Ndugu Magessa
Kama unadhani kusema habari za uwongo na uzushi kuhusu taasisi za
ulinzi na usalama ni haki yako endelea hivyo hivyo lakini ujue viko
kwa ajili yako wewe na wengine na havina ubaguzi wowote ule na
haijawahi kuwa hivyo hata siku moja .
Tuendelee kuwasiliana huku tukiheshimu vyombo vyetu vya ulinzi na
usalama .
On Jan 31, 7:06 pm, Ansbert Ngurumo <ansbe...@yahoo.com> wrote:
> Huu nao ni ugonjwa wa akili. Kichaa, eh?
>
>
> Ansbert Ngurumo
> Managing Editor
> Free Media
>
> P.O. Box 15261
> Dar es Salaam
> Tanzania
>
> Mobile .+255 719 001 001
> +255 767 172 665www.freemedia.co.tzwww.voxmediatz.comwww.ngurumo.wordpress.comwww.ngurumo.blogspot.com
>
> ________________________________
> From: "mati...@hotmail.com" <mati...@hotmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Thursday, January 31, 2013 6:59 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Museveni na Kagame Kuiponza Afrika ya Mashariki
>
> Trash.
>
> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
> ----- Reply message -----
> From: "Abdalah Hamis" <hamis...@gmail.com>
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: [wanabidii] Museveni na Kagame Kuiponza Afrika ya Mashariki
> Date: Thu, Jan 31, 2013 3:35 am
>
> Ndoto ya siku nyingi ya Wanyarwanda (Watusi) ya KUTEKA na KUTAWALA
> eneo lote la Maziwa makuu (DRC, Uganda, Rwanda, Burundi, TZ na Kenya),
> inaelekea kutimia.
>
> Baada ya kuzitawala Uganda (Gen.Yoweri K. Mseveni), Rwanda (Gen. Paul
> Kagame) na DRC (Gen. Hypolite Adrian Christophe Kanambe a.k.a Joseph
> Kabila ambaye ni ndugu wa damu wa Mkuu wa Majeshi ya P. Kagame yaani
> James Kabarebe).
>
> Sasa Madikteta hao 3 wa maziwa makuu wako hatua za mwisho za kuivamia
> TZ aidha Kijeshi kama walivyochukua madaraka ya nchi hizo au kiujanja
> kupitia rushwa wanazowahonga viongozi wetu na kujikuta wakiwagawia
> vyeo sekta vyeti za maofisa wa TISS, Ofisi za mawaziri, na hata Ikulu
> eti wengine ndio washauri na walinzi wa Marais wetu, Uhamiaji, TRA,
> TBS, Polisi, Magereza, JWTZ nk, ardhi wanapewa kama njugu hidi ekari
> 500, hivyokujikuta TZ ikichukuliwa bila jasho.
>
> Kila kukicha tunashuhudia watu wanaozikosoa serikali wanavyopigwa /
> kuuawa /kubambikiziwa kesi na polisi katika nchi zote hizo na TZ
> ikiwemo, Uganda (Kiza Besige), Rwanda (Victoire Ingabire) na TZ
> Viongozi wa upinzani hasa CDM na CUF na kwa watetezi wa wanyonge Msitu
> wa Mabwepande ni kiboko yao, hawa ndio mkobozi na tegemeo la wananchi
> wa nchi hizo, Hii ni kwasababu maofisa polisi nchi zote hizi lao ni
> moja kukuza (Himaya ya watusi) kwa TZ maofisa polisi wazalendo ni
> wachache zaidi 80% wananuka rushwa na wengine ndio hao wenye asili ya
> Kagame na wengine ni shame sake Kagame (wameoa wanyarwanda), ndio
> maana serikali ya TZ na mipango yake iko uchi mbele ya Kagame na
> Mseveni, mipango iayopangwa Dar es salaam inafika Kigali na Kampala
> ndani ya masaa 24.
>
> UPANUAJI WA HIMAYA YA WATUSI AFRIKA MASHARIKI NA KATI
>
> Madikteta hawa 3 wa eneo la maziwa makuu Y.Museveni, P. Kagame na
> J.Kabila waliandaliwa nchini TZ chini ya uongozi wa J.K.Nyerere kwa
> nyakati tofauti-tofauti ndio maana 85% ya walinzi wa J.K. Nyerere
> walikuwa Wanyarwanda (watusi). 1959 Tanganyika ilipokea wakimbizi wa
> Kinyarwanda kutoka Rwanda na kuwapeleka kambini Mwese wilayani Mpanda,
> 1978 wakimbizi hao wa Kinyarwanda walipewa uraia wa TZ ikiwa ni baada
> ya miaka 19 tu ya ukimbizi wao, wanyarwanda hao walisambazwa nchi
> nzima, wakiwa kambini mwese walipewa huduma zote muhimu kama elimu,
> afya nk serikali ya CCM ilitumia rasilimali za TZ kuwasomesha ikiwa ni
> hatua muhimu ya kuwaandaa kwa ajili ya kurudi Rwanda kuitawala.
>
> RPF waliandaliwa vizuri TZ, Rais P. Kagame alisomea na kuandaliwa
> nchini na mafunzo ya kijeshi pia kapatia TZ.Mnyarwanda J.Kabila rais
> wa sasa DRC amesomea na kusomeshwa TZ, amesomea pia Chuo cha Maofisa
> wa Jeshi Monduli (Arusha-TZ)1972 kwa shingo upande Tz ilipokea
> wakimbizi wa kihutu kutoka Burundi na Rwanda, hii ilikuwa baada ya
> J.Nyerere kuwakataa, aliwapokea baada ya tamko la rais wa Kenya muda
> huo J. Kenyatta kutangazia dunia kuwa kama Nyerere hawataki atatuma
> ndege kuwapeleka Kenya Nyerere ikabidi tu awapokee. Wahutu hao
> wamepewa uraia wa TZ 2012 ikiwa ni baada ya miaka 40 ya ukimbizi wao,
> hawa wao hawajasambazwa nchi nzima,-hawa hawakuandaliwa kurudi
> kuchukua madaraka ya nchi zao, elimu mwisho darasa la 7, sekondali
> kidato 1-4 vimejengwa makambini mwao miaka 1998 baada ya Kagame
> kuichukua Rwanda na kuanza uvamizi DRC, kabla ya hapo hata waliokuwa
> wakifaulu kuendelea na elimu ya sekondari majina yao wakuu wa shule za
> misingi makambini (watanzania na wengine wanyarwanda) walikuwa
> wakiyauza.-wamekuwa wakisingiziwa eti ni waharibifu wa mazingira
> (wanakata miti ovyo, wawindaji haramu katika hifadhi za Katavi)
>
> Swali;
> 1) wanyarwanda miaka hiyo 19 hawakukata miti yeyote?
> 2) Ikiwa serikali ya TZ iliwapiga marufuku kujihusisha na shughuli
> zozote za kisiasa bunduki za kuwindia wanyama wanazitoa wapi?Ukweli-
> wameiingizia TZ fedha nyingi kutokana na kilimo chao cha tumbaku.RPF
> ya Kagame kwa kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la mort,
> inatekeleza mauaji ya wahutu wote wasomi eti ndio waliosababisha
> genocide 1994.
>
> Rwanda genocide/mauaji ya halaiki 1994 Rwanda ina makabila 3,wahutu
> 85%, watusi 14% na watwa 1%,tangu mwanzo baada ya watusi kufika Rwanda
> 1500 walilazimisha kuwatawala wazawa waliowakuta (watwa na wahutu)
> kwani watusi wanaamini kuwa waliumbwa kwa ajili ya kutawala na
> makabila mengine yapo ili yawatumikie wao. Sintifahamu hiyo iliendelea
> hadi miaka 1950 pale shujaa Gregory Kayibanda (mhutu) alipodai uhuru,
> 1959 watusi kwa dharau wakakimbilia TZ wakikataa kutawaliwa na mhutu
> mtumwa wao.
>
> 1994 watusi hao chini ya RPF ya Kagame akisaidiana na J. Kabila,J.
> Kabarebe na K.Nyamwasa kipindi hicho Jean Bikomagu (mtusi na kibaraka
> wa Kagame nchini Burundi) waliivamia Rwanda baada ya kutungua ndege ya
> rais mteule wa Rwanda Juvenal Habyarima na ujumbe wake wote wakitokea
> Dar (TZ) kutokea DRC, Burundi,Uganda na TZ. Wahutu wakaamua kujihami
> kwa kutumia mapanga. ICTR ilianzishwa na Kagame ili azidi kuwamaliza
> wasomi wa kihutu na ndio maana Kenya iliikataa ICTR katika ardhi yake
> sababu ni chombo cha kikabila. ICTR ilikubaliwa kwa sababu Wanyarwanda
> wana mizizi mirefu katika sarikali ya TZ, na tayari TZ imeshapata
> hasara ya uwepo wa ICTR katika ardhi yake kwani ni RPF ya Kagame kwa
> kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la mort iliyomuua Pr.Jwani
> Mwaikusa mtaalamu mzalendo na mhadhiri wa sheria UDSM, J.Mwaikusa
> akiwa wakili wa washitakiwa katika ICTR-Arusha alibainisha kuwa
> mshitakiwa namba 1 ni P.Kagame kwani bila Kagame na RPF waliotungua
> ndege ya J. Habyalimana rais wa Rwanda 1994 genocide isingekuwepo.
>
> Serikali ya CCM ikafunika kombe mwanaharamu Pr. J. Mwaikusa akafa,
> akazikwa, akaoza. Serikali ya CCM haikuchukua hatua dhidi ya wauaji wa
> Mwaikusa kwasababu na yenyewe huwa inatumia kikosi hicho cha Kagame
> kuua inaodhani kuwa wataiumbua H.Mwakiyembe kweye taarifa aliyoitoa
> kwa IGP S.Mwema alibainisha kuwa anawindwa auawe na wabaya wake
> wamewakodi Wanyarwanda, al-shabab na waganda IGP Mwema akauchuna.
>
> Kagame ndie dikteta wa kwanza duniani kuua watu wengi. A.Hitller
> (Mjerumani) inasemekana aliua Wayahudi milioni tano(5,000,000), Idd
> Amin (Uganda) inasemekana aliua Waganda laki 3.5 -5, P.Kagame
> inasemekana ameua watu milioni sita(6,000,00).
>
> Ushahidi
> 1. Waliouawa 1994 baada ya genocide isingekuwa Kagame isingetokea,
> 2. Wakimbizi wa kihutu milioni 2.5 waliouawa na J.Kabila, J.Kaberebe
> na K.Nyamwasa mashariki mwa DRC kwa amri ya Kagame,
> 3. Mauaji ya Jean Bikomagu nchini Burundi,
> 4. Mauaji ya Laurent Nkundabatware (Nkunda) na M23 mashariki mwa DRC,
> 5. Mauaji ya watanzania wanaouawa ovyo mikoa ya Kagera na Kigoma
> wanyarwanda wanapochungia maelfu ya ng'ombe wa Kagame, Museveni na
> mawaziri wao,
> 6. Mauaji na uporaji unaofanywa na wanyarwanda katika pori la
> Biharamulo. Baada ya dunia kuzishutumu Rwanda na Uganda kuwa nyuma ya
> M23 na kuomba nchi zijitolee askari kwenda DRC, rais TZ J. Kikwete
> kupitia waziri wa ushirikiano wa kimataifa B. Membe kutangaza kuwa TZ
> ipo tayari kutoa askari waende DRC, Kagame na Museveni walisusia
> tafrija ya wakuu wanchi za jumuiya ya A.Mashariki badala yake walituma
> wawakilishi.
>
> Ukweli kuhusu ushirikiano wa J.Kabila, P. Kagame na J. Kabila uko
> wazi, kila mara DRC inapovamiwa na Museveni na Kagame jitihada za
> Kabila huwa ni usanii tu ili wazidi kuuhadaa ulimwengu,Kabila anakuwa
> na kigugumizi kuomba msaada wa kijeshi kutoka SADC, AU na UN na hana
> jitihada za kuomba misaada ya mafunzo ya kijeshi kwa wakongomani
> wazarendo kutoka mataifa mbalimbali. Uhatari wa kauli ya J. Kikwete
> kwa TZ, Baada Kikwete kukubali kupeleka kikosi cha Jeshi DRC, Kagame
> na Museveni wamemuwahi kwakuingiza TZ kikosi cha majasusi wao 1400,
> 1000 wakiwa wa Kagame na 400 wa Museveni, mbali na hao wamepenyeza
> askari 35,000 wenye silaha wakiigiza eti ni wachungaji wa ng'ombe
> katika mikoa ya Kagera, Kigoma na Geita, idadi ya wanyarwanda
> (wanyaru) inaongezeka TZ kila anayeenda Rwanda kusalimia anakuja na
> 2-3,nendeni mjionee au ulizeni wazawa wa mikoa pia waulizeni wakuu wa
> mikoa hiyo.
>
> Wakati hayo yakiendelea Wizara za Mambo ya ndani na Ulinzi ziko kimya,
> Ofisi ya Rais kama haioni vile au tuseme wote mmehongwa fedha, ng'ombe
> maziwa na mabinti wa Kinyarwanda?
>
> MADHARA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KWA TANZANIA.
> Jumuiya ya kwanza ya A.Mashariki 1967-1977 ilikuwa na nchi 3
> (Tanzania, Kenya na Uganda) ilivujika 1977 baada ya marais wan chi
> hizo Nyerere (TZ), Kenyatta (Kenya) na Amin (Uganda) Nyerere alikataa
> kukaa meza moja na Rais Amin wa Uganda, kwa sababu Amin alikuwa
> mwuaji. "Siwezi kuchangia meza moja na mwuaji aliyeloa damu" alitamka
> Rais Nyerere, ulimwengu wote ukamuunga mkono hata mgomo wake
> uliposababisha kuvunjika kwa Jumuiya ya A.Mashariki. Je serikali ya
> CCM haioni kuwa Kagame na Museveni wameloa damu kuliko Amin? Na ni
> waroho wa madaraka kuliko Amin?
>
> Shilikisho la sasa la A.Mashariki (Rwanda, Burundi, Kenya na
> TZ)linaelekea kuwa chini ya rais mmoja, na ndio janja ya Watusi
> kutawala eneo lote la maziwa makuu.Tayari rais Museveni wa Uganda
> tangu 1986 hadi sasa ametangaza mara nyingi kuwa anafaa na ana haki ya
> kuwa rais wa kwanza wa Shilikisho la A.Mashariki watanzania tumelala
> usingizi wa pono, Museveni ameshamuweka mototo wake wa kiume kuwa
> kamanda wa kikosi maalumu cha ulinzi wa rais (yeye), kaka yake
> Museveni ndie mkuu wa mjeshi ya Ulinzi ya Uganda.
>
> Kagame nae ameshajiongezea umri wa uchaguzi ...
>
> read more »
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment