Wednesday, 31 December 2014

[wanabidii] Neno La Leo: Usiuanze Mwaka Mpya Kwa Chuki Kwa Wanadamu Wenzako

Ndugu zangu,Tumeanza Mwaka Mpya. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Lakini, lililo baya kwa mwanadamu ni kuanza mwaka kwa chuki. Maana, mwanadamu huangamia pia kwa roho yake ya chuki.Kuna miongoni mwetu wenye kuwachukia wenziwao kwa vile tu wanafanya bidii ya kazi. Kwamba wanafanikiwa kwa wanayoyafanya. Badala ya kuwaiga, wao huhangaika sana na kujenga husda. Hufanya hila za kuwazuia wenzao wasipige hatua. Hufikia hata kuwazushia...
Read More :- "[wanabidii] Neno La Leo: Usiuanze Mwaka Mpya Kwa Chuki Kwa Wanadamu Wenzako"

Re: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK

Copy n pasteSent from Samsung Mobile-------- Original message --------From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> Date: 31/12/2014 21:47 (GMT+00:00) To: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK This message is eligible for Automatic Cleanup! (emuganda@gmail.com) ...
Read More :- "Re: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK"

Re: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK

Hakuna kitu kama hicho ni utapeli mtupu,mbona alitangaza kuondoa kodi kwenye vifaa vya ujenzi lakini sasa anaondoka hajatimiza,sera za kuiga chadema hazitelezeki. 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote: >Hii utakuwa safi sana. Tena nafikiria kuwa ili kuharakisha utekelezaji wangeulizwa CHADEMA ambao ndio waanzilishi wa sera hii. >-------------------------------------------- >On Wed,...
Read More :- "Re: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK"

[wanabidii] Who is Tanzanian's 'Person Of The Year' and why?

Who is Tanzanian's 'Person Of The Year' and why? -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued...
Read More :- "[wanabidii] Who is Tanzanian's 'Person Of The Year' and why?"

[wanabidii] Soma Magazeti Ya Leo Alhamisi..

http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/16456-magazeti-ya-leo-alhamisi.html#.VKThSSvF_fk -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and...
Read More :- "[wanabidii] Soma Magazeti Ya Leo Alhamisi.."

[wanabidii] Fw: Filipino City Requires Taxi Drivers to Display Bible Verses on Vehicles

----- Forwarded Message ----- From: "ANS@Assist-Ministries.com" <ANS@Assist-Ministries.com> To: ASSISTNEWS@sheperd.com Sent: Wednesday, December 31, 2014 8:38 PM Subject: Filipino City Requires Taxi Drivers to Display Bible Verses on Vehicles Filipino City Requires Taxi Drivers to Display Bible Verses on...
Read More :- "[wanabidii] Fw: Filipino City Requires Taxi Drivers to Display Bible Verses on Vehicles"

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Neno La leo: Mwalimu Alisema Na Sisi Tunasema.. Tanzania Would Never Be ' Another Congo'..

Kaka Maggid,Ni vyema kukubali na kusema ukweli kuwa moja ya tatizo kubwa la nchi yetu ni uongozi bora. Hili tatizo la IPTL lilivyoshughulikuwa limeonyesha wazi kuwa kuna shida kubwa ya uongozi bora kwenye nchi yetu. Once upon a time nchi yetu ilikuwa na uongozi bora na kulikuwa hakuna ufisadi wa wazi tunaoushuhudia sasa hivi. Wewe kama mwandishi na mtu uliyetembea vijijini na kukutana na watu masikini wanaohangaika kila kukicha...
Read More :- "Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Neno La leo: Mwalimu Alisema Na Sisi Tunasema.. Tanzania Would Never Be ' Another Congo'.."

Re: [wanabidii] BE AWARE (Pagan Holidays) New Year

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...
Read More :- "Re: [wanabidii] BE AWARE (Pagan Holidays) New Year"

[wanabidii] Salamu za Dr. Hamisi Kigwangalla kwa Watanzania , Mwaka Mpya 2015

Ni Mwaka Mpya Tena! Dr. Hamisi Kigwangalla, MB.Ndugu Watanzania wenzangu,Kwa heshima na taadhima na kwa moyo wa kiutumishi, najisikia furaha kuwatumia salamu za Mwaka mpya 2015. Kwa hakika Mungu amekuwa mwema sana kwangu na kwako mwaka 2014 kwa namna nyingi mbalimbali, ila kwa kiasi kikubwa kwa kutujalia zawadi ya uhai, mafanikio kwenye kazi zetu, uvumilivu tulipoanguka, nguvu tulipokutana na changamoto mbalimbali, na uwezo wa...
Read More :- "[wanabidii] Salamu za Dr. Hamisi Kigwangalla kwa Watanzania , Mwaka Mpya 2015"

[wanabidii] Fw: Islamic State will conquer Europe, militants tell embedded German journalist

Islamic State will conquer Europe, militants tell embedded German journalist ----- Forwarded Message ----- From: "ANS@Assist-Ministries.com" <ANS@Assist-Ministries.com> To: ASSISTNEWS@sheperd.com Sent: Wednesday, December 31, 2014 8:37 PM Subject: Islamic State will conquer Europe, militants tell embedded German journalist ...
Read More :- "[wanabidii] Fw: Islamic State will conquer Europe, militants tell embedded German journalist"

Re: [wanabidii] Most celebrated phrases to describe success in Tanzania in 2014 backward !!

Well saidSent from Samsung Mobile-------- Original message --------Subject: Re: [wanabidii] Most celebrated phrases to describe success in Tanzania in 2014 backward !! From: 'august kowero' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> CC: Dear BwamkuuHappy New Year 2015 very positive observation On Wednesday, 31 December 2014, 17:02, Africa j bwamkuu...
Read More :- "Re: [wanabidii] Most celebrated phrases to describe success in Tanzania in 2014 backward !!"

Re: [wanabidii] BREAKING NEWS: MAHABUSU AUWAWA KWA RISASI MAHAKAMA YA KISUTU AKIJARIBU KUTOROKA

Inaonekana hii habari imeandikwa kishabiki! Kumdhibiti mtu sio kumuua! Inabidi jeshi la magereza lijitafakari! Mtuhumiwa bado ana haki ya kuishi! Hivyo kwa weledi wso walitakiwa wazuie asitoroke ou ukitokea hivyo wamkamateSent from Samsung Mobile-------- Original message --------From: 'Julius Mtatiro' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> Date: 31/12/2014 14:22 (GMT+03:00) To: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re:...
Read More :- "Re: [wanabidii] BREAKING NEWS: MAHABUSU AUWAWA KWA RISASI MAHAKAMA YA KISUTU AKIJARIBU KUTOROKA"