama vingine viliendelea
kufanya shughuli zao za kisiasa, ikiwemo uzinduzi wa kampeni
kule Zanzibar(Bububu)


2.    Amri ya kusitisha mkutano hutolewwa na ofisa husika
aliyetoa kibali cha kufanywa huo mkutano. Kwa hyo haikuwa
sahihi kwa RPC Kamuhanda kuagiza kufutwa kwa shughuli
zilizokwisha pewa kibali.

3.    Amri ya kusitisha mkutano na kutaka waliokusanyika
kutawanyika, inatakiwa kutoa muda ili kuwawezesha
walioamriwa kuondoka kuweza kufanya hivyo, ikiwemo walio
kwenye magari, kupewa muda kutawanyika, jambo ambalo katika
tukio lile la tar.2/9/2012 halikufanyika.


4.  Kosa la kukusanyika bila halali haliwi kosa mpaka
waliokusanyika kuataa kuondoka, hata baada ya muda wa
kutosha kupita tangu walipoamiwa kuondoka. Washtakiwa 36(Red
brigade) na wengine 2 (dreva na kondakta) walikamatiwa Mbeya
na kuletwa kesho yake kuunganishwa kwenye kesi. Aidha,
washtakiwa wengine, akiwamo Naibu Katibu Mkuu-Zanzibar,
Hamad Yusuf, walinyofolewa kutoka ofisi walioizindua baada
ya mlango wa kutokea kuzibwa.


5.   Aidha, kitendo cha watu kukutana ni lazima
kisababishe hofu kwa watu shupavu, sio watu wowote tu, au
ambao wanachukizwa na shughuli ya waliokusanyika.

Badala ya kujibu hoja zilizozaa uamuzi huu, Jamhuri
waliwasilisha hati ya kuwafutia mashtaka washtakiwa watano.
Upande wa utetezi ukakiri mamlaka ya DPP kufuta mashtaka,
lakini ukapinga utaratibu uliotakiwa kutumika kuwa ni abuse
ya discretion. Hakimu alikubali hoja hiyo ya utetezi.


Jamhuri haikujibu neno lolote kati ya hoja zilizo wasilishwa
na utetezi, hivyo Hakimu Nyakunga kuamua kutupilia mbali
mashtaka hayo.

Jamhuri haikusema kama itakata rufaa.

Wakatbahu,

MJL



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

 

 






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

 

 



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment