Baadhi ya wabunge wa CCM kuibuka na hoja ambazo mimi naziita hoja za kiugomviugomvii bungeni wanajua wanachokifanya. Wapinzani nao wameingia kwenye mtego huo. CCM wanajua fika mambo mengi yapo ndivyo sivyo hivyo ni bora kukorogakoroga ili kusiwepo na lolote la maana siku zisonge mbele. Uchambuzi wa waliotangulia ni mzuri lakini tujiulize ni kwa nini common sense is no common to our people?. Ni kweli kila mmoja wetu anatakiwa kuwa mbunifu ili kujiinua kiuchumi, naomba nipingane na maoni ya baadhi ya watu humu kwamba watanzania siyo wabunifu. Watanzania ni wabunifu ila mazingira ya uwekezaji si fair kwa kila mtu. Ufisadi uliojaa vichwani mwa tuliowaamini ndo kikwazo kikubwa, wanajifanya wanamipango ya maendeleao kumbe wanadhoofisha jitihada za wenzao ili waendelee kula kuku kwa mrija peke yao.
Kuna mtu katoa mfano wa mwekezaji wa NBC huyu nafikiri haijui vizuri historia nzima ya kuibinafisisha NBC. NBC ilibinafisishwa si kwa sababu wazalendo walishindwa kuindesha bali ni mizengwe mizengwe ya hapa kwetu na mashirika ya pesa duniani yenye nia ya kuutapeli umma wa watanzania. Mbona NMB iliposimamiwa vizuri inasonga mbele?
Ikumbukwe kwamba wakati wa siasa za chama kimoja njia zote kuu za uchumi zilimilikiwa na kusimamiwa na serikali hivyo sehemu kubwa ya pato lililozalishwa na kila mtu kuanzia mkulima lilipelekwa serikalini. Tuliwekeza katika vitu vingi yakiwemo mabenki, reli, majengo, viwanja vya michezo kama vile CCM kirumba na kwingineko. Lilipoanza zoezi la ubinafisishaji pamoja na vyama vingi hatukukaa na kugawana mali zetu tulizokwishazalisha tangu enzi ya mababu zetu. Kilichofanyika ni sawa na kuchukua kila kilichokuwepo (mitaji yetu) na kuwagawia tuliowaita wawekezaji toka nje lakini hawa wana ubia na wengine wa hapa kwetu wasiothubutu kujitokeza hadharani.Pia Kabla ya kubinafsisha hayakufanyika maandalizi kwa wazawa kutokana na mabadiliko hayo badala yake zikatangazwa zabuni haraka haraka ili wazawa washindane na makaburu, masetela toka Kenya na kwingineko duniani. Kuna mtu katoa mfano wa mwekezaji wa NBC huyu nafikiri haijui vizuri historia nzima ya kuibinafisisha NBC. NBC ilibinafisishwa si kwa sababu wazalendo walishindwa kuindesha bali ni mizengwe mizengwe ya hapa kwetu na mashirika ya pesa duniani yenye nia ya kuutapeli umma wa watanzania. Mbona NMB iliposimamiwa vizuri inasonga mbele?
Hapo tulitegemea nini kama si wazawa wote kupigwa nje ya mashindano hayo? Sasa hivi kuna mpango wa mradi wa mabasi Kasi katika jiji la Dar es salaam na hapo hapo wamiliki wa Daladala wameambiwa wajiunge na kuwa na kampuni zenye mabasi 100 au zaidi ndo watapewa leseni za biashara hiyo. Ili washindane na kampuni ambayo sijui ni ya kigeni au hapa kwetu ambayo tayari ina mtaji wa kutosha pamoja uzoefu. sijui mpango huu nao tunaita ubunifu? Je hao wamiliki wa daladala 1 au 2 tuwaite kwamba hawana ubunifu? Ili ubunifu wetu uweze kuonekana lazima mazingira ya biashara na shughuli zetu kwa ujumla
2013/4/27 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Wanabidii,
Mimi ninakubaliana na Bahati kuwa issue hapa ni idea ambayo inaweza kututoa tulipo twende mbele zaidi. Kupondana bungeni hakuna maana kwani haitusaidii. Tukubali kuwa umaskini unachukuliwa kama biashara tena biashara inayolipa sana la sivyo kama haingekuwa hivyo ingekuwa imekwisha filisika na umaskini ukaisha. Pili ninaamini ili tukubali kuamka usingizini lazima tukubali kwamba nchi hii ni ya "mataahira" , watu wasiokuwa na uwezo wa kufikiri na kama wasomi ni "educated fools" kwani kama tupo na tukakubali kuwa sisi ni wajinga hivyo tubadilike na tukakubali kubadilika na tukajitambua sisi sio mataahira, na tukajiamini tunaweza kufikiri na kuthubutu kuchukua hatua kwa kuuchukia umaskini kwa nguvu zetu zote na kuuchukia kwa nguvu zetu zote "Mkakati wa Kuondoa Umaskini Binafsi (MKUKUBI)" Kuutekeleza MKUKUTA kwa dhati ingetuchukua miaka 5 tu tungebadilika kabisa. Hi hoja ya kujenga uwezo wa mkulima mdogo kushiriki kupanga bei kwenye inputs na outputs markets in mwarobaini wa kumaliza umaskini lakini ninashangaa hakuna anayethubutu kuangalia hoja hii na kulitekeleza.
Ukweli ndio huo na mara nyingi ukweli unauma naomba radhi kwa maneno makali.
Tutafakari
Herment
Date: Sat, 27 Apr 2013 19:19:07 +0300From: ribahati@gmail.com
Subject: Re: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
To: wanabidii@googlegroups.comKuwa na wawakilishi wenye mawazo chanya ndiyo mwarobaini wa umaskini wetu. Mbowe ana idea ya majimbo. Kabla hatujaishutumu na kuibatiza tunavyoweza kusema, tuangalia maana yake na implication yake. Si ajabu migogoro kama ya Mtwara...... isingekuwepo kama idea hii ingekuwa implemented. Tunapiga kelele kufeli kwa wanafunzi, give the idea. Kilimo, give the idea, malaria, give the idea. ............... Sio kuonyeshana tu kuwa huyu ni wa CCM hawezi kutoa hoja au huyu ni wa DCM hawezi kutoa hoja. Wapinzani, wekeni self interests pembeni, undeni coalition moja, tunashindwa na vijana wadongo kama akina Ruto na Kenyatta? Coalition imara ita tip balance ya system ya utawala halafu kutakuwa na discipline katika madaraka kwa kuwa chama fulani kitajua kama kisipoemplement ideas vizuri hawatachaguliwa tena. Kama marekani wangekuwa wanaweka self interests kwenye siasa basi mtu kama Obama asikekaa awaze kuwa rais wa marekani. The man had an idea and he was given a chance to implement his idea and soon he is going to be remembered hasa baada ya Helth Care Bill kuwa sheria. That was his fresh idea. Bring forth your ideas guys. Don't just play dirty politics while the situation remains the same all the time.Asante Ngeti kwa kutoa uchambuzi ambao ni angalizo, uchambuzi unaoonyesha mambo yalivyo na si mambo yanavyopaswa kuwa. Wananchi sasa tunaangalia tu mwakilishi wetu kachochea vipi maendeleo katika jimbo lake. Tunaangalia jinsi mwakilishi wetu alivyobuni mbinu za kupunguza umaskini kwa watu hasa vijana. Tatizo la Tanzania si umaskini, tuna kila kitu, tatizo ni mbinu, idea. Mzungu, Mwarabu, Mchina, Mkenya, Mnigeria, Mhindi anakuja Tanzania na idea lakini hana senti mfukoni zaidi ya ile ya kulipia work permit. Anakopa hapa hapa, anaempliment idea yake nzuri, anatuajiri sisi kwa ujira mdogo anakuwa bilionea hapa hapa. Baadaye sisi ndo tunakurupuka kuiga wakati yeye alishamaliza. Kuna mifano mingi. Sina uhakika na data hizi ila rafiki yangu alinieleza jinsi Makaburu walivyokuja na idea ya kununua benk ya NBC kwa Bilioni 21 pamoja na madeni yake ya bilioni 45. wakaweza ku-claim madeni yale yote ndani ya muda mfupi, baada ya kuclaim madeni wakawa na bilioni 45 pamoja na asserts zote nchi nzima. Hivyo walipewa benk bure na bilioni 25 juu kwa mantiki hii. . Hakuna wasomi, wanasiasa, wabunge, watanzania waliokuwa na idea? Angalia mzungu wa samaki samaki (sorry to mention a particular person) amekuja hapa na idea, akaifanyia kazi, sasa kila mtu anaenda kupata service kwake. Angalia mahoteli yote makubwa na hata madogo ya kitalii, kuna au mhindi au Mkenya meneja amevaa suti analipwa $3,000 kwa mwezi wakati weiters, wapishi, walinzi ndo watz wanallipwa Tsh 150,000/=Wabunge wetu, mmekuja na idea gani kwenye majimbo yenu ambapo sisi wapiga kura tutasema "yes" Mfano mzuri ni kama Mh. Mnyika alivyovalia njuga suala la Maji katika jimbo lake. Kuna wakati wabunge walipinga hoja zake, leo hii wale wale wanakuwa mbogo kupigania bajeti hiyo. Mnyika ana kitu cha kuwaambia wapiga kura wake 2015, nimefanya hiki na kile na kinaonekana. Naamini sasa hivi sisi wapiga kura hatuangalii sana ni chama gani tunachagua, au nani anatukana zaidi bungeni, tunaangalia "does she/he has an idea? a new idea?"
2013/4/27 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>FelixKwa nyongeza, mazingira ya sasa ni tofauti na yale ya wakati wa kudai uhuru hivyo hata mikakati yake lazima iwe tofauti, ilikuwa muafaka kuzungumzia kumwaga damu wakati ule lakini kwa leo hii sio muafaka, wengi watakaa nyuma kusubiri wengine watende!!Ngetti,Nimeupenda uchambuzi wako, wasipokuelewa basi.
2013/4/27 Gaudencia Ngetti <gaudencia.ngetti@yahoo.com>
Inavyoonekana wengi hatuna historia ya rise and fall ya vyama vya upinzani hapa nchini. Lakini pia hatujui dalili za magonjwa yanaoua kila chama cha upinzani kinachojitahidi kuinua kichwa dhidi ya CCM.Kwanza ijulikane kuwa hata hao CHADEMA tunaowasema si wabunge wake wote na viongozi wenye nia ya dhati kabisa ya kutaka kuking'oa CCM madarakani. Kinachopiganiwa ni mkate wa kila siku na si kingine.NCCR-Mageuzi ilikuwa na dalili zake za kufa, wengine tuliandika mapema na kuonya kiasi cha kuitwa manabii. Kikaja kufa hivyo hivyo. Ikaja CUF na ngangari dhidi ya ngunguri ya Omar Mahita. Hapa pia wachambuzi wakaandika na kuonya kuwa kutokana na misingi thabiti ya nchi hii, ukija na sera yoyote inayoonesha sura na taswira ya vurugu kwa hakika huwezi kufika mbali.Kuna dalili zote kuwa mwisho wa Chadema uko mlangoni. Kauli za kina Peter Msigwa si za kukuza chama cha siasa katika nchi yoyote iliyo na misingi ya ukomunisti ulioyeyuka.Mbowe analijua hili vizuri sana na anafahamu kuwa mwisho wa chama chake ni 2015 maana baada ya kushindwa kutafuatia kukata tamaa kukubwa.Wanabidii, naomba niwape kwa mara nyingine utabiri wangu. NCCR-MAGEUZI ita-gain momentum na itakuja kuwa threat kwa CCM siku chache zijazo kuliko CHADEMA. Uongozi wa James Mbatia unaweza kukuza chama maana Watanzania wa jana, wa leo na wa kesho ni wapenda amani hata kama amani huwa na mwisho kwa muktadha wa uvumilivu.Kinachofanyika bungeni na wabunge wa Chadema ni ulimbukeni wa siasa ambao siku zote huwa na mwisho mbaya. Naamini kuna njia mbalimbali ambazo wabunge wa Chadema wanaweza kufikisha ujumbe bila kutunisha misuli na matusi.Lakini pia ikumbukwe kuwa wabunge wa CCM ni wajanja sana. Wao majimbo yao yanaendelea, Chadema wanasusia. Watakuja kukumbuka shuka kumekucha.Mfano tumeona kwenye uundwaji wa MABARAZA ya Katiba. Ni Chadema hao hao ndio walipitisha utaratibu wa namna ya kuwapata wajumbe wa mabaraza hayo. CCM ikaanza kujipanga mapema, sasa wameingiza watu top. Chadema wao walikuwa wakiandamana na kuzunguka na people's power.Nawaambieni, mwakani kuna uchaguzi wa Serikali za mitaa. Chadema wameganda kwenye mabaraza ya katiba na tembo wanaoibiwa. CCM tunawaona wanavyozunguka sasa hivi nyumba hadi nyumba kuweka mambo sawa. Chadema inasubiri kampeni mwakani bila kujua ushindi katika siasa ni mahesabu si wingi wa watu na kura. Wakija kupigwa wataanza kudai wameibiwa kura. Yetu macho, wengine hatuna dini wala siasa.
--- On Sat, 4/27/13, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
Date: Saturday, April 27, 2013, 9:19 AM
Mimi nahisi Fadhili amemsahau Arfi wa Mpanda kwenye list yake ya watu anaowakubali!!!!!--
2013/4/27 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
Kaka lipumba kayazungumza yale yale wanayozungumzaga chadema, kama
kupwaya kwa kiti, na majibu ya mawaziri, kuzungumzia udhaifu wa
chadema bungeni imekuwa kosa? hili ni tatizo kubwa sana watu
tunamalazi ya kupenda hata upuuzi ambao hautusaidii kama watanzania.
On 4/27/13, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
> Fadhili, Hiyo ni hotuba? Na wewe tunakufahamu kwanini unamkubali ZZK tu.
> Vin
>
>
> 2013/4/27 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
>
>> ALIOZUNGUMZA LIPUMBA TATIZO LIKO WAPI? MBONA KAONGEA YA MSINGI NA
>> MAMBO YA UZALENDO, TATIZO LENU HAMPENDI KUKOSOLEWA HATA KATIKA MAMBO
>> YA MSINGI. HII NI NCHI YETU SOTE NA SI YA CHADEMA NA CCM. Binafsi
>> katika wabunge wa chadema namkubali ZITTO TU hata hoja zake bungeni
>> zina mashiko na maslahi kwa taifa, wengine mipasho na vurugu
>> tu.nawaasa wabunge wengine wa ccm na chadema wajifunze kwa ZITTO.
>> Tatizo kubwa la wabunge wa chadema wameingia katika mtego wa ccm
>> wabebakia kurumbana na kusahau yamsingi kwa taifa na hilo ndilo
>> walilotaka ccm.
>>
>> HII NDIO HUTUBA YA LIPUMBA
>>
>> Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni
>> zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti
>> wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,
>> kushindwa kujenga hoja na mbinu za kuwabana wabunge wa Chama Cha
>> Mapinduzi (CCM).
>>
>>
>> Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CUF, Profesa
>> Ibrahim Lipumba alisema wabunge wa Chadema wana tabia ya kufuata mfumo
>> wa kwenda bungeni na hoja zinazobeba chama chao na si za Watanzania
>> wote kama jinsi CCM wanavyofanya.
>>
>> "Kambi rasmi ya upinzani imepoteza uwezo wa kujenga hoja za mashiko na
>> mbinu madhubuti za kuwabana wabunge wa CCM bungeni na badala yake
>> Chadema, wamekuwa na tabia mbaya ya kubeba chama chao," alisema
>> Profesa Lipumba.
>>
>>
>> Alisema kambi rasmi ya upinzani pia imeshindwa kulinda utaratibu mzuri
>> wa kutetea masilahi ya umma bila jazba na hoja zenye mashiko kama
>> ilivyokuwa miaka ya nyuma ilipokuwa ikiongozwa na CUF, Kiongozi huyo
>> alisema kambi ya upinzani inapaswa ijipange upya kwa utaratibu na
>> mikakati mizuri ya kuteta hoja za wananchi bila kuyumbishwa na wabunge
>> wa CCM.
>>
>> "Bunge usiwe uwanja wa kuonyesha mbwembwe za chama bali uwe uwanja wa
>> kutetea haki za wananchi, wabunge wanapaswa wabadilishe mitazamo ya
>> kuona bungeni ni sehemu ya kujionyesha kisiasa na chama chako
>> kinafanya nini nje ya Bunge," alisema Lipumba.
>>
>>
>> Alisema viongozi wa Serikali wanapaswa kubadilika kuhusu namna ya
>> kutoa majibu bungeni.
>>
>> Profesa Lipumba alisema mawaziri wengi wanakuwa wakitoa majibu mepesi
>> katika maswali ya msingi yanayoulizwa na wabunge wa upinzani.
>>
>> Alisema Bunge linatumia muda na pesa za walipakodi vibaya kwa baadhi
>> ya wabunge kuwa na ubishi usiokuwa na tija, kutoleana matusi na
>> wengine kuingilia hoja za wenzao bila sababu za msingi.
>>
>> Profesa Lipumba pia alisema Spika wa Bunge, Anne Makinda amepoteza
>> uwezo wa kuliongoza Bunge.
>>
>> Mwananchi
>>
>>
>>
>> On 4/26/13, lingsadam@yahoo.co.uk <lingsadam@yahoo.co.uk> wrote:
>> > Elisa, ndugu yangu nadhani unafikia hitimisho sivyo ndivyo na kwa
>> > haraka.
>> > Umejuaje hawajasoma link?umejuaje wameudhika? Binafsi nimeisoma hiyo na
>> huo
>> > ndiyo mchango wangu. Si lazima nichangie kwenye kila hoja, mathalan. Na
>> sio
>> > kila hoja iwavutie wachangiaji wote.
>> > -----Original message-----
>> > From: ELISA MUHINGO
>> > Sent: 26/04/2013, 22:38
>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>> > Subject: RE: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA
>> > NI
>> > VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>> >
>> >
>> > Wasomaji wangefuatilia link wangeweza kuchangia mjadala vizuri.
>> > Mahala fulani anasema Mawaziri wanashindwa kujibu hoja makini
>> zinazotolewa
>> > na wabunge wa chadema. Kuna mahala amemlaumu Speaker kwa kushindwa
>> kuendesha
>> > bunge. Basi kwa sababu kichwa cha mada kimewaudhi wachangiaji ila
>> > Lipumba
>> > ameongea ya maana
>> >
>> > --- On Fri, 4/26/13, lingsadam@yahoo.co.uk <lingsadam@yahoo.co.uk>
>> wrote:
>> >
>> >
>> > From: lingsadam@yahoo.co.uk <lingsadam@yahoo.co.uk>
>> > Subject: RE: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA
>> > NI
>> > VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>> > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> > Date: Friday, April 26, 2013, 12:12 PM
>> >
>> >
>> > Nadhi hii ni nzuri. Chadema watakumbuka kuwa kukataa kuwa na vyama
>> vingine
>> > vyenye wabunge bungeni kuunda ka,bi rasmi ya upinzani bungeni ni fursa
>> > na
>> > changamoto. Lipumba kapata pa kushika pabaya.
>> >
>> > Lakini kwamba enzi CUF kinaongoza kambi ya upinzani hoja zilikuwa nzito
>> hata
>> > kuwabana wabunge wa CCM hapo tena Lipumba katia chumvi nyingi. Na pia
>> > ni
>> > vema kuwa ndoa ya vyama hivi viwili kule zanzibar imekuwa kama sindano
>> > ya
>> > ganzi kwa chama cha wananchi.
>> >
>> > Mwisho, nadhani mkakati wa wabunge wa chadema, bila kujali labels
>> > wanazopewa, uko effective si tu ktk kukibeba chama chao bali pia
>> > kujaribu
>> > kusukuma agenda za kitaifa. For in an oppressive atmosphere the best
>> > good
>> > people can do is try to disobey the bad laws!
>> > -----Original message-----
>> > From: hkigwangalla@gmail.com
>> > Sent: 26/04/2013, 20:47
>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>> > Subject: Re: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA
>> > NI
>> > VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>> >
>> >
>> > Duh! Sasa siasa imepamba moto! CUF rasmi katika uwanja wa siasa za
>> uzalendo
>> > zaidi!
>> > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>> >
>> > -----Original Message-----
>> > From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
>> > Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> > Date: Fri, 26 Apr 2013 10:33:17
>> > To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
>> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> > Subject: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI
>> > VINARA
>> > WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>> >
>> > Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni
>> > zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti wa
>> > Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kushindwa
>> > kujenga hoja na mbinu za kuwabana wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
>> > <http://www.blogger.com/null>
>> >
>> > Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CUF, Profesa
>> > Ibrahim
>> > Lipumba alisema wabunge wa Chadema wana tabia ya kufuata mfumo wa
>> > kwenda
>> > bungeni na hoja zinazobeba chama chao na si za Watanzania wote kama
>> > jinsi
>> > CCM wanavyofanya.
>> >
>> > Taarifa hiiinaendelea kwa undani hapa chini:
>> >
>> >
>> http://goldentz.blogspot.com/2013/04/profesa-lipumba-aiponda-chadema-na.html
>> >
>> > --
>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> > Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> > an
>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Wasalaam,Denis Matanda,Mine Planning Supt,Tanzania." Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:
Post a Comment