Wednesday, 9 September 2015

Re: [wanabidii] KUOMBA KURA KANISANI KINYEMELA. Lowassa ampuuza Mwalimu Nyerere

Hayo magazeti yanapoandika habari za kichozi kama hivi, kwa nini hayachukuliwi hatua? Naamini hakuna mtu atayekwenda kwenye nyumba ya ibada naa kusema zamu ya urais ni ya muunini gani, kitu hicho hapo, watu kusema wanambea amani nchi, wanaombea kuwe na uchaguzi wa amani ni sawa.
Tatizo watu watasema wagobea urais kipindi hiki wasiingie kwenye nyumba za ibada, kumcha Mungu huwa hakuna majira, bali ni siku zote muda wowote, hivyo mtu aki break kwa masaa kadhaa akasema  ngoja nikaongee na Mwenyezi Mumba kanisani, nako iwe kisa? Wahariri wa hayo magazeti ndiyo wa kumlikwa na wala siyo watajwa.

On Tuesday, 8 September 2015, 13:32, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Kaka maaskofu wetu wamevuta mshiko ndio maana hata hatuna makongamano wala nyaraka kutoka kwa viongozi wa dini kwenda kwa waumini kama ilivyokuwa inatokea miaka iliyopita.
On Sep 8, 2015 3:26 PM, "Abby Mrisho" <abbymrisho@gmail.com> wrote:
Ni wenye ujasiri wa kweli wanaoweza kuukemea UDINI kwa nguvu zote!

On Tue, Sep 8, 2015 at 1:40 PM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
......
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Abdallah Mrisho
General Manager
Global Publishers Ltd
P. O. BOX 7534
DAR ES SALAAM TANZANIA
mobile: +255 713 839 363
Please visit me at:
www.abdallahmrisho.blogspot.com, www.globalpublishers.info
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment