Nimeona ukweli juu ya ustawi wa nchi ya kenya utakavyokuwa baada ya muda si mrefu, kutoka mawaziri 48 ya mwai kibakii hadi 18 wa uhuru kenyatta, ni dhahili kwanza imepunguza matumizi ya serikali na pili kwa vile si wanasiasa uwajibikaji utakuwa juu, sisi ni masikini kenya wana ahueni ya uchumi kwa vile wanashika nafasi ya kwanza katika EA COMMUNITY, vp sisi na mawairi wetu60 tena ambao hata kazi hawafanyi, je kuna haja ya kuweka ukomo wa idadi ya mawaziri kama wenzetu wakenya kuliko ilvyo sasa kwamba mawaziri watateuliwa tu na rais mpaka pale atakapoona marafiki zake wameisha ndo uwe ukomo wa mawaziri?
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment