Monday 30 December 2013

Re: [wanabidii] SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WATU WOTE TAREHE 4/1/2014

Tunatafuta mwekezaji kwa Ubia katika ujenzi wa Soko la kisasa la Wafanya Biashara Ndogondogo.

Tatizo la maeneo salama ya Kufanyia Biashara kwa wafanya biashara Ndogondogo kwa Mijini ni kubwa sana na linachangia kwa kiasi kikubwa sana miji yetu kutokuwa misafi.  Taakwimu tulizonazo kwa Jiji la Dar es Salaam ni 20% ya Wafanya biashara ndogondogo wako katika maeneo salama ya kufanyia biashara.  Lakni kati ya hiyo 20%, ni 12% tu ambayo yanaridhisha kwa ajili ya uendeshaji wa Biashara kwa kuwa na majengo ambayo hayavuji na yanapitika hata wakati wa Mvua.  80% wako katika maeneo hatarishi na wasiyoruhusiwa kwa ajili ya kufanyia biashara.

VIBINDO Society imeweka mkakati wa namna ya kutanzua tatizo hili kwa njia ya ubia.  Picha iliyoambatanishwa ni mojawapo ya mkakati huo kwa njia ya Ubia.  Jengo hilo linagharimu Tzs 1.3 Billion, kwa sasa VIBINDO ina Tzs 800 Million, kwa hiyo tuna upungufu wa Tzs 500 Million ili kuweza kukamilisha ujenzi wake. Mpango huu wa Ubia ni endelevu kwa kuwa baada ya miaka isiyopungua kumi fedha zitakazokusanywa na baada ya kurejesha gharama, zitatumika kwa kujenga soko lingine. 

Ni wakati muafaka kwa watanzania wenye nia njema na sekta hii na ambao wako tayari kuchangamkia fursa karibuni

Mnaweza kunipata kwa simu No:-+255 784 546 122, +255 22 2152 359 (ofisini) au kwa barua pepe vibindo@gmail.com

2013/12/30 Charles Nazi <cnazi2002@yahoo.com>

CPM Business Consultants tutandesha semina ya ujasiriamali kwa watu wote kwa kiingilio cha sh. 15,000 kwa kila mshiriki, Semina hiyo itaendeshwa kwenye ofisi yetu Sinza kwa Remi Dar es salaam, siku ya Jumamosi tarehe 4/1/2014 kuanzia saa 4.00 asubuhi mpaka saa 7.00. Mwezeshaji ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara, Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;

1.Maana ya Ujasiriamali
2. Namna ya kuanzisha biashara.
3. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
4. Namna ya kupambana na vikwazo katika biashara yako.
5. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
6. Maswali na majibu.

Kwa wale ambao watahitaji huduma hiyo wapige simu au watume ujumbe kwenye simu namba 0784394701 au 0755394701

CHARLES NAZI
MKURUGENZI CPMBUSINESS CONSULTATS
http://cpmbusinessconsult.wordpress.com/

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Gaston G Kikuwi
SIDO Small Business House
Bibi Titi Mohamed Road
Block B, 3rd Floor Room No:-34
P O Box 15877, Dar es Salaam-Tanzania
Tel:- +255 22 2152 359
Cell:-+255 784 546 122
       +255 713 294 318
       +255 768 633 685
e-mail:-kikuwigg@gmail.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment