Monday, 29 April 2013

Re: [wanabidii] Mbunge Lema mikononi mwa polisi.usiku huu

GAUDENCIA NGETI,
 
Mimi naomba tujadili muungano kama ulivyosema badala ya kumjadili LEMA mimi nina ombi kwako, kwa watu mlioko serikalini muungano huu tulionao ni fahari kwenu  lakini kwa wananchi kila siku ni malalamiko kibao kuna mambo mengi sana yanakera sana katika muungano, mimi naomba unisaidie mambo yafuatayo,  kama TANZANIA ni nchi moja inakuwaje tunatumia namba tofauti za usajili wa magari?
 Inakuwaje mtanzania wa bara anaishi kwa wasiwasi kule tanzania visiwani, wakati mtanzania visiwani anaishi huku kwa raha mstarehe? tunakuwaje nchi yenye bendera mbili tofauti na nyimbo za taifa tofauti? kama sisi ni muungano wa mfano wa kuigwa inakuwaje inapotokea uvumbuzi wa rasilimali kwa upande mmoja unaibuka mvutano wa kugombea rasilimali hizo kila upande ukidai haihusu upande wa pili? kama tanzania ni moja kwa nini upande mmoja unadai kutambuliwa kimataifa kama taifa lililo huru, kwa ujumla huu si muungano wenye tija, muungano wenye tija ni ule wa marekani ( united states of America) huu wenu umekaa kisiasa zaidi.
 
  Jambo la pili ambalo nataka niwashauri nyinyi mlioserkalini ni hili: sisi ni taifa masikini sana mimi nashangaa kwa nini hamlioni hilo! ni juzi tu takwimu zimetolewa kuwa hata hapa afrika mashariki sisi ni wa pili kutoka mwisho! nawapa ushauri wa bure kwa umasikini wetu huu ambao hata hivyo ni wa kujitakia kwa watu wenye akili haiwezekani kila mwaka mkatumia mabilion ya shiling kufanaya magwaredi yasio na tija, kwa nini hayo magwaride msiyafanye kila baada ya miaka mitano au kumi hii miaka mingine tukaadhimisha kwa kufanya shughuli za maendeleo? Kwa mfano mwaka jana tuliadhimisha tukatumia mabilioni kuandaa magwaride ma matamasha yanayodumu kwa saa moja na nusu, mwaka huu tungeadhimisha kwa kufanya shughuli za kimaendeleo, kwamba zile fedha tungenunulia magari ya kusomba taka tukaadhimisha kwa kufanya usafi kitaifa si lingekuwa jambo la busara jamani? jamani kila mwaka magwaride matamasha wakati tuna mapungufu mengi sana hata pale muhimbili, hospitali ya taifa wagonjwa wanalala chini hawana vitanda hawana magodoro hivi tunahitaji akili za kutoka wapi ili zije zitusaidie katika mambo kama haya?

2013/4/26 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Yako mambo yanayorahisisha mijadala ya Katiba. Kama Mkuu wa Mkoa angekuwa amechaguliwa na wananchi. BILA SHAKA asinge fanya alichofanya. Nashangaa kuwa alidai kipaza sauti? Ni kweli au kapakaziwa? Tuwekee You Tube hiyo hapa

--- On Fri, 4/26/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>

Subject: Re: [wanabidii] Mbunge Lema mikononi mwa polisi.usiku huu
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, April 26, 2013, 5:02 AM

Ndugu zangu tuache ushabiki,
Kwa wale wanaojua jazba za wanafunzi wanapofikwa na masaibu hawapaswi kubeza hatua alizochukua Lema. Mh Hamis umeshakua kiongozi wa wanafunzi Mhimbili unajua hayo yote. Kwa  wanafunzi waliotaharuki ni rahisi kufanya lolote; Lema amejitahidi kuzuia hilo sisitokee.

Uzoefu unaonyesha kua maranyingi  wanafunzi wanapofanya migomo inahitaji busara kubwa na uvumilivu kuwatuliza. Kwa wanafunzi kuzomea ni njia ya kukuambia kua hawakubaliani na hoja yako. Kwahiyo inapasa kujua lugha ya wanafunzi wenye jaziba.

Pia tukumbuke kua, wale watu wamefiwa na wanasema sio tukio la kwanza (kwahiyo wanaona waliopaswa kuwalinda wamezembea mahali fulani). Mkuu wa mkoa alipaswa kutambua hilo na kujishusha. Nasio kutaka utukufu wa vipaza sauti. Tunaambiwa kua alisema hawezi kuongea na wanafunzi bila kipaza sauti, na hawezi kuongea na watu wasio na nidhamu nk. Tusisahau kua mda wote wenzake waliomtangulia kwenye tukio walikua wanaongea bila kipaza sauti.

Mkuu wa mkoa alipaswa kufahamu kua ile ni dharura na huwezi kutegemea kupata kipaza sauti pale. Na kama alijua hivyo ni yeye ndie alipaswa kubeba kipaza sauti na sio wanafunzi waliofiwa na wenye munkari wakufanya maandamano.

Pia Kuwaambia watu waliotaharuki kua hawana adabu nikuwaongezea jazba. Ukiangalia you-tube utaona hata Lema mwenye alivyokua akikatishwa na kuzomewa na  wanafunzi alipoku akijaribu kuwatuliza na kuwaasa. Lakini tunaona amevumilia kuwasikiliza na kuwaelimisha wanafunzi. Mkuu wa Mkoa alipaswa kufanya zaidi ya Lema (maana kwakawaida unapompa mtu nafasi ya ukuu wa mkoa anapaswa awe na udhoefu wa kiuongozi na hata kutatua migogoro).

Ni ajabu wengine hapa jamvini wanataka kusema kesi ilikua Police kwahiyo Lema alipaswa asifanye chochote. Hapa sio sawa kumbuka pamoja na kua kesi ilikua polisi bado wanafunzi walikua wanataka kufanya maandamano kwenda kwa mkuu wa mkoa. Piq inasemekana nyumbani kwa Mbunge ni jirani na chuoni. Kwahiyo mimi sioni kosa la Lema hapo.

Ninachikiona kwa Mkuu wa mkoa ni inferiority complex 'why mbunge wa upinzani amefanya jambo hili kwa vyovyote atapata sifa na heshima  kuliko yeye mkuu wa mkoa? Hekima ya kawaida inatuambia mkuu wa Mkoa alipaswa kumshukuru Mbunge maana amemsaidia kazi yake kama mwenyekiti wa kamati ya Usalama ya mkoa.

Jamani Tanzania ni yetu sote wote tunapaswa kuungana kuzuia uhalifu ilitusonge mbele. Bila hivyo hakuna cha maana tutakacho kifanya maana vurugu zikitokea hazitaangalia wewe ni CCM, CUF, CHADEMA k´nk  Wahenga wamesha tuasa kua VITA HAINA MACHO.
Alexander

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, April 26, 2013 1:24 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge Lema mikononi mwa polisi.usiku huu

Kama nimesoma yaliyotangulia Lema alikwenda pale kutuliza gasia kwa kutumia umaarufu na kukubalika kwake.
Kama hili ni kosa Basi Mbunge wa Mbeya Sungu akamatwe pia maana wakati wa maandamani ya machinga baada ya Polisi na Mkuu wa Mkoa kuzidiwa walimuomba yeye akatuliza gasia na suluhisho lilipatikana.
Ndicho inasemekana Lema amefanya. Kumuita mhuni kwa kufanya hivyo ni uhuni uliopindukia

--- On Fri, 4/26/13, Gaudencia Ngetti <gaudencia.ngetti@yahoo.com> wrote:

From: Gaudencia Ngetti <gaudencia.ngetti@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge Lema mikononi mwa polisi.usiku huu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, April 26, 2013, 4:07 AM

Lema anajitetea kuwa kama mbunge alisikia kuna mtu kauliwa hivyo ni lazima afike hapo. Hivyo alifika chuoni hapa kujua kulikoni mwanafunzi auliwe kwa kuchomwa kisu. Lakini akiwa njiani ni mita chache tu kijana alikuwa ameuliwa na watu wasiojulikana na kesi ilikuwa polisi lakini huko hakuenda.
 
Kama hoja ni kufika katika kila tukio la kihalifu linalotokea Arusha Mjini Lema ataenda katika matukio mangapi? Lakini pia Jeshi la Polisi litafanya kazi gani kama haya si matusi kwa jeshi hilo? Na je, Lema ana gereza la kuwafunga wahalifu? Tuache ushabiki Lema ni muhuni wa kawaida kabisa asiyetakiwa kutupotezea muda hapa badala ya kujadili masuala ya kitaifa kama siku ya Muungano.
 
Hapa hakuna suala la CCM wala Chadema au CUF, maana hata Chadema makao makuu wanamshangaa! Lema hatafuti umaarufu asilani maana kama ni umaarufu jijini Arusha tayari anajulikana kila kona sawa na Wema Sepetu jijini Dar es salaam. Anachotafuta Lema hata yeye binafsi hajui.
 
Wanaouliza amekamatwa kwa kosa gani wajiulize ni kwa nini alitimua mbio kwenda kujificha vichakani hadi jana akarudi nyumbani kwake usiku akinyatanyata na kuomba mkewe amfungulie kwa siri? Anajua alichokifanya, ni uchochezi na uvunjifu wa amani ambayo adhabu yake inajulikana wazi.

--- On Fri, 4/26/13, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:

From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge Lema mikononi mwa polisi.usiku huu
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, April 26, 2013, 10:11 AM

Mimi nafikiri tunapaswa pia kuacha propaganda za uchonganishi na kutishiana zama hizi.
 
K.E.M.S.
From: alahabgh <alahabgh@hotmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 26 April 2013, 1:49
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge Lema mikononi mwa polisi.usiku huu
Acheni jazba pls, Leo ni sikukuu ya muungano.

Sent from Samsung Mobile on O2
Josephat Isango <joseisango@yahoo.com> wrote:
Kigwangala, umechoka kucheua matusi bungeni unataka kuyaleta kwenye mtandao wetu huku? Jiheshimu. Watu wanakwambia mbunge kakamatwa, wewe unasema uzushi. Ulitaka waseme nini wakati anajulikana amekamatwa. Huyu atateswa au kusumbuliwa kwa misingi ya Vyama, Wewe ulituhumiwa kutishiana Bastola na Bashe na wote hamjawahi kuchukuliwa hatua. Na hiyo ndio serikali ya Chama ambacho wewe ni Mbunge. Nimeangalia link you tube Lema alivyoongea na wanafunzi, na Mkuu wa Mkoa alivyowadharau. Na Polisi kupiga mabomu wanafunz. ..............

--- On Thu, 4/25/13, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:

From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge Lema mikononi mwa polisi.usiku huu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, April 25, 2013, 11:06 PM

Habari nusu nusu za kizushi tu!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
Date: Fri, 26 Apr 2013 08:34:13 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge Lema mikononi mwa polisi.usiku huu
Anatuhumiwa kwa kosa gani?
Swaleh,

On Fri, Apr 26, 2013 at 3:33 AM, mussa juma <mussasiwa@gmail.com> wrote:
baada ya polisi kuzingira nyumba yake eneo la njiro kwa masaa kadhaa hatimayeMbunge wa jimbo la Arusha mjini, Godbless  Lema ameamua kujisalimisha polisi na sasa yupo njiani kwenda polisi
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    

0 comments:

Post a Comment