TAMWA yazungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari
[caption id="attachment_79711" align="aligncenter" width="746"]<img class="size-full wp-image-79711" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/IMG_2739.jpg" alt="" width="746" height="600" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Edda Sanga akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mkutano na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari, kuzungumzia utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto baadhi ya maeneo nchini Tanzania.[/caption]
[caption id="attachment_79716" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-79716" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/IMG_2791.jpg" alt="" width="800" height="493" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Edda Sanga (kushoto) akiwasilisha mada kwa wahariri juu ya mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto unaoendeshwa na Tamwa kwa ushirikiano na wanahabari.[/caption]
[caption id="attachment_79715" align="aligncenter" width="646"]<img class="size-full wp-image-79715" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/IMG_2776.jpg" alt="" width="646" height="600" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Edda Sanga akiwasilisha mada kwa wahariri (hawapo pichani) juu ya mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto unaoendeshwa na Tamwa kwa ushirikiano na wanahabari.[/caption]
[caption id="attachment_79713" align="aligncenter" width="703"]<img class="size-full wp-image-79713" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/IMG_2756.jpg" alt="" width="703" height="600" /> Ofisa Miradi wa TAMWA, Godfrida Jola akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari, kabla ya kumkaribisha Bi. Edda Sanga kuzungumzia utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto baadhi ya maeneo nchini Tanzania.[/caption]
[caption id="attachment_79710" align="aligncenter" width="731"]<img class="size-full wp-image-79710" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/IMG_2732.jpg" alt="" width="731" height="600" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Edda Sanga akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mkutano na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari, kuzungumzia utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto baadhi ya maeneo nchini Tanzania.[/caption]
[caption id="attachment_79712" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-79712" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/IMG_2749.jpg" alt="" width="800" height="476" /> Ofisa Miradi wa TAMWA, Godfrida Jola akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari, kabla ya kumkaribisha Bi. Edda Sanga (kulia) kuzungumzia utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto baadhi ya maeneo nchini Tanzania.[/caption]
[caption id="attachment_79714" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-79714" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/IMG_2765.jpg" alt="" width="800" height="411" /> Baadhi ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika mkutano huo na Tamwa.[/caption]
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment