Wednesday, 30 January 2013

Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

YONA Inabidi kukupeleka Muhimbiri kupima kama chuki yako kwa Dr. SLAA inasehemu gani kwenye Hormone za mwili wako. Unaweza kumwendea na kupata maoni yake, au ugonjwa huu ni mbaya kwako, kwakuwa wewe na Nape mko pamoja, ni bora uingie siasa haraka saana, au kapime Muhimbiri. pole kijana maana huna lolote katika hili
Kitilu JM

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, January 31, 2013 1:06 AM
Subject: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

Ndugu zangu

Ukisoma Wasifu wa Dr W P SLaa inaonyesha amezaliwa 29 October 1948 na
mwaka 2010 wakati anagombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA
alikuwa na miaka 62 miaka 2 zaidi ya umri wa Kustaafu kwa mfanyakazi
wa Umma kwa Tanzania .

Mwaka 2015 akigombea tena kwa tiketi ya CHADEMA au CHAUMA atakuwa na
miaka 67 amepitiliza miaka 7 ya kustaafu .

Tukumbuke wanasiasa vijana wamewahi mara kadhaa kutoa maoni yao kuhusu
umri wa Umri wa kugombea Urais upunguzwe na uwe na kikomo .

Tunaweza tusikubaliane katika mambo mengine lakini suala la ukomo wa
umri ni muhimu kwa maslahi ya Nchi yetu na watu wake .

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.




0 comments:

Post a Comment