Wednesday, 30 January 2013

RE: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

Labda mimi nimsaidie Yona kuelewa mambo yafuatayo:
  1. Utumishi CHADEMA au CCM  sio utumishi wa Umma. Jitahidi sana kuwa mwelewa
  2. Sheria ya Kazi na mahusiano kazini ya mwaka 2004 haizungumzi umri wa kustaafu, umri huo unazungumza kwenye kanuni na taratibu za watumishi wa umma yaani waajiriwa wa serikali..
  3. Katibu Mkuu wa CCM ndugu Kinana anakaribia miaka 60  sasa na yeye astaafu? sema na hilo basi.
  4. Na swala la umri unalileta hapa ili liweje? wakati mwingine sisi wengine tunashindwa kukuelewa kabisa.
 
Unajua hata kama unamchukia Dr. Slaa binafsi, hoja zako zinakuonyesha wewe ni mtu mwenye chuki isiyoisha, kama alikukosea si umsamehe tu.. Kumshambulia binafsi mtu huwa ina matatizo yake, na yeye anaweza jibu haya mamambo unamzungizia binafsi na je uko tayari?
 
kazi njema,
LR

Subject: Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU
From: deogratias.kawonga@gmail.com
Date: Thu, 31 Jan 2013 07:28:27 +0300
To: wanabidii@googlegroups.com

Kwani mfugaji wa Nyuki mh. WM ana miaka mingapi? Na Je Mzee wa Viwango (Mr. 6) naye? Si tumemsikia anasema yeye anafaa? Hivi  kweli 2015 atakuwa below 60 yrs,Sina uhakika na VP maana na yeye anaonekana kama amekula chumvi kwelikweli. Hiyo ni mifano michache tu.
Tuache Chuki Jamani, hata kama ni adui yako..Nionavyo ndugu YM ana chuki mbaya dhidi ya huyu Bw. WS. Kwa imani yangu Chuki inaweza kukusukuma ukatenda dhambi, nenda kajitakase mkuu na umrudie Muumba wako.

DK

On Jan 31, 2013, at 6:51, Kitilu Mganga <kitiluj@yahoo.com> wrote:

YONA Inabidi kukupeleka Muhimbiri kupima kama chuki yako kwa Dr. SLAA inasehemu gani kwenye Hormone za mwili wako. Unaweza kumwendea na kupata maoni yake, au ugonjwa huu ni mbaya kwako, kwakuwa wewe na Nape mko pamoja, ni bora uingie siasa haraka saana, au kapime Muhimbiri. pole kijana maana huna lolote katika hili
Kitilu JM

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, January 31, 2013 1:06 AM
Subject: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

Ndugu zangu

Ukisoma Wasifu wa Dr W P SLaa inaonyesha amezaliwa 29 October 1948 na
mwaka 2010 wakati anagombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA
alikuwa na miaka 62 miaka 2 zaidi ya umri wa Kustaafu kwa mfanyakazi
wa Umma kwa Tanzania .

Mwaka 2015 akigombea tena kwa tiketi ya CHADEMA au CHAUMA atakuwa na
miaka 67 amepitiliza miaka 7 ya kustaafu .

Tukumbuke wanasiasa vijana wamewahi mara kadhaa kutoa maoni yao kuhusu
umri wa Umri wa kugombea Urais upunguzwe na uwe na kikomo .

Tunaweza tusikubaliane katika mambo mengine lakini suala la ukomo wa
umri ni muhimu kwa maslahi ya Nchi yetu na watu wake .

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment