Thursday, 31 January 2013

[wanabidii] Re: Museveni na Kagame Kuiponza Afrika ya Mashariki

Siku moja utakuja kuwa kiongozi na tutakuomba utoe ufafanuzi kuhusu
tuhuma ulizotoa hapo juu , Ubaguzi uliouonyesha haukubaliki hata
kidogo .

On Jan 31, 8:57 pm, Boniface Magessa <magess...@gmail.com> wrote:
> Shit!
>
> On Thursday, January 31, 2013, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
> > Ndugu Magessa
>
> > Kama unadhani kusema habari za uwongo na uzushi kuhusu taasisi za
> > ulinzi na usalama ni haki yako endelea hivyo hivyo lakini ujue viko
> > kwa ajili yako wewe na wengine na havina ubaguzi wowote ule na
> > haijawahi kuwa hivyo hata siku moja .
>
> > Tuendelee kuwasiliana huku tukiheshimu vyombo vyetu vya ulinzi na
> > usalama .
>
> > On Jan 31, 7:06 pm, Ansbert Ngurumo <ansbe...@yahoo.com> wrote:
> >> Huu nao ni ugonjwa wa akili. Kichaa, eh?
>
> >> Ansbert Ngurumo
> >> Managing Editor
> >> Free Media
>
> >> P.O. Box 15261
> >> Dar es Salaam
> >> Tanzania
>
> >> Mobile      .+255 719 001 001
> >>                   +255 767 172
>
> 665www.freemedia.co.tzwww.voxmediatz.comwww.ngurumo.wordpress.comwww.ngu...
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> >> ________________________________
> >>  From: "mati...@hotmail.com" <mati...@hotmail.com>
> >> To: wanabidii@googlegroups.com
> >> Sent: Thursday, January 31, 2013 6:59 PM
> >> Subject: Re: [wanabidii] Museveni na Kagame Kuiponza Afrika ya Mashariki
>
> >> Trash.
>
> >> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
> >> ----- Reply message -----
> >> From: "Abdalah Hamis" <hamis...@gmail.com>
> >> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> >> Subject: [wanabidii] Museveni na Kagame Kuiponza Afrika ya Mashariki
> >> Date: Thu, Jan 31, 2013 3:35 am
>
> >> Ndoto ya siku nyingi ya Wanyarwanda (Watusi) ya KUTEKA na KUTAWALA
> >> eneo lote la Maziwa makuu (DRC, Uganda, Rwanda, Burundi, TZ na Kenya),
> >> inaelekea kutimia.
>
> >> Baada ya kuzitawala Uganda (Gen.Yoweri K. Mseveni), Rwanda (Gen. Paul
> >> Kagame) na DRC (Gen. Hypolite Adrian Christophe Kanambe a.k.a Joseph
> >> Kabila ambaye ni ndugu wa damu wa Mkuu wa Majeshi ya P. Kagame yaani
> >> James Kabarebe).
>
> >> Sasa Madikteta hao 3 wa maziwa makuu wako hatua za mwisho za kuivamia
> >> TZ aidha Kijeshi kama walivyochukua madaraka ya nchi hizo au kiujanja
> >> kupitia rushwa wanazowahonga viongozi wetu na kujikuta wakiwagawia
> >> vyeo sekta vyeti za maofisa wa TISS, Ofisi za mawaziri, na hata Ikulu
> >> eti wengine ndio washauri na walinzi wa Marais wetu, Uhamiaji, TRA,
> >> TBS, Polisi, Magereza, JWTZ nk, ardhi wanapewa kama njugu hidi ekari
> >> 500, hivyokujikuta TZ ikichukuliwa bila jasho.
>
> >> Kila kukicha tunashuhudia watu wanaozikosoa serikali wanavyopigwa /
> >> kuuawa /kubambikiziwa kesi na polisi katika nchi zote hizo na TZ
> >> ikiwemo, Uganda (Kiza Besige), Rwanda (Victoire Ingabire) na TZ
> >> Viongozi wa upinzani hasa CDM na CUF na kwa watetezi wa wanyonge Msitu
> >> wa Mabwepande ni kiboko yao, hawa ndio mkobozi na tegemeo la wananchi
> >> wa nchi hizo, Hii ni kwasababu maofisa polisi nchi zote hizi lao ni
> >> moja kukuza (Himaya ya watusi) kwa TZ maofisa polisi wazalendo ni
> >> wachache zaidi 80% wananuka rushwa na wengine ndio hao wenye asili ya
> >> Kagame na wengine ni shame sake Kagame (wameoa wanyarwanda), ndio
> >> maana serikali ya TZ na mipango yake iko uchi mbele ya Kagame na
> >> Mseveni, mipango iayopangwa Dar es salaam inafika Kigali na Kampala
> >> ndani ya masaa 24.
>
> >> UPANUAJI WA HIMAYA YA WATUSI AFRIKA MASHARIKI NA KATI
>
> >> Madikteta hawa 3 wa eneo la maziwa makuu Y.Museveni, P. Kagame na
> >> J.Kabila waliandaliwa nchini TZ chini ya uongozi wa J.K.Nyerere kwa
> >> nyakati tofauti-tofauti ndio maana 85% ya walinzi wa J.K. Nyerere
> >> walikuwa Wanyarwanda (watusi). 1959 Tanganyika ilipokea wakimbizi wa
> >> Kinyarwanda kutoka Rwanda na kuwapeleka kambini Mwese wilayani Mpanda,
> >> 1978 wakimbizi hao wa Kinyarwanda walipewa uraia wa TZ ikiwa ni baada
> >> ya miaka 19 tu ya ukimbizi wao, wanyarwanda hao walisambazwa nchi
> >> nzima, wakiwa kambini mwese walipewa huduma zote muhimu kama elimu,
> >> afya nk serikali ya CCM ilitumia rasilimali za TZ kuwasomesha ikiwa ni
> >> hatua muhimu ya kuwaandaa kwa ajili ya kurudi Rwanda kuitawala.
>
> >> RPF waliandaliwa vizuri TZ, Rais P. Kagame alisomea na kuandaliwa
> >> nchini na mafunzo ya kijeshi pia kapatia TZ.Mnyarwanda J.Kabila rais
> >> wa sasa DRC amesomea na kusomeshwa TZ, amesomea pia Chuo cha Maofisa
> >> wa Jeshi Monduli (Arusha-TZ)1972 kwa shingo upande Tz ilipokea
> >> wakimbizi wa kihutu kutoka Burundi na Rwanda, hii ilikuwa baada ya
> >> J.Nyerere kuwakataa, aliwapokea baada ya tamko la rais wa Kenya muda
> >> huo J. Kenyatta kutangazia dunia kuwa kama Nyerere hawataki atatuma
> >> ndege kuwapeleka Kenya Nyerere ikabidi tu awapokee. Wahutu hao
> >> wamepewa uraia wa TZ 2012 ikiwa ni baada ya miaka 40 ya ukimbizi wao,
> >> hawa wao hawajasambazwa nchi nzima,-hawa hawakuandaliwa kurudi
> >> kuchukua madaraka ya nchi zao, elimu mwisho darasa la 7, sekondali
> >> kidato 1-4 vimejengwa makambini mwao miaka 1998 baada ya Kagame
> >> kuichukua Rwanda na kuanza uvamizi DRC, kabla ya hapo hata waliokuwa
> >> wakifaulu kuendelea na elimu ya sekondari majina yao wakuu wa shule za
> >> misingi makambini (watanzania na wengine wanyarwanda) walikuwa
> >> wakiyauza.-wamekuwa wakisingiziwa eti ni waharibifu wa mazingira
> >> (wanakata miti ovyo, wawindaji haramu katika hifadhi za Katavi)
>
> >> Swali;
> >> 1) wanyarwanda miaka hiyo 19 hawakukata miti yeyote?
> >> 2) Ikiwa serikali ya TZ iliwapiga marufuku kujihusisha na shughuli
> >> zozote za kisiasa bunduki za kuwindia wanyama wanazitoa wapi?Ukweli-
> >> wameiingizia TZ fedha nyingi kutokana na kilimo chao cha tumbaku.RPF
> >> ya Kagame kwa kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la mort,
> >> inatekeleza mauaji ya wahutu wote wasomi eti ndio waliosababisha
> >> genocide 1994.
>
> >> Rwanda genocide/mauaji ya hal> Kagame nae ameshajiongezea umri wa
> uchaguzi ...
>
> >> read more »
>
> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>
> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.> ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>
>
>
>
> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment