Monday 30 December 2013

[wanabidii] Clock tower Hardware

Clock tower Hardware

Clock tower Hardware wauzaji wa machine na vifaa mbalimbali.

Tunauza magenereta,pump za maji za kumwagili na majumbani,pump kwa ajili ya migodi na nyinginezo.

Pia tunauza mashine za nyama,mashine za kukatia majani na mashine za kusafisha tiles pamoja na makapeti.Mashine za kusaga na kukoboa tunazo pia dukani.

Karibu clock tower Hardware upate vitu vyenye ubora na bei nafuu.

Duka lipo maeneo ya clock tower,barabara ya uhuru,dar es salaam.

Wasiliana nasi kupitia;
0788330356/0653066785,
aahmeda50@hotmail.com
Karibu Sanaa.

Sent from my Windows Phone

0 comments:

Post a Comment