Thursday 26 December 2013

[wanabidii] xmas offers

bandugu happy xmas
sasa nawaletea offer ktk kipindi hiki cha mapumziko marefuu ya xmas na kuupokea mwaka mpya tutumie kufikiria namna ya kujijenga na kuinvest some littl;e we collected jama kwa kununua plot , nyumba au hata kitu ambacho ni investment worthy jamaaniii, simfundishi mtu ila nashaur hivo.
mimi nawaletea lete properties nilizopewa niwape kwa ofa as follows bandugu
A: NYUMBA
Zipo nyumba nyingi za bei nafuu kama ifuatavyo;
kuna nyumba ya m 25 tu hapa mbezi mwisho nyumba ya kituo kipya cha mabasi ina vyumba 3 vya kulala moja ikiwa ni master, public toilets, sebule na kitchen na stoo, ni mpyaa na eneo ni kama 30 kwa 30. ipo kwa msuguri nzur sana ya kuingia tu nyumba ina gate kwa m 50 na mazungumzo yapo
Nyingine ipo ya half complete ya m 50 na ina eneo kama 40 kwa 25 ipo mbezi makabe  bei m 50 tu, hazina hati
zipo segerea kali sana ya m 90, bunju, mbweni zoote ni nyumba za kuingia tu za kisasa na picha zote ninazo anaetaka aniambiwe nimrushie kwa email au whatsApp mara asomapo hapa. Zipo za m 900 mbezi beach, upanga, mikocheni, kwa msuguri nk
tunazo plot segerea, chamanzi, gob nyingisana, tegeta, sala sala, bunju, mbezi , malamba mawili ya m 1.8 kadogo miguu kumi kwa 20 ipo mlimani flani, kiluvya, kisarawe, mkuranga(mashamba laki 7 eka) msata mashamba (laki 5 eka), tumbi mashmba (laki 5 eka)
niandikie email au whatsap,au sms
oda utafutiwe kama hapo hujaona unachokihitaji
mungu awabariki sana na kuupokea mwaka salama
mollel
0652 314181

0 comments:

Post a Comment