Thursday 26 December 2013

RE: [wanabidii] NINI CHANZO CHA CHUKI??

Operation teka an tesahalafu jaribu kuua Dr Ulimboka, Operation Ua Daudi Mwangosi, Operation Bambikizia Wilson Rwakatare kesi ya ugaidi , operation Kimbunga, Operation Tokomea, operation Sambaratisha M23 na wape unafuu FDLR huko DRC... operation zote hizi na nyingine nyingi za aiana hii zilizofadhiliwa na kuendelea kufadhiliwa na makundi mbalimbali ndani ya doal na CCM tangu Wanamtandao ndani ya CCm kukamata nchi kwa kuwaonga waandishi wa habari wawachafue wapinzani wao kisiasa wakina Mh Sumaye na Dr Salim... operation hizi zote kwa ujumla wake ndizo zinasambaza kannsa ya chuki katika nchi yetu ya Tanzania. bila kung'oa CCm madarakani 2015 kansa hii itazidi kusambaa... Haya ni maoni yangu. ... Wengi tutakuwatumeisha uliwa na jamaa hawa lakini ipo siku y wao historia itawapa adhabu yao stahiki
Mwl. Lwaitama
.----------------------------------------
> Date: Thu, 26 Dec 2013 10:59:35 +0000
> Subject: Re: [wanabidii] NINI CHANZO CHA CHUKI??
> From: elisamuhingo@yahoo.com
> To: emmakaaya@gmail.com; wanabidii@googlegroups.com
>
> Nilimsikia mpatanishi wa mgogoro wa Burundi. Hayati Mwalimu Nyerere akisema "Tunataka Amani Burundi ambayo mama yake na baba yake ni HAKI". Mpoto au Saidi Mwema hana wa kumtii kama haki haitendeki. Wala haki sio shibe. Ukimpa mmoja dona kubwa na mwingine pilau umewagombanisha. Ukiwapa wote dona umewapatanisha. Viongozi wajikite hapo
>
> ----------
> Sent from my Nokia Phone
>
> ------Original message------
> From: Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, December 26, 2013 1:17:39 AM GMT-0800
> Subject: [wanabidii] NINI CHANZO CHA CHUKI??
>
> Ukisikiliza redio mbalimbali hasa radio one, kuna matangazo ya IGP Mwema,
> Alhad Mussa Salum, Mrisho Mpoto, wote wana ujumbe mmoja wa kuwasihi Watz
> wasichukiane, wasibaguane bali wapendane.
>
> Mimi hujiuliza sana, kwani nini chanzo cha hizo ziitwazo CHUKI ??
>
> Mimi nawashauri, wasituambie maneno yao hayo, watuambie vyanzo vya hiyo
> CHUKI kisha tujadiliane kama ni sahihi au la.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment