Friday, 25 December 2015

Fwd: [wanabidii] Eneo linauzwa-linafaa kwa uwekezaji

-------- Original Message --------
Subject: [wanabidii] Eneo linauzwa-linafaa kwa uwekezaji
From: 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
CC:

Wakuuu tuna maeneo too prime tunauza-hapa kaz tuuuuuu
Moja ni sqm 200 ndani kuna frame za biashara na nyumba
Lipo kijitonyama imekamata bara bara ya kijitonyama-kndoni,mbele ya sozi motors,a cutom bonded warehouse
Lina hati ya miaka 99
Linafaaa kujenga ghorofa 14 juu,its a prime plot for business development
Bei mil 500

2; jengo la ghorofa tano tunauza
Lipo kariakoo mtaa wa tandamti,unaingia lumumba street kwa bin slum tyre nyumba ya nane na ya pili mtaa wa pili kama waelekea kkooo
Haihitaji marekebisho zaid ya rangi tu
Chini ya ghorofa hili kuna frame za biashara tatu
Lina hati na halidaiw
Bei ni USD 1.3 million negotiable
Kwa atakaekua interested atuone haraka

3; tunazo nyumba za bei nafuu maeneo mbali mbali ya kuuza hapa jijini,kuanzia mil 20 hadi mil 200- mbagala,sinza,kijitonyama, za nhc pia zipo,mbezi beach,ununio,mbweni,tegeta,boko,mbezi luis,goba,kimara na kigamboni

4; tunazo petrol station za kuuza maeneo yafuatayo:-) mbagala moja,mkuranga mbili na kigamboni kimbiji....bei ni kuanzia bn 3 kwenda juuu

5; tunazo plots za kuuza kwa mkopo na kwa cash maeneo mbali mbali, za mkopo ni lazima uwe na mshahara unaoeleweka na utapitia bank ambayo tumepatna nao

6; Tunasaidia wateja wetu kupata mikopo ya nyumba kwa haraka na kwa uhakika zaidi

Kwa maelezo zaidi tenga mda kidogo ututembeleee ofsn kwetu
Tupo sinza mori,jengo la lemita house
Uliza rockland o co ltd
Mollel- coordinator
Cell/watsaap- 0652314181
Ukiitaji pia watsaap us
Magar pia utatafutiwa ukiitaji lakini kwa wale serious buyers tu
Xmass njema
Mollel

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment