Lesian Mollel
Si kama nakupinga ndugu yangu Mollel, ila nimependezewa na jinsi ulivyotangaza nia kwa mtindo wako wakipekee. Nawafahamu watu wa Arusha walivyo. Mtu kama Lema anawafaa sana machalii wa pale kwa kuwa ni mtu wao waliyekaa naye vijiwenu na kwenye misheni town nyingi. Lkn nina wasiwasi nawewe unayeishi Dar halafu ukategemea machalii wa Arusha wakukubali kirahisi. Na sikubaliani na hoja ya Arusha kupewa asilimia 30 ya mapato ya utalii kwa kuwa mapato ya nchi hayagawanywi kwa mtindo huo na kama ni upendeleo tu Arusha inapendelewa sana.
Nimefuatilia vurugu za Chuoni Arusha nakubaliana nawe polisi na mkuu wao wa mkoa ni chanzo cha vurugu kuwa kubwa kiasi kile. Wote tumepitia katika uwanafunzi, inapotokea hali kama ile wanafunzi wanahitaji kusikilizwa zaidi kuliko alivyofanya Mkuu wa mkoa kubishana nao. Jibu lilikuwa rahisi tu, sio kubishana na wanafunzi na kutafuta nani mshindi, Mkuu wa mkoa alichotakiwa kufanya ni kuwasikiliza nini kimetokea, kuangalia ukubwa wa tatizo na kulitolea maamuzi ya haraka ikiwezekana kuweka kituo kidogo cha polisi jirani na chuo au kuongeza doria ya polisi kila siku maeneo jirani na chuo.
Wasalaam.
From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, April 27, 2013 11:29 AM
Subject: [wanabidii] Vurugu chuo ars
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, April 27, 2013 11:29 AM
Subject: [wanabidii] Vurugu chuo ars
Salum hutak kukubali au unagoma...ars ndo kwetu dar nipo tu najikusanya baadae nikiwa fit narud kwetu kupambana , kwani kua chuo cha kua mbunge...si kujua kutetea watu wako tu fresh pale in the house....siungi mkono hoja hadi ars yangu ipewe asilimia 30 ya mapata ya utalii nk nk...hata maprof tunawaona humu wanashindwa kuwakilisha hoja zao..hata bungeni nao wanakua wasinziaji tu.....so nategemea kwenda kucontst baadae nitetea kaka zangu, dada zangu, baba zangu nkl....mm kwetu njiro pale korona, mh lema mbunge wangu mpendwa ni jirani yangu.waliomkamata wamkamate tu ila wajue wanazidi kumpa kura 2-15 ashinde kwa kishindo...kimsingi rc ndo chanzo cha vurugu pale uhasibu kwa aliefuatilia, police wanatumika vibaya sana na hawa walio madarakani jamanii
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment