bandugu, mwenzenu niliacha siku nyingi kusoma hoja za yona maro kwa sababu huwa zinanichefua, lakini leo niliamua kuisoma hoja moja ya yona maro baada ya kuona amejibiwa na dokita lwaitama. nilipoisoma ikihusu umri wa dokita slaa itakapofika 2015, amini usiamini nimelazimika kwenda uani kutapika! kicheere, tungi, kigamboni, tanganyika territory
--- On Thu, 1/31/13, Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:
From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> Subject: RE: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU To: wanabidii@googlegroups.com Date: Thursday, January 31, 2013, 3:47 AM
Yona Maro, Hivi nani amekwambia Dr Slaa atagombea Urais mwaka 2015? Na hata kama ikiwa hivyo kwa chama chake kumbembeleza agombee kama kilivyofanya 2010 na wananchi wakamchangua kama walivyofanya 2010 na kura zake zikachakachuliwa , wewe ni nani kuendelea na kututiatia hofu ya kijinga ya eti atakuwa amepitiliza mwaka wa kustaafu kwa zaidi ya miaka 7, wewe inakukera nini? Rais ni mkuu wa nchi, ni nembo ya utaifa wa watu wa nchi husika. Si eti ndiye anayetoa maamuzi yote. Tena huko mbele ya safari ni mara chache sana kutakuwepo Rais wa umri mdogo labda katika mazingira ya mapinduzi ...sasa wewe sema hivi: katiba isema lazima Rais awe tusema miaka 35 na kuendelea kama inavyosema katiba ya Marekani... lakini hata babu wa mika 80 anaweza kuchanguliwa kuwa Rais... sasa hivi mkuu wa nchi ya Uingereza ni Malkia Elizaberth ambaye ana umri zaidi ya miaka 80... na mkuu wa nchi ya Vatican ni umri kama huo... Wewe unataka tujadili Dr.Slaa kuwa wewe binafsi na wana CCM wa aina yako msingependa awe Rais wa Tanzania au una hoja ya msingi kuhusu umri wa Rais? Kama upendi Dr Slaa awe Rais si useme hivyo na utaeleweka maana wapo wengi wasiopenda Dr. Slaa awe Rais vile ni mtu mwadilifu na hasiye na makuu katika mambo ya msingi kuhusiana na utawala wa nchi. Tena hajawahi kuusaka urais kwa udi na uvumba kama Rais wa sasa wa Tanazania kwa tiketi ya CCM!!!! Ana mapungufu ya kibinadamu katika mambo yanayohusu yeye na mambo yake ya kifamilia lakini wote tunayo mapungufu ya aina hiyo ...Wale ndani ya Usalama wa Taifa wanapanga kila kukicha kumuua Dr Slaa wakidhani kifo chake kitakisambaratisha Chadema ni wajinga kwani ilo kamwe halitazima kiu ya Watanzania walio wengi ya kuoindo CCM madarakani. kwa kukichangua Chadema pamoja na mapungufu ya chama hicho...Kutafuta kumchafua Dr Slaa pia ni ujinga kwani ilo pia halitafanikiwa kuzima kiu ya Watanzania walio wengi ya kutamani Chadema impendekeze tena dr Slaa kama mgombea wa kiti cha Urais kwani " dr Slaa anaweza" hata kama mafisadi wanaogopa atakachowafanya mara akiingia Ikulu maana wanajua itakuwa kazi kuonga lolote ili eti awasamehee!! Mwl. Lwaitama > Date: Wed, 30 Jan 2013 14:06:00 -0800 > Subject: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU > From: oldmoshi@gmail.com > To: wanabidii@googlegroups.com > > Ndugu zangu > > Ukisoma Wasifu wa Dr W P SLaa inaonyesha amezaliwa 29 October 1948 na > mwaka 2010 wakati anagombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA > alikuwa na miaka 62 miaka 2 zaidi ya umri wa Kustaafu kwa mfanyakazi > wa Umma kwa Tanzania . > > Mwaka 2015 akigombea tena kwa tiketi ya CHADEMA au CHAUMA atakuwa na > miaka 67 amepitiliza miaka 7 ya kustaafu . > > Tukumbuke wanasiasa vijana wamewahi mara kadhaa kutoa maoni yao kuhusu > umri wa Umri wa kugombea Urais upunguzwe na uwe na kikomo . > > Tunaweza tusikubaliane katika mambo mengine lakini suala la ukomo wa > umri ni muhimu kwa maslahi ya Nchi yetu na watu wake . > > -- > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com > > Kujiondoa Tuma Email kwenda > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > > Disclaimer: > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. > --- > You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. > > -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment