Wednesday, 30 January 2013

Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI

Ndugu Kaaya na Yachama nimeyasoma maoni yenu ni mazuri na yanafaa
kujadiliwa kwa kina. Katika kuanza hoja hii nimegundua upungufu mmoja
ambao nafikiri kabla ya kuanza kujadili madhara ya dhana ya nguvu ya
umma ni vyema kwanza tukubaliane neno hilo lina maana gani na nini
chimbuko lake.

Nguvu ya umma (peoples power) nijuavyo mimi ni nguvu ya wengi
(majority) hivyo ili mtu yeyote aweze kuungwa mkono na umma dhidi ya
tunachokiita utawala wa sheria lazima kuwepo na mapungufu makubwa
katika mamlaka iliyopo. Mamlaka zipo kwa ajili ya umma ukiona imefika
mahali umma huo huo unazikataa mamlaka hizo ujue hiyo ni dalili kwamba
mamlaka zimeshindwa kuhudumia umma kadiri ya matakwa na matarajio.
Umma ndo kioo cha kuzijulisha mamlaka zilizopo kama zinafanya vizuri
au la, sidhani kama ni sahihi kwa mamlaka kujiona zenyewe kwamba
zinahudumia umma vizuri bila umma wenyewe kuridhia.

Mtoa hoja kaongelea swala la ubinafsi wa viongozi wa dhana ya nguvu ya
umma lakini tujue hata hao wanaokuwa wanapingwa ni wanadamu wenye
ubinafsi pia. Umma kama umma unachokuwa unapigania ni kile
wanachoamini ndo kitawapeleka kwenye usawa na haki japo waliombele yao
yawezekana wakawa na lao jambo nyuma ya pazia.

Ni kweli muda ndo mwamuzi mzuri wa kila tukio lakini kama mamlaka
iliyopo haiutendei kile ambacho umma unatarajia tunautaka umma ufanye
nini? Ukae kimya ukisubiri miujiza ya Mwenyezi Mungu au ndo hivyo
uamue kujikita kwenye mchakato wa mabadiliko? Haya ndo maswali
tunayotakiwa kuyatolea majibu. Kwa dunia tuliyo nayo leo inawezekana
kikundi au mtu akatumia udhaifu mdogo uliopo kwenye mamlaka ili
akautumie umma kukamilisha ndoto zake za ubinafsi. Ni vigumu kwa umma
kuweza kumjua mtu wa namna hiyo. Ni juu ya mamlaka zinazoongoza
kuhakikisha mianya hiyo inazibwa kwa kuutumikia umma kadri ya
matarajio.

Namalizia kwa kusema kwamba chanzo cha dhana ya nguvu ya umma ni
udhaifu uliyopo kwenye mamlaka inayoongoza. Tatizo ni kubwa zaidi
katika nchi maskini kama ya kwetu kwa sababu viongozi wetu hujifanya
wanaungwa mkono na umma kwa kila wanachokifanya wakati umma hauwaungi
mkono. Ni nguvu za umma huo huo zinaweza muweka mtu madarakani au
kutomuweka wakati wa uchaguzi ulio huru na haki. Kama kiongozi ana
mtizamo unaoungwa mkono na wachache huyo hajaingia madarakani kwa
nguvu ya umma.
Nikikumbuka maneno ya hayati baba wa taifa kwamba "ikulu ni mzigo na
hivyo si mahali pa mtu kukimbilia'' Kama ni mzigo inakuwaje watu
watake kujibebesha mizigo wakati upo uwezekano wa kuitua mizigo hiyo?
Ninaamini kama viongozi na vyama vitakuwa na utamaduni wa kujipima na
ikibidi kuwapisha wengine baada ya kugundua kwamba umma hauridhiki,
dhana ya nguvu ya umma haitakuwa na nguvu wala nafasi tena

2013/1/30 ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com>:
> Ndg yangu Gabriel analysis yako ni ya kina lakini kama uonavyo uchangiaji katila thread ?hii ni wa kunyemelea! Watu kidunchu wanajitokeza.
>
> Wanaojipambanua kama watema cheche wamepiga kimya. Kuna wakati walikuwa wanasema Tanzania yapaswa kupelekwa njia ya Libya! Tena walisema kwa sauti kubwa. Tuwaombe watuelimishe katika mada hii hususan kwa kuitazama Misri.
>
> Mchango wako unafikirisha.Asante.Mchango wako unafikirisha.Asante.</div>
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>
> -----Original Message-----
> From: Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>
> Date: Wed, 30 Jan 2013 04:29:48
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
>
>
> Upo sahihi kabisa, nguvu ya umma hutumika kuharibu utawala wa sheria katika nchi. Mara baada ya viongozi kuingia madarakani, wanaowapinga nao huitumia kuwaondoa madarakani na mwanzo wa kuanguka kwa ustaarabu wa utawala wa nchi huanza hapo.
> Kuna maoni nimekuwa nikiyasoma ya watu kushabikia utaratibu huo wa nguvu ya umma, wanaofanya hivyo hawajui matatizo yake. Utawala wa sheria huondoka na kila ajaye madarakani hawezi kudumu.
> Rais Morsi alikuwa nyuma ya nguvu ya umma, akiwa nyuma ya Muslim Brotherhood, wakamg'oa Mubaraka, wakadhani wameshinda. Wakaunda serikali ya kibinafsi wakiwaacha akina Baradei nje. Wakatunga katiba inayowapendelea, inayoondosha utawala wa pamoja na pia wa ushirikishi, Rais kajirundikizia madaraka. Wenzao walioachwa nje, wakatumia mwanya huo kusema "Mapinduzi Hayajakamilika".
> Hali ya kudorora uchumi na umaskini hutumika sana kusaidia mwitikio wa mambo ya kipuuzi kama "nguvu ya Umma" tumeona Mtwara na hao wanaohubiri dhana hii wanataka kuharibu taifa, hakuna jingine.
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: "ELISHILIA.D.S KAAYA " <kaayashilia@hotmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wed, 30 Jan 2013 03:26:13
> To: martin pius<malagila01@yahoo.co.uk>; wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
>
> Changamoto ninayoiona mimi inazaliwa na muda pia. Wanaojipambanua kama viongozi wa nguvu ya umma over time huwa wanabadilika ubinafsi unawafunika nguvu ya umma inapoteza mwelekeo. Sina uhakika na yanayojiri Misri kama Siyoi ushahidi wa hilo!
>
> Inasemekana muda hutoa majibu ya kila jamba na kama ulivyosema hapa mabadiliko hayapatikani overnight lakinini mimi naaza kupata wasiwasi pale ambapo taifa litaimba wimbo wa nguvu ya umma bila kujipima na kuzingatia mazingira. Yapo mambo ya kujifunza Misri kwa wanaotamani kuwa makini. Inasemekana muda hutoa majibu ya kila jamba na kama ulivyosema hapa mabadiliko hayapatikani overnight lakinini mimi naaza kupata wasiwasi pale ambapo taifa litaimba wimbo wa nguvu ya umma bila kujipima na kuzingatia mazingira. Yapo mambo ya kujifunza Misri kwa wanaotamani kuwa makini. </div>
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>
> -----Original Message-----
> From: martin pius <malagila01@yahoo.co.uk>
> Date: Tue, 29 Jan 2013 17:46:45
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
>
>
> Mabadiliko ya kidemokrasio sio kitu cha mwaka mmoja.
>
> Mapambano kati ya walio nacho na wasionacho ili kujenga jamii inayojali watu wanyonge sio kazi ka kulala na kuamka.
>
> Tafakari hilo
>
> --- On Tue, 29/1/13, ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com> wrote:
>
> From: ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com>
> Subject: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
> To: "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, 29 January, 2013, 18:56
>
>
> Je tunajifunza nini kwa matukio yanayotokea huko Misri? Hivi tunaweza kweli kukubali kutuliza vichwa na kutafakari kuhusiana na msitakabali wa utaifa bila kuingiza nyongo ya ubinafsi kwa kutumia kichaka cha nguvu ya Umma na kuzua giza kuu?
>
> Je zipo awamu ngapi za nguvu ya umma zitakazolifikisha taifa lolote katika utulivu na kasi ya maendeleo? Libya iko wapi? Katika jukwaa hili hili tulikuwa na mijadala motomoto sasa imekwisha! Au Waafrika bado tunatumiwa na wale tuwaitao maadaui zetu au tumekuwa maadui wetu wenyewe sasa?
> Sent from my BlackBerry® smartphone from VodacomSent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom</div>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <http://www.wejobs.blogspot.com>
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com <http://www.jobsunited.blogspot.com>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com </mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com </mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com> .
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <http://www.wejobs.blogspot.com>
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com <http://www.jobsunited.blogspot.com>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment