Krismasi iliyopita, tuliamua kununua bata na kwa bahati mbaya hatukuwa
tumemwalika mtu yeyote maana tulitaka iwe sikuu ya familia yetu (siku
hiyo mimi nilikuwa kibaruani na nilifika nyumbani around 22:00). Ila
siku tunanunua bata wakati tunaelekea nyumbani kijana mmoja (Mwislamu)
alitufuata akidai ameshapata hela ya kununulia chakula kwani alikuwa
akituomba tumpe atuchinjie huyo bata na wife akakubali na kisha
akatulamba (500/- au 1,000 kama sikosei) kama malipo. Hatukuona soo.
Sasa haya yanapojitokeza ndipo naanza kupata picha. After all, siku
hizi kuna mihadhara mingi ya wazi ya Kiislamu ya kuukashfu Ukristo na
Wakristo (live na recorded) na hakuna kiongozi wa juu serikalini
anayeikemea na pengine nayo inawezekana imechangia. Mfano, kuna baadhi
ya Waislamu mkitofautiana kidogo na kama wewe ni Mkristo anakuita
kafir na pia kuna CDs zinauzwa na hata mahubiri live yanayosema:
"Usimfanye kafir rafiki yako, ukiona anakuchekea ujue kuna kitu
anakitafuta kutoka kwako. Kuwa mwangalifu!" Ni mahubiri yanaotia
kinyaa na nadhani wanaoyahubiri pia haziwatoshi kichwani mwao lakini
ndivyo mambo yanavyokwenda.
On 1/30/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
> Wa Kunyaranyara,
> Hata Waislamu 2010 walihamasisha wenzao wampigie kura Muislamu mwenzao.
> Hili si siri.
> em
>
> 2013/1/30 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>
>> Hilda
>>
>> Umesema kweli kabisa, mimi ninavyoona hao wachungaji wetu sasa wamekosa
>> hoja ya kuwahubiri waumini wao wanaanzisha fujo. Walianza kwa kuwaeleza
>> waumini wao wakati wa uchaguzi mkuu 2010 kuwa wawahi kwenda kupiga kura
>> kwa
>> mkiristo mwenzao na kama huwezi kuwahi basi usije kanisani kabisa ili
>> tuwe
>> na kiongozi Mkiristo.
>>
>> Hili nililisikia mimi binafsi, leo wanahamisha matatizo yao
>> waliyoyaanzisha wao na kusingizia wengine. Mimi naona wanalenga uchaguzi
>> ujao 2015, wameona wasiowataka wameanza na gea mpya (wanapaa) na wao
>> wanazusha lingine. Ngoja tuone kama ni shida tutapata wote. Wapuuzi sana.
>> Wanataka kuliangamiza taifa lakini haitawezekana wataangamia wao wenyewe.
>>
>> K.E.M.S.
>> *From:* Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>> *Sent:* Tuesday, 29 January 2013, 14:17
>>
>> *Subject:* Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na
>> Muislam
>> **
>> Daima wakristu wanapokuwa na sherehe makwao humuita muislamu kuchika
>> mnyama wa sherehe-mbuzi, kondoo, kuku, ng'ombe ili waislamu waweze
>> kushiriki sherehe hiyo ya mlo. Waislamu kuchinja ktk machinjio ya umma na
>> sherehe za mjumuiko nao kwa upande wa dini nyingine haijawa tatizo. Huyo
>> mkristu anayegoma ana lake jambo. Atafute lingine hatopata support ya mtu
>> yoyote ni destruri ya jamii ya kiafrika kabisa TZ kukubali moslem
>> wachinje
>> Wasira was right. Hata baadhi ya sherehe mfano kifo-watani ndio wapikao
>> SIO
>> mfiwa ama sivyo mfiwa ukianza kupika mwenyewe watakushangaa. Shetani
>> kaivaa
>> nchi. Bado mengine yaja. Mfano itaanza- 'kila mtu wa dini fulani asome
>> shule za dini hizo, atibiwe hospitali za dini yake etc.' watu watazalia
>> mlangoni mwa facility hizo kwa kutokupowewa wapate huduma. Mungu
>> atusaidie.
>>
>> --- On *Tue, 29/1/13, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>* wrote:
>>
>>
>> From: matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Tuesday, 29 January, 2013, 19:02
>>
>> Tanzania kwishinehi. Ujinga wa waasisi wa udini. Haya ni
>> mavuno.********T-Mobile.
>> America's First Nationwide 4G Network****----- Reply message -----**From:
>> lucsyo@gmail.com**To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>**Subject:
>> [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam**Date: Tue,
>> Jan 29, 2013 12:29 pm******Hili tamko jamani mbona limekaa ki mrengo wa
>> kushoto, na tena limetolewa na chombo kikubwa kama hicho******Sent from
>> my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania****-- **Jobs in Africa -
>> www.wejobs.blogspot.com**International Jobs -
>> www.jobsunited.blogspot.com*
>> ***Kujiondoa Tuma Email kwenda **wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> ****Disclaimer:**Everyone posting to this Forum bears the sole
>> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and
>> hence
>> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
>> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
>> abide
>> by our Rules and Guidelines.**--- **You received this message because you
>> are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.**To unsubscribe
>> from this group and stop receiving emails from it, send an email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.**For more options, visit
>> https://groups.google.com/groups/opt_out.******** -- ** Jobs in Africa -
>> www.wejobs.blogspot.com** International Jobs -
>> www.jobsunited.blogspot.com
>> ** ** Kujiondoa Tuma Email kwenda **
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma** ** Disclaimer:** Everyone posting to this Forum bears the
>> sole responsibility for any legal consequences of his or her postings,
>> and
>> hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued
>> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
>> abide
>> by our Rules and Guidelines.** --- ** You received this message because
>> you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.** To
>> unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.** For more options,
>> visit https://groups.google.com/groups/opt_out.** ** **
>>
>> -- ** Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com** International Jobs -
>> www.jobsunited.blogspot.com** ** Kujiondoa Tuma Email kwenda **
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma** ** Disclaimer:** Everyone posting to this Forum bears the
>> sole responsibility for any legal consequences of his or her postings,
>> and
>> hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued
>> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
>> abide
>> by our Rules and Guidelines.** --- ** You received this message because
>> you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.** To
>> unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.** For more options,
>> visit https://groups.google.com/groups/opt_out.** ** **
>> ****
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment