Mike, Ninampenda Mkuu wa Mkoa wa Dar na ilifika wakati nilimsaka nijitolee kufanyakazi zake buree lakini kumpata ikawa shida. Alishakemea sana sana lakini SIASA imefanya utendaji ulale. Ukitaka kuwaondoa hapa na pale barabarani na wetland areas walivamia mahala unaambiwa-subiri uchaguzi uishe, wapiga kura etc. Kisha waliokosea na kuvunja sheria wanakwenda mahakamani. Mawakili waroho wanakula hela kesi inachjukua miaka. Wanajua sheria na sera ya miapango miji lakini ni tumboni street. Yalipotokea mafuriko ya 2009 RC alisema-hatopeleka boat tena wala msaada wa serikali kuondoa watu Jangwani an mabonde mengine DSM. wamejitakia wenyewe na wanaona jinsi wanavyoathirika. Boat na Red cross wakisaidia. Watu kulala na watoto mashuleni madarasani na kusaidiwa. Wamepelekwa Mabwepande-wameuza ardhi, matabi, cement wamerudi Jangwani sunna. SIASA-Mbunge kawajengea daraja la kuvuka kinyesi; Tanesco na DAWASA wana mabomba ya maji hapa na serikali ya Mitaa inakusanya kodi-Urasimishaji wa makazi.
Sasa politiking imekwisha na tumboni street in mochwari. Bomoa, ondoa miundo mbinu ay umeme na maji ambayo inarasimisha makazi. Ile grace period ya kukomoa ya miezi 6 ikipita pale walipolipwa au ambapo hawakulipwa-bomoa tupa mijengo-construction materials ambazo Ruksa kubomoa hata kama umelipwa under valuation and Resettlement na hujabomoa baada ya miezi 6 au zaidi uliyopewa serikali tumia wafungwa kama huna wa kuendesha grader au budi ulipie magreda-wapo wafungwa madreva, chukua tingatinga JWTZ wape wabomoe kwa gharama ndogo. Bomoa na vile visima na daraja lililojengwa ili wavuke kinyesi.
Hapa Kazi tu.
--------------------------------------------
On Sun, 20/12/15, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] NAIBU WAZIRI DKT. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA LEO KATIKA HOSPITALI ZA RUFAA MIKOA YA LINDI NA MTWARA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 20 December, 2015, 14:51
Mimi
nilishangazwa na kelele za mkuu wa mkoa wa Dar kulalamikia
vifusi vya uchafu jijini, mtu huyu kawa mkuu wa mkoa kwa
miaka mingapi? Leo hii ndiyo anaona vifusi hivyo kwa mara ya
kwanza nakuaza kukemea? Kama mimi ni Rais, hao ndiyo watu
hasa wa kutimua kazi. Hatua kama za mkuu wa mkoa wa Dar
zinanikumbusha film za kuchekesha za Eddy Murphy, hasa ile
ya "Well come to America" Yule mwanamke
aliyeozwa na baba yake, alipomuuliza, niambie utafanya
nini kwenye maisha yetu tukiwa kama mke na
mme? Mwanamnke akasema nitafanya chochote utakacho niambia.
Addy Murphy akamwambia, nyanyua mguu mmoja na uruke ruke
ukibweka kama mbwa, yule kweli akaanza kufanya hivyo kweli,
bila kuhoji kisa cha kufanya hivyo ni nini? Vivyo hivyo,
baadhi ya watu kwenye timu ya Magufuli hawana initiative zao
wenyewe, mara nyingi watakuwa wanafanya mambo kinyume na
yalivyokuwa yanatakiwa yawe.
Any way
sasa hivi bado saa 12:30 asubuhi, ni mapema mno kuamua kama
kila mmoja kaamka. Tusubiri ifika angalau saa 5, 6
hivi.
On Sunday, 20 December 2015, 3:09, De
kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Akhsante Mama Kiwasila.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment