Wednesday, 30 January 2013

Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam

Matinyi,
Hao ndiyo Watanzania wa 2015.
Yangu macho.

Walewale.

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, January 30, 2013 8:25 PM
Subject: RE: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam

Haya ni mambo ya kipuuzi na yamesababishwa na kinara mmoja ambaye sasa anatapatapa kila mahali na kwa kweli hali itakuwa mbaya kama mwendo wenyewe ndio huu.
 
Ushauri wangu: Tumpuuze aliyetuchonganisha (anajulikana sana), na akishakufa turejee kwenye ustaarabu wetu. Huu ni usumbufu mkubwa na wote tutalipa gharama kubwa sana ambayo haistahili.
 
Matinyi.

From: EMbise@africanbarrickgold.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam
Date: Wed, 30 Jan 2013 15:53:50 +0000

Mimi nafikiri na hili swala la kutoa fedha ndio uchinjiwe nalo linaweza kuchangia..
Ni mtazamo wangu tu maana wengine hata hiyo mia au mia mbili ni taaabu kuipata.
 
safety has no luck play your role
Emmanuel G Mbise | Mine Captain Conventional| African Barrick Gold (Pty) | Phone: +255 (22) 2600 508 Ext: 6061 |  Mobile: +255755347135 Fax: +255 (22) 2600 222 | Address: Bulyanhulu Gold Mine, African Barrick Gold, P.O. Box 1081, Dar es Salaam, Tanzania | Email EMbise@africanbarrickgold.com
 
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Bart Mkinga
Sent: Wednesday, January 30, 2013 4:58 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam
 
Kuna jambo la msingi ambalo sote tunastahili kufahamu, nalo ni kwamba waislam wenye misimamo mikali ya kidini na wakristo wenye misimamo mikali ya kidini hawawezi kuishi pamoja. Ili tuishi pamoja ni lazima kila upande utumie hekima ya kutambua uwepo wa mwingine. Kama kila upande unataka upate yote, hakika nchi yetu haiwezi kukalika kwa amani.
 
Mambo haya tunayoyaona sasa ni matokeo ya uongozi mbaya wa serikali yetu na kwa kiasi kikubwa CCM ambayo ilipalilia sana udini kwaajili ya kunufaika kisiasa. CCM ndiyo iliyopandikiza fikra za kuwa CUF ni chama cha kidini, chama kwaajili ya waislam ili tu wakristo wasikiunge mkono. Kwenye hilo walifanikiwa, baadhi ya wakristo ambao hawakuwa na chama waliamini hivyo. Wapo walioacha kuiunga CUF kwa kuamini tu ni chama kwaajili ya waislam, na pia wapo walioiunga mkono kwa kuamini kuwa ni chama kwaajili ya waislam. Hatimaye CUF ikapoteza nguvu, na CCM ikanufaika.
 
Mbinu iliyotumika kuidhoofisha CUF, ndiyo pia iliyotumiwa sana na CCM mwaka 2010 dhidi ya CHADEMA, japo haikufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwa CHADEMA lakini imeleta madhara makubwa kwenye umoja wa Taifa letu. CCM naona inataka kuondoka na ilichokileta. TANU na CCM ya akina Nyerere na Kawawa iliwaimarisha sana Watanzania hata wakajiona ni wamoja kwa kila hali licha ya tofauti zao za kiimani, kimakabila na kimaeneo, CCM ya leo inataka kuondoka na Umoja uliojengwa na TANU na CCM ya zamani.
 
Kwa kuwa CCM na serikali wamejitahidi kupalilia tofauti za kidini, ni lazima wananchi tukatae maana watakaoathirika si serikali wala CCM bali wananchi ambao wengi wao hawana uwezo wa kuhimili utengano na ugomvi wa kidini. Serikali na CCM badala ya kutusaidia kuimarisha na kulinda umoja wetu, wenzetu wanafurahia utengano wetu kwaajili ya kutaka kututawala hata kama tukiwa vilema, sasa ni lazima viongozi wa dini wenye hekima wakutane na kujadili na kukubaliana mambo fulani ambayo yanaweza kutusaidia kuendelea kuwa pamoja. Jamii yetu ndiyo hii ya mchanganyiko mkubwa, hakuna anayeweza kuibadili, ni lazima tufikirie na kuamua jinsi ya kuishi pamoja kwa furaha na kwa mshikamano huku kila mmoja akitambua na kuthamini uwepo wa mwenzake. Kwenye hilo ni lazima kila upande uwe tayari kutoa kiasi fulani kwaajili ya mwenzake, hasa katika mambo yale ambayo hayaharibu msingi wa imani yake.
 
Si busara wala hekima hata kidogo kwa viongozi wa serikali kutamka kuwa ni lazima mnyama achinjwe na muislam bila ya kuelezea ni mazingira gani yanyoongelewa. Kijijini kwangu mimi, hakuna waislam kabisa, labda kama ni msafiri. Sasa unaposema ni lazima mnyama achinjwe na muislam, unataka wakamtafute wapi? Kuna wakati aliwahi kuwepo mwalimu mmoja Bwana Mahamoud, wakitaka kuchinja ng'ombe walikuwa wanamtaarifu, naye alikuwa na hiari ya kwenda kuchinja (kama siku hiyo anatarajia kununua nyama ya ng'ombe) au hapana. Wasira na Mkuu wa Mkoa wameongezea tatizo badala ya kutatua. Kinachoweza kusaidia hapa ni 'tolerance', wala siyo sheria. Kwenye sheria, katiba imekwishatamka kuwa ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini, na kama ukisema uchinjaji mnyama ni ibada, basi serikali haina haki ya kutoa mwongozo juu ya uchinjaji wa mnyama zaidi ya masuala yanaohusiana na kanuni za afya na leseni.
 
Bart
From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, January 30, 2013 2:16 PM
Subject: Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam
Bwana Victor, nahisi masuala haya ya kuchinja huyajui vizuri,lakini kimsingi naomba uelewe kuwa hata sheria za nchi zinatamka kuwa masuala ya kuchinja ni masuala ya imani za dini. Wewe unasema kwa muda mrefu waislamu wamechinja na hakuna baya lililokupata,labda nikuulize,umetazama haya mabaya kwa mtazamo upi? Kama masuala ya kuchinja ni masuala ya imani za dini,wanaoweza kuainisha madhara ya kuchinja au kuchinjiwa na watu fulani ni viongozi wa dini. Kwa hili ningeliomba umsikilize kiongozi wako wa dini akueleze faida na madhara yake. Nikianisha wazi mtazamo wangu mimi, kimsingi hakuna imani halali yenye haki ya kumchinjia mtu wa imani nyingine nyama yake. Nikiamua kula nyama iliyochinjwa na mtu wa imani nyingine,basi  nimeamua mimi kwa uhuru wangu na hii haikuhalalishii wewe kuwa na haki ya kunichinia mimi. Na nikikataa usinichinjie nina haki ya kufanya hivyo na hakuna wa kunilazimisha.Katika biblia imeandikwa,msile mnyama na uhai wake,bali mwageni damu yake na kuleni nyama yake. Kwa andiko hili,nyama ni halali ya wanadamu,bali uhai wa mnyama ni halali ya Mungu wangu. Kama Mkristo,ningefurahi kuchinja kwa jina la Yesu Kristo ili mnyama yule awe dhabihu safi mbele za Mungu.Napingana na wote wanaotaka kuwakandamiza Wakristo kwa hili na ninaungana na wopte wanaopigania kuheshimu uhuru wa wawakristo katika kujilia mnyama wao kwa kadri ya imani yao. Kama wewe ni mkristo na ukiona huelewi haya,basi ujue ni utoto tu kwa kiroho ndio unaokusumbua,ukielimishwa utaelewa.Ngupula
 
From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 30 January 2013, 9:56
Subject: RE: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam
Hivi kweli Watanzania wenzangu tumekosa ajenda za maana kwa mustakabali wa maendeleo taifa letu hadi tunajadili masuala ya kuchinja kidini? Mbona wameendelea kuchinja kwa miaka yote hii na hakuna baya lililotupata? Naweza kuamini kwa dhati kwamba shetani ameingia hapa nchini na tusipomkataa atatutesa mpaka tukome. Naanza kuona dalili za kuzuka uhasama wa kidini na hatimaye mauaji kama tunayoshuhudia nchi mbali mbali. Sisi tulioelimika tukemee huu ujinga. Mungu gani anayependa vurugu na mauaji ya innocent people? Lazima tuone madhara ya huu udini kwa maono mapana na tutumie kila fursa tunazopata kuyakemea. Hakuna tija yyt katika hili. Lets focus ktk mambo yanayojenga Tanzania kama nchi. Hili linatia kinyaa kulijadili
On Jan 30, 2013 8:42 AM, "Mbise, Emmanuel (Bulyanhulu)" <EMbise@africanbarrickgold.com> wrote:
Mimi nafikiri kuna kitu zaidi ya haya tunayoyaona na pia ukiangalia haya yamekuja wakati wa utawala huu tena kipindi cha baada ya uchaguzi mkuu 2010 wakati viongozi wa chama tawala walipokosa hoja za msingi na matokeo yake ndio hayo chokochoko zimekuwa nyingi sana na waliyoyaanzisha wamekaa kimya nao wanalalamikia kwa mbaali sana.
Kwa hali hii Tanzania yenye Amani na utulivu kama wanavyojisema wamedumisha haipo tena, sababu ni kuhamishia akili za tumbo kichwani, mimi mtu anayeongelea ubaguzi wa DINI wale ni wakristo na hawa ni waislamu sipendi hata awepo hapa duniani hakupaswa kuwepo kabisaaaaa.
Haya ndio MAUA ya kuhubiri UDINI walioupanda  kwenye majukwaa ya siasa MATUNDA yako njiani tuyasubiri maana ya Mtwara tulikaa kimya yametokea ndio kila mtu yuko kule.
Tatizo tunapenda kutibu majeraha tu hatujui kama makovu hayatibiki ambayo huwa yanaacha maswali ambayo hayana majibu.
 
safety has no luck play your role
Emmanuel G Mbise | Mine Captain Conventional| African Barrick Gold (Pty) | Phone: +255 (22) 2600 508 Ext: 6061 |  Mobile: +255755347135 Fax: +255 (22) 2600 222 | Address: Bulyanhulu Gold Mine, African Barrick Gold, P.O. Box 1081, Dar es Salaam, Tanzania | Email EMbise@africanbarrickgold.com
 
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Hildegarda Kiwasila
Sent: Wednesday, January 30, 2013 1:17 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam
 
Daima wakristu wanapokuwa na sherehe makwao humuita muislamu kuchika mnyama wa sherehe-mbuzi, kondoo, kuku, ng'ombe ili waislamu waweze kushiriki sherehe hiyo ya mlo. Waislamu kuchinja ktk machinjio ya umma na sherehe za mjumuiko nao kwa upande wa dini nyingine haijawa tatizo. Huyo mkristu anayegoma ana lake jambo. Atafute lingine hatopata support ya mtu yoyote ni destruri ya jamii ya kiafrika kabisa TZ kukubali moslem wachinje Wasira was right. Hata baadhi ya sherehe mfano kifo-watani ndio wapikao SIO mfiwa ama sivyo mfiwa ukianza kupika mwenyewe watakushangaa. Shetani kaivaa nchi. Bado mengine yaja. Mfano itaanza- 'kila mtu wa dini fulani asome shule za dini hizo, atibiwe hospitali za dini yake etc.' watu watazalia mlangoni mwa facility hizo kwa kutokupowewa wapate huduma. Mungu atusaidie. --- On Tue, 29/1/13, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> wrote:
From: matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam To: wanabidii@googlegroups.com Date: Tuesday, 29 January, 2013, 19:02
Tanzania kwishinehi. Ujinga wa waasisi wa udini. Haya ni mavuno. T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network ----- Reply message ----- From: lucsyo@gmail.com To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Subject: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam Date: Tue, Jan 29, 2013 12:29 pm Hili tamko jamani mbona limekaa ki mrengo wa kushoto, na tena limetolewa na chombo kikubwa kama hicho Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment