Wednesday, 9 September 2015

Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

Mike hongera,
Uchambuzi wako safi sana.
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Wed, 9/9/15, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, September 9, 2015, 9:36 AM

Sizungumzii
utitri wa vyama ulionza miika ya huko nyuma,ambavyo vingi
vyake sasa vimeanza kufifia, ndiyo maana unakuta watu
katikila wamza kufanya mzaha kwenye taratibu hukua omu za
kugombea urais, maana anafahamu ni kupoteza mda wake na kura
za watakaompigia. Mini ninachohoji lengo la akina ACT
Wazalendo, walikianzama hicho kwa lengo gani? Kama
anachosema Dr Kitila yamamtoka moyoni kuwa lengo
la kuanzishwa kwa ACTW halikuwa kupunguza nguvu za chama
walichokihama ili CCM waendelee kupeta, banzisha kwa uchu wa
madaraka, kitu ambacho kesho au keshokutwa siwezi
kusawishika kuwa walianzisha cha kwa lengo jingine zaidi ya
nililolitaja hapo mwanzoni.
Kulikuwa
na tabu gani kufunga ndoa na UKAWA japo kwa kipii cha
uaguzi, ili baadaye kilamoja anakwenda njia yake
anayoifahamu. Ni wazi washauri wao wakuu waliowaasaidia
kukianzisha watakuwa waliwaonya, na ktofahamu wanamasilahi
gani ni Mwenyezi ndiye anayefahamu.
Hapa
chini nimenukuu maneno ya mchangiaji mmoja, je haya
anayoaandika huwa yamamkera au anayafurahia, kama yamamkera,
kwa nini watu hawaoni umhimu wa kubadilisha system? System
imeoza inahitaji a complete over haul, kutoa kipuri kimoja
unaweka kipya, kesho utaondoa kile, unaweka kingine, hata
kama utaweka injini mpya lakili viungo vingine vikabaki
vilivyooza, injini hiyo haitafanya kazi
sawasawa!

"Aibu
maeneo mengi TZ sekta zote. Tunahitaji mtu wa kusaidia
kuweza kujigeuza kiakili-mental revolution na kiutendaji uwe
trust worthy, efficient and effective.

Tunatia
aibu dunia nzima na kwa donors. Mwekezaji akija anadaiwa
hela nyingi na muda unakwenda ili apate kibali. Ukiitisha
kikao na kuwahusisha katika participatory planning au hata
iwe muda wa kazi mnataka kufanya feedback kwa kazi ya
serikali mliyotumwa ktk Kata na Wilaya zao au Kimkoa ofisini
kwao-Wanaomba Posho (a posho diseases). Muda ni wa kazi,
hall la halmashauri, kazi ni ya wialaya donor funded.
Wanataka mlipie hall, muwalipe posho na ni muda wa kazi.
Kama ni taasisi ya ukaguzi wanye kukagua kiwanda monthly au
waone ulivyotekeleza maagizo yao-kiwanda mwekezaji anadaiwa
posho za mamilioni, usafiri, consultancy fee kinyume na
sheria ya kazi yao. Zote hizo wanagawana. Bahasha ya mkuu
kiidara, wilaya, mkoa budi ipelekwe hata kama hakuja. Kukiwa
na semina zaidi ya moja eneo hilo utaona wanahaha kwenda
kuandikisha majina kote ili wapate posho. Kuwakomesha ni
kwamba hakuna posho kama hukukaa kikao chote humo. Bado hao
wamalizao chuo ndio msimamizi
mradi au
ni extesion staff-hakieleweki. Pale alipo makao makuu ya
kata, tarafa au kijijini hakuna alichokifanya miaka katika
kuhamasisha maendeleo yoyote na analipwa."

On Wednesday, 9
September 2015, 7:45, Kitila Mkumbo
<kitilam00@gmail.com> wrote:

Ni
hivi:
i) Sisi tumesema
mara nyingi kwamba tunaunga mkono juhudi za kuunganisha
vyama vya upinzani katika juhudi za kuidhoofisha na hatimaye
kuiangusha CCM madarakani kama jukumu la msingi la chama cha
upinzani. Lakini tukaenda mbele zaidi tukasema muungano
wowote wa upinzani ni vizuri ukajengwa katika misingi ya
kiitikadi na kisera ili uweze kuwa endelevu.
ii) Chama chetu kiliandika barua
kwenda kwa viongozi wa UKAWA kuomba mwongozo, utaratibu na
misingi ya UKAWA ili tuweze kutumia katika vikao vya maamuzi
kujadili haja ya kujiunga na UKAWA au la. Hiyo barua
haijawahi kujibiwa hadi leo. Hata hivyo, tumesikia kauli
kadhaa za viongozi wa UKAWA wakikinanga chama chetu, ikiwemo
ya Ndugu Mnyika kututangaza hadharani kwamba sisi ACT ndiyo
adui namba moja wa chama chao!
iii) Wakati majadiliano yanafanyika
kumkaribisha Ndugu Lowassa kujiunga na CDM na hatimaye kuwa
mgombea wa urais wa UKAWA, alishauri kwa bidii sana umuhimu
wa kujumuishwa kwa ACT-Wazalendo katika umoja huo. Ushauri
wake ulikataliwa kwa bidii kubwa na viongozi wa CDM
wakiongozwa na ndugu Mbowe. 
Katika mazingira hayo, sisi tuliamua
kwenda kivyetu. With hindsight benefi, tunashukuru Mungu
kwamba hatukuwa sehemu ya huu mkanganyiko unaoendelea, na
kwa kweli binafsi namshukuru sana Ndugu Mbowe kukataa
ushauri wa mgombea wao wa urais. Kukataa kwake ushauri wa
mgombea wao kwa kweli kumetuponya kama taasisi. Na
watanzania wanapaswa kushukuru kwamba sio vyama vyote na
hasa ACT vipo ndani ya UKAWA. kwa hali inavyokwenda ni
muhimu kuwa na vyama ambavyo vitabaki kuwa a voice of
reason. Kuna maisha ya siasa baada ya uchaguzi. Kwa vyovyote
vile, na kama sisi hatutashinda, chama chochote
kitakachoshindwa kati ya CCM na hivi vya UKAWA, hakuna
kitakochokuwa na uwezo wa kuendeleza upinzani makini kwa
serikali itakayokuwepo madarakani na hapa ndipo watu wengi
watajua umuhimu wa sisi kutokuwa sehemu ya
UKAWA. 
Kitila

On 9 September 2015 at
08:23, Samuel Wangwe <swangwe@repoa.or.tz>
wrote:

Ukiwasikiliza Slaa anaongea mambo ya
msingi na Gwajima anaruka yale aliyosema ka kukimbilia
masuala madogo ya kifamilia ambayo hayana mashiko. Amekana
kama
alivyokana kuhusu kumtukana Pengo.
!!!!
 
Samuel Wangwe
Executive
Director

............................................................
REPOA, undertakes and facilitates
research, conducts and coordinates training,
and promotes dialogue and development of policy for
pro-poor growth and poverty reduction.
Please consider the environment
before printing this email.

From: wanabidii@googlegroups.com
[mailto:wanabidii@googlegroups.com]

Sent: Wednesday, September 09, 2015 2:02 AM

To: wanabidii@googlegroups.com

Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA
KAJICHAFUA

Kwa lugha ya vijana wa
mjini, naweza kusema kwamba Dr Slaa ameingia choo cha
wakwe...atajutia uamuzi wake wa kukubali kununuliwa. Askofu
Gwajima amemkaanga vizuri
sana; na bado Kubenea yupo nyuma anakuja kummaliza kabisa.
Haya ndiyo matatizo ya kuendeshwa kama gari na
mwanamke.

On
Wednesday, September 9, 2015 12:54 AM, De kleinson kim
<dekleinson@gmail.com>
wrote:

Nashukuru
Mama,

Japo sikutaka umwongelee
yeye personaly, nilitaka uhusiano wa kazi yake (as he then
was) na maendeleo ya nchi kwa muda huo. Hii ingetupa picha
halisi
ya huyu mtu kwa mtizamo wako.

Ubarikiwe....

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--

This message has been scanned for viruses and

dangerous content by MailScanner,
and is

believed to be clean.
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment