Hivi serikali haiwezi kwasikiliza wananchi mpake wauwane.Pinda kweli sio simbachawene kwa busara
------------------------------
On Tue, Jan 29, 2013 09:31 GMT Lemburis Kivuyo wrote:
> 1. Wliposema CHADEMA waliitwa wapenda fujo
> 2. Waliposema wanamtwara waliambiwa wahuni
> 3. Waliposema wanaharakati waliambiwa wachochezi
> 4. Sasa CCM tuwaite nani?
>
>
>
>Real Change for Real Development,
>
>Lemburis Kivuyo
>+255654650100/078 7665050/0755646470
>Website: www. <http://www.infocomcenter.com/>kivuyo.com, Skype:
>lekivuyo, Facebook: http://facebook.com/lemburis.kivuyo, Titter:
>http://twitter.com/lembu1, Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo
>, Google+: gplus.to/lembukivuyo
>
>
>2013/1/29 mngonge <mngonge@gmail.com>
>
>> Munakumbuka shuka wakati kumekucha? Hivi serikali ilikuwa wapi hadi
>> wanamtwara wafikie hatua ya kuandamana, kuuana na kuchomeana nyumba?
>> Ina maana ni kitu kilichofanyika ghafla? Wote ni mashuhuda tumeyaona
>> na kuyasikia majibizano kati ya wanamtwara na serikali na hivyo
>> uliokuwa mtazamo wa serikali katika swala la gesi tunaujua.
>>
>> Viongozi muwe na utamaduni wa kuliona tatizo kwa mbali na kuanza
>> kulifanyia kazi badala ya kuleta mzaha na kutumia mabavu. Tunaamini
>> watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri wako serikalini na hivyo waamuke
>> usingizini na kuyaona matatizo mapema ili kutafuta njia sahihi
>> zinazoweza kuleta suruhu ya matatizo yetu bila kuathiri jamii ikiwemo
>> kupoteza roho za watu pamoja na mali zao. Mungu ibariki Tanzania kwa
>> kuwapa viongozi wetu hekima na busara za kutafuta suruhu kwa njia za
>> amani.
>>
>> 2013/1/29 <nevilletz@gmail.com>:
>> > Jifunzeni kutaja source ya taarifa tunazoweka hapa!
>> > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>> > ________________________________
>> > From: Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com>
>> > Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> > Date: Mon, 28 Jan 2013 19:26:15 -0800 (PST)
>> > To: wababidii<wanabidii@googlegroups.com>;
>> > mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>> > ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>> > Subject: [wanabidii] Kinana: Serikali iwasikilize wananchi wa Mtwara
>> >
>> > SAKATA la gesi sasa limeingia hatua mpya, baada ya watendaji wakuu wa
>> CCM;
>> > Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape
>> Nnauye
>> > kuitaka Serikali ikae na wana-Mtwara ili kuona namna ya kumaliza mgogoro
>> huo
>> > kwa amani.
>> >
>> > Kinana na Nape walitoa kauli hizo kwa nyakati tofauti jana. Wakati Kinana
>> > alisema hayo alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara mkoani
>> Kigoma,
>> > Nape alifanya hivyo kupitia mtandaowa Twitter na baadaye kuthibitisha
>> kauli
>> > hiyo alipoulizwa na mwandishi wetu.
>> >
>> > Wakati watendaji hao wa CCM wakitoa matamko hayo, Waziri Mkuu, Mizengo
>> Pinda
>> > jana alifanya vikao mfululizo mkoani Mtwara akisaka suluhu ya mgogoro
>> huo.
>> >
>> > Kinana na Nape
>> > Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Ofisi za CCM
>> Wilaya
>> > ya Uvinza, Kigoma, Kinana aliitaka Serikali isikilize hoja za wakazi wa
>> > Mtwara na kuzitafutia usumbufu sahihi.
>> >
>> > Mbali na kutoa ushauri huo, aliitaka pia Serikali kuwasaka watu
>> wanaochochea
>> > mgogoro huo kwa kufanya vurugu na kuharibu mali za watu na kuwafikisha
>> mbele
>> > ya sheria.
>> > "Serikali ikae na wana-Mtwara na kuwasikiliza, wananchi hao wana hoja na
>> > Serikali inapaswa kutoa majibu sahihi kwa hoja hizo. Lakini pia iwasake
>> na
>> > kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha uvunjifu wa amani," alisema
>> > Kinana.
>> >
>> > Kwa upande wake, Nnauye aliitaka Serikali kuwasikiliza wananchi wa Mtwara
>> > kwa kuwa madai yao ni ya msingi... "Wakazi wa Mtwara na Lindi wanazo
>> hoja za
>> > msingi juu ya suala la gesi, hoja ambazo ni muhimu kusikilizwa na
>> kupatiwa
>> > majibu sahihi."
>> >
>> > Nape alisema hoja za wakazi hao ni za msingi lakini akaongeza kuwa kuna
>> > baadhi ya wahuni ambao wanatumia mwanya huo kupora na kuharibu mali za
>> watu.
>> > "Kuna uhusiano gani kati ya hoja yao ya madai ya gesi na kuchoma nyumba
>> za
>> > watu, kuharibu mali za umma na magari ya watu. Kuna kundi la wahuni
>> ambalo
>> > Serikali inatakiwa kuhakikisha inapambana nalo na kuwachukulia hatua
>> kali za
>> > kisheria," alisema Nape.
>> >
>> > Pinda asaka suluhu
>> > Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alikuwa na kibarua kizito kusaka suluhu
>> ya
>> > mgogoro wa gesi baada ya kuzungumza na makundi mbalimbali ya kijamii
>> kupata
>> > mawazo yao.
>> >
>> > Pinda aliyeongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi,
>> Mkuu
>> > wa Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema na Kamishna wa Operesheni na
>> Mafunzo,
>> > Paul Chagonja alianza kazi hiyo juzi kwa kufanya vikao vya ndani na
>> viongozi
>> > wa Serikali mkoa wa Mtwara. Habari kutoka Mtwara zinaeleza kuwa kutwa
>> nzima
>> > ya jana, Waziri Mkuu Pinda alikuwa akifanya mikutano mbalimbali na
>> makundi
>> > kadhaa kwa lengo la kupata suluhu ya mgogoro huo wa gesi.
>> >
>> > "Alianza kwa kufanya mazungumzo ya ndani na viongozi wa dini,
>> wanaharakati,
>> > wanasiasa na baadaye viongozi wa Serikali za Mitaa," kilieleza chanzo cha
>> > habari kutoka Mtwara.
>> > Mbali na viongozi hao, Pinda pia alizungumza na wafanyabiashara,
>> viongozi wa
>> > CCM na madiwani kabla ya mkutano wake na waandishi wa habari aliopanga
>> > kuufanya baadaye jioni.
>> > Mmoja wa madiwani waliohudhuria mkutano huo wa Pinda alilieleza gazeti
>> hili
>> > kuwa, Waziri Mkuu aliwaambia kuwa mkutano wake huo ni kwa ajili ya
>> kukusanya
>> > maoni.
>> >
>> > "Amesema amekuja kukusanya maoni na baadaye atakwenda kushauriana na Rais
>> > Jakaya Kikwete na atatoa tamko kuhusu hatima ya suala hilo baadaye,"
>> alisema
>> > diwani huyo akimnukuu Waziri Mkuu Pinda.
>> >
>> > Gesi kuteka Bunge
>> > Mkutano wa Kumi wa Bunge unaanza leo mjini Dodoma, huku suala la gesi
>> > likitarajiwa kutawala mijadala mbalimbali ya wabunge.
>> >
>> > Mbunge wa Mkanyageni (CUF), Habib Mnyaa ni miongoni mwa wabunge
>> waliotangaza
>> > mapema kuwa watazungumzia suala hilo bungeni. Mnyaa alisema anakusudia
>> > kuwasilisha hoja binafsi za maombi ya wakazi wa Mtwara kupinga gesi
>> > kupelekwa Dar es Salaam.
>> >
>> > Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano ya Bunge, Deogratius Igidio
>> > aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa shughuli zote zitakazofanyika
>> ndani
>> > ya ukumbi huo zitajulikana leo baada ya Kikao cha Kamati ya
>> Uongozi.Katika
>> > kipindi cha wiki nne sasa kumekuwa na maandamano, malumbano na vitendo
>> vya
>> > ghasia kuhusiana na mradi wa kujenga bomba la kusafirishia gesi asilia
>> > kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam hatua ambayo inapingwa na wananchi wa
>> eneo
>> > hilo ambao wanadai kuwa wamesahauliwa katika miradi ya maendeleo.
>> >
>> > Wananchi hao wa Mtwara wanataka kusitishwa kwa mpango wa kusafirisha gesi
>> > hiyo kwa madai kuwa, eneo la Mtwara halijaendelezwa na mara zote Serikali
>> > haijaweka vipaumbele kwa ajili ya kusukuma mbele eneo hilo.
>> >
>> > Wanataka uendelezwaji wa gesi hiyo ufanywe mkoani humo kwa madai kuwa
>> > utasaidia kuchochea shughuli za maendeleo na kuufanya uanze kuinuka
>> > kiuchumi.
>> >
>> > Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa ambaye pia ni mwenyeji wa mkoa huo ametoa
>> wito
>> > wa pande zote kukutana na kujadiliana ili kumaliza mvutano huo akisema ni
>> > jambo la kufedhehesha na kusikitisha kuona wananchi wakianzisha
>> maandamano
>> > na kupinga mradi huo wa Serikali.
>> >
>> > Chadema hakitaki
>> > Chadema kimeitaka Serikali kusitisha mpango wa kusafirisha gesi
>> > iliyogunduliwa mkoani Mtwara kwenda Dar es Salaam mpaka itakapokutana na
>> > wananchi na kufikia maridhiano kwa pamoja.
>> >
>> > Chama hicho pia kimeitaka Serikali iweke wazi mikataba yote 26 ya kampuni
>> > ilizoingia nayo kwa ajili ya kuchimba nishati hiyo ili wananchi waweze
>> > kuijua.
>> >
>> > Mwenyekiti Freeman Mbowe alitoa wito huo jana alipokuwa akifungua
>> mkutano wa
>> > siku moja wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam... "Kwa muda mrefu
>> > watu wamekuwa wakiuliza Chadema nini kauli yenu kuhusu mgogoro huo na
>> kutaka
>> > kujua tuko na wananchi au Serikali? Chadema iko nyuma ya wananchi,"
>> alisema
>> > Mbowe na kuongeza:
>> >
>> > "Serikali iache kufanya kazi ikiwa Dar es Salaam iende kwa wananchi na
>> > kuzungumza nao na wakikubaliana kwa pamoja ndipo mradi huo utekelezwe."
>> > Habari hii imeandikwa na Raymond Kaminyoge, Kigoma; Ibrahim Yamola, Dar
>> na
>> > Habel Chidawali na Ibrahim Bakari, Dodoma.
>> > Fred
>> > MATURITY does not come with age, it begins with acceptance of
>> Responsibility
>> > Change is Essence to maturation
>> >
>> > --
>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>> >
>> >
>> > --
>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>> >
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment