Sunday, 27 December 2015

[wanabidii] Katuni Bora Ya Leo Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Mjengwablog.com


Msanii amefanikiwa kuonyesha changamoto anayokabiliwa nayo Rais John Magufuli. Ni dhahiri, mabadiliko ya kimsingi anayoyaleta Magufuli hapa nchini yanapaswa kuwa ni mabadiliko ya kimfumo. Kuyapa mgongo mazoea ya kale. Jamii inapaswa kubadilika kuendana na mabadiliko ya kimfumo. Unafanyaje basi pale sementi inapokuishia? Na sementi hapa ni kitu gani? 
Bila shaka Masoud Kipanya, kama fanani, anayaacha maswali haya yajibiwe na hadhira yake, jamii pana. Mtandao wa Mjengwablog.com inaiweka katuni hii katika nafasi ya kwanza kwa ubora, katika siku ya leo. Kwa katuni nyingine tembelea; http://mjengwablog.com


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment