Fakhi,
Hakuna kitu kama hicho. Rais wa Muungano bila kujali anatoka wapo ndiye mkuu wa sherehe hizo. Pili, sherehe zinafanyikia kwenye makao makuu ya serikali ya Muungano (ambapo ilipaswa kuwa Dodoma lakini bahati mbaya bado tuko Dar es Salaam).
Hakuna kupokezana kwa nani awe mgeni rasmi wala ifanyikie wapi. Ingekuwa Kikwete ni Mzanzibari ungesema hayo?
Acheni ujuha.
Matinyi.
Date: Sat, 27 Apr 2013 03:43:53 -0700
From: mkmziya@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] HUJUMA ZA TANGANYIKA KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Nijuavyo mimi, kwa mujibu wa Katiba, katika sherehe za Muungano, ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (na si Rais wa Tanganyika) ambaye ndiye amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ndiye anakuwa mwenyeji (host) na kukagua gwaride lililoandaliwa. Nadhani hata wakati wa sherehe za mapinduzi ya Zanzibar (ambazo huwa zinafanyika Zanzibar) Rais za Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ndiye aliyekuwa host, na wengine wote akina JK walikaa jukwaani kuangalia. Hata hivyo ni hoja inayozungumzika kuwa sherehe hizi zifanywe kwa kupokezana. mkm --- On Sat, 4/27/13, amichuzi@gmail.com <amichuzi@gmail.com> wrote:
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment