Tuesday, 29 January 2013

Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI

Ndg yangu Gabriel analysis yako ni ya kina lakini kama uonavyo uchangiaji katila thread ?hii ni wa kunyemelea! Watu kidunchu wanajitokeza.

Wanaojipambanua kama watema cheche wamepiga kimya. Kuna wakati walikuwa wanasema Tanzania yapaswa kupelekwa njia ya Libya! Tena walisema kwa sauti kubwa. Tuwaombe watuelimishe katika mada hii hususan kwa kuitazama Misri.

Mchango wako unafikirisha.Asante.Mchango wako unafikirisha.Asante.</div>
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>
Date: Wed, 30 Jan 2013 04:29:48
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI

Upo sahihi kabisa, nguvu ya umma hutumika kuharibu utawala wa sheria katika nchi. Mara baada ya viongozi kuingia madarakani, wanaowapinga nao huitumia kuwaondoa madarakani na mwanzo wa kuanguka kwa ustaarabu wa utawala wa nchi huanza hapo.
Kuna maoni nimekuwa nikiyasoma ya watu kushabikia utaratibu huo wa nguvu ya umma, wanaofanya hivyo hawajui matatizo yake. Utawala wa sheria huondoka na kila ajaye madarakani hawezi kudumu.
Rais Morsi alikuwa nyuma ya nguvu ya umma, akiwa nyuma ya Muslim Brotherhood, wakamg'oa Mubaraka, wakadhani wameshinda. Wakaunda serikali ya kibinafsi wakiwaacha akina Baradei nje. Wakatunga katiba inayowapendelea, inayoondosha utawala wa pamoja na pia wa ushirikishi, Rais kajirundikizia madaraka. Wenzao walioachwa nje, wakatumia mwanya huo kusema "Mapinduzi Hayajakamilika".
Hali ya kudorora uchumi na umaskini hutumika sana kusaidia mwitikio wa mambo ya kipuuzi kama "nguvu ya Umma" tumeona Mtwara na hao wanaohubiri dhana hii wanataka kuharibu taifa, hakuna jingine.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

-----Original Message-----
From: "ELISHILIA.D.S KAAYA " <kaayashilia@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 30 Jan 2013 03:26:13
To: martin pius<malagila01@yahoo.co.uk>; wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI

Changamoto ninayoiona mimi inazaliwa na muda pia. Wanaojipambanua kama viongozi wa nguvu ya umma over time huwa wanabadilika ubinafsi unawafunika nguvu ya umma inapoteza mwelekeo. Sina uhakika na yanayojiri Misri kama Siyoi ushahidi wa hilo!

Inasemekana muda hutoa majibu ya kila jamba na kama ulivyosema hapa mabadiliko hayapatikani overnight lakinini mimi naaza kupata wasiwasi pale ambapo taifa litaimba wimbo wa nguvu ya umma bila kujipima na kuzingatia mazingira. Yapo mambo ya kujifunza Misri kwa wanaotamani kuwa makini. Inasemekana muda hutoa majibu ya kila jamba na kama ulivyosema hapa mabadiliko hayapatikani overnight lakinini mimi naaza kupata wasiwasi pale ambapo taifa litaimba wimbo wa nguvu ya umma bila kujipima na kuzingatia mazingira. Yapo mambo ya kujifunza Misri kwa wanaotamani kuwa makini. </div>
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: martin pius <malagila01@yahoo.co.uk>
Date: Tue, 29 Jan 2013 17:46:45
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI

Mabadiliko ya kidemokrasio sio kitu cha mwaka mmoja.

Mapambano kati ya walio nacho na wasionacho ili kujenga jamii inayojali watu wanyonge sio kazi ka kulala na kuamka.

Tafakari hilo

--- On Tue, 29/1/13, ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com> wrote:

From: ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
To: "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 29 January, 2013, 18:56

Je tunajifunza nini kwa  matukio yanayotokea huko Misri? Hivi tunaweza kweli kukubali kutuliza vichwa na kutafakari kuhusiana na msitakabali wa utaifa bila kuingiza nyongo ya ubinafsi kwa kutumia kichaka cha nguvu ya Umma na kuzua  giza kuu?

Je zipo awamu ngapi za nguvu ya umma zitakazolifikisha taifa lolote katika utulivu na kasi ya maendeleo? Libya iko wapi? Katika jukwaa hili hili tulikuwa na mijadala motomoto sasa imekwisha! Au Waafrika bado tunatumiwa na wale tuwaitao maadaui zetu au tumekuwa maadui wetu wenyewe sasa?
Sent from my BlackBerry® smartphone from VodacomSent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom</div>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <http://www.wejobs.blogspot.com>
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com <http://www.jobsunited.blogspot.com>

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com </mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com>   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com </mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com> .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

 --
 Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <http://www.wejobs.blogspot.com>
 International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com <http://www.jobsunited.blogspot.com>
  
 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
  
 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment