Mimi nilishangazwa na kelele za mkuu wa mkoa wa Dar kulalamikia vifusi vya uchafu jijini, mtu huyu kawa mkuu wa mkoa kwa miaka mingapi? Leo hii ndiyo anaona vifusi hivyo kwa mara ya kwanza nakuaza kukemea? Kama mimi ni Rais, hao ndiyo watu hasa wa kutimua kazi. Hatua kama za mkuu wa mkoa wa Dar zinanikumbusha film za kuchekesha za Eddy Murphy, hasa ile ya "Well come to America" Yule mwanamke aliyeozwa na baba yake, alipomuuliza, niambie utafanya nini kwenye maisha yetu tukiwa kama mke na mme? Mwanamnke akasema nitafanya chochote utakacho niambia. Addy Murphy akamwambia, nyanyua mguu mmoja na uruke ruke ukibweka kama mbwa, yule kweli akaanza kufanya hivyo kweli, bila kuhoji kisa cha kufanya hivyo ni nini? Vivyo hivyo, baadhi ya watu kwenye timu ya Magufuli hawana initiative zao wenyewe, mara nyingi watakuwa wanafanya mambo kinyume na yalivyokuwa yanatakiwa yawe.
Any way sasa hivi bado saa 12:30 asubuhi, ni mapema mno kuamua kama kila mmoja kaamka. Tusubiri ifika angalau saa 5, 6 hivi.
On Sunday, 20 December 2015, 3:09, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Akhsante Mama Kiwasila.
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment