Sizungumzii utitri wa vyama ulionza miika ya huko nyuma,ambavyo vingi vyake sasa vimeanza kufifia, ndiyo maana unakuta watu katikila wamza kufanya mzaha kwenye taratibu hukua omu za kugombea urais, maana anafahamu ni kupoteza mda wake na kura za watakaompigia. Mini ninachohoji lengo la akina ACT Wazalendo, walikianzama hicho kwa lengo gani? Kama anachosema Dr Kitila yamamtoka moyoni kuwa lengo la kuanzishwa kwa ACTW halikuwa kupunguza nguvu za chama walichokihama ili CCM waendelee kupeta, banzisha kwa uchu wa madaraka, kitu ambacho kesho au keshokutwa siwezi kusawishika kuwa walianzisha cha kwa lengo jingine zaidi ya nililolitaja hapo mwanzoni.
Kulikuwa na tabu gani kufunga ndoa na UKAWA japo kwa kipii cha uaguzi, ili baadaye kilamoja anakwenda njia yake anayoifahamu. Ni wazi washauri wao wakuu waliowaasaidia kukianzisha watakuwa waliwaonya, na ktofahamu wanamasilahi gani ni Mwenyezi ndiye anayefahamu.
Hapa chini nimenukuu maneno ya mchangiaji mmoja, je haya anayoaandika huwa yamamkera au anayafurahia, kama yamamkera, kwa nini watu hawaoni umhimu wa kubadilisha system? System imeoza inahitaji a complete over haul, kutoa kipuri kimoja unaweka kipya, kesho utaondoa kile, unaweka kingine, hata kama utaweka injini mpya lakili viungo vingine vikabaki vilivyooza, injini hiyo haitafanya kazi sawasawa!
"Aibu maeneo mengi TZ sekta zote. Tunahitaji mtu wa kusaidia kuweza kujigeuza kiakili-mental revolution na kiutendaji uwe trust worthy, efficient and effective.
Tunatia aibu dunia nzima na kwa donors. Mwekezaji akija anadaiwa hela nyingi na muda unakwenda ili apate kibali. Ukiitisha kikao na kuwahusisha katika participatory planning au hata iwe muda wa kazi mnataka kufanya feedback kwa kazi ya serikali mliyotumwa ktk Kata na Wilaya zao au Kimkoa ofisini kwao-Wanaomba Posho (a posho diseases). Muda ni wa kazi, hall la halmashauri, kazi ni ya wialaya donor funded. Wanataka mlipie hall, muwalipe posho na ni muda wa kazi. Kama ni taasisi ya ukaguzi wanye kukagua kiwanda monthly au waone ulivyotekeleza maagizo yao-kiwanda mwekezaji anadaiwa posho za mamilioni, usafiri, consultancy fee kinyume na sheria ya kazi yao. Zote hizo wanagawana. Bahasha ya mkuu kiidara, wilaya, mkoa budi ipelekwe hata kama hakuja. Kukiwa na semina zaidi ya moja eneo hilo utaona wanahaha kwenda kuandikisha majina kote ili wapate posho. Kuwakomesha ni kwamba hakuna posho kama hukukaa kikao chote humo. Bado hao wamalizao chuo ndio msimamizi
mradi au ni extesion staff-hakieleweki. Pale alipo makao makuu ya kata, tarafa au kijijini hakuna alichokifanya miaka katika kuhamasisha maendeleo yoyote na analipwa."

On Wednesday, 9 September 2015, 7:45, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com> wrote:
Ni hivi:
i) Sisi tumesema mara nyingi kwamba tunaunga mkono juhudi za kuunganisha vyama vya upinzani katika juhudi za kuidhoofisha na hatimaye kuiangusha CCM madarakani kama jukumu la msingi la chama cha upinzani. Lakini tukaenda mbele zaidi tukasema muungano wowote wa upinzani ni vizuri ukajengwa katika misingi ya kiitikadi na kisera ili uweze kuwa endelevu.
ii) Chama chetu kiliandika barua kwenda kwa viongozi wa UKAWA kuomba mwongozo, utaratibu na misingi ya UKAWA ili tuweze kutumia katika vikao vya maamuzi kujadili haja ya kujiunga na UKAWA au la. Hiyo barua haijawahi kujibiwa hadi leo. Hata hivyo, tumesikia kauli kadhaa za viongozi wa UKAWA wakikinanga chama chetu, ikiwemo ya Ndugu Mnyika kututangaza hadharani kwamba sisi ACT ndiyo adui namba moja wa chama chao!
iii) Wakati majadiliano yanafanyika kumkaribisha Ndugu Lowassa kujiunga na CDM na hatimaye kuwa mgombea wa urais wa UKAWA, alishauri kwa bidii sana umuhimu wa kujumuishwa kwa ACT-Wazalendo katika umoja huo. Ushauri wake ulikataliwa kwa bidii kubwa na viongozi wa CDM wakiongozwa na ndugu Mbowe.
Katika mazingira hayo, sisi tuliamua kwenda kivyetu. With hindsight benefi, tunashukuru Mungu kwamba hatukuwa sehemu ya huu mkanganyiko unaoendelea, na kwa kweli binafsi namshukuru sana Ndugu Mbowe kukataa ushauri wa mgombea wao wa urais. Kukataa kwake ushauri wa mgombea wao kwa kweli kumetuponya kama taasisi. Na watanzania wanapaswa kushukuru kwamba sio vyama vyote na hasa ACT vipo ndani ya UKAWA. kwa hali inavyokwenda ni muhimu kuwa na vyama ambavyo vitabaki kuwa a voice of reason. Kuna maisha ya siasa baada ya uchaguzi. Kwa vyovyote vile, na kama sisi hatutashinda, chama chochote kitakachoshindwa kati ya CCM na hivi vya UKAWA, hakuna kitakochokuwa na uwezo wa kuendeleza upinzani makini kwa serikali itakayokuwepo madarakani na hapa ndipo watu wengi watajua umuhimu wa sisi kutokuwa sehemu ya UKAWA.
Kitila
On 9 September 2015 at 08:23, Samuel Wangwe <swangwe@repoa.or.tz> wrote:
Ukiwasikiliza Slaa anaongea mambo ya msingi na Gwajima anaruka yale aliyosema ka kukimbilia masuala madogo ya kifamilia ambayo hayana mashiko. Amekana kama alivyokana kuhusu kumtukana Pengo. !!!!Samuel WangweExecutive Director............................................................REPOA, undertakes and facilitates research, conducts and coordinates training, and promotes dialogue and development of policy for pro-poor growth and poverty reduction.Please consider the environment before printing this email.From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com]
Sent: Wednesday, September 09, 2015 2:02 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUAKwa lugha ya vijana wa mjini, naweza kusema kwamba Dr Slaa ameingia choo cha wakwe...atajutia uamuzi wake wa kukubali kununuliwa. Askofu Gwajima amemkaanga vizuri sana; na bado Kubenea yupo nyuma anakuja kummaliza kabisa. Haya ndiyo matatizo ya kuendeshwa kama gari na mwanamke.On Wednesday, September 9, 2015 12:54 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:Nashukuru Mama,Japo sikutaka umwongelee yeye personaly, nilitaka uhusiano wa kazi yake (as he then was) na maendeleo ya nchi kwa muda huo. Hii ingetupa picha halisi ya huyu mtu kwa mtizamo wako.Ubarikiwe....--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
This message has been scanned for viruses and
dangerous content by MailScanner, and is
believed to be clean.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment