Monday 30 December 2013

RE: [wanabidii] Tahadhari wizi mpya umeingia mjini

Hii inawezekana kukawa na baadhi ya watumishi wa mifumo ya mawasiliano wa makampuni ya simu ambao sio waaminifu wanatoa taarifa za wateja.
 
Date: Sat, 28 Dec 2013 15:04:25 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Tahadhari wizi mpya umeingia mjini
From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Umeuliza PWD Inapatikanaje wakati ni siri ?

Ninavyojua unavoenda kuomba huduma kama hizo hao jamaa watakwambia uwape PWD yako ukiwapa ndio wanaweza kuendelea sasa mara nyingi watu wanatoa PWD ya MPESA zao ambazo pia kwa uzoefu ndizo wanazotumia kufungilia simu zao na siri nyingine ndani ya simu zao ila ishu ni huo uharaka wanaoutumia kutoa fedha na wasikamatwe au wasijulikane mtandao wao inawezekana wanajuana na mtandao wa Simu husika .

2013/12/28 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Hili Tekelinalokujia linaenda haraka hata sisi tunasahau wajibu wetu kujichunga na watu ambao wako macho kutake advantage na kutuibia. Pole na tumekusikia

Date: Sat, 28 Dec 2013 07:55:43 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Tahadhari wizi mpya umeingia mjini
From: vmhangwa@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Asante.

On 27 Dec 2013 21:50, "Steven Stey" <parokostey@gmail.com> wrote:

Password waliijua vipi? Hata kama walichukua line ilikuaje wakajua pass? Au in auto connected?
On Dec 27, 2013 2:01 PM, "Emma Kaaya" <emmakaaya@gmail.com> wrote:
>
> Jana nilipata kisa kimoja kutoka kwa my wife,alipotoka kanisani alikutana na vijana wawili waliokuwa wamevalia sare za kampuni ya simu ya Vodacom wakidai wanasaidia wateja wao kuunganishiwa huduma za internet.
>
> Baada ya my wife kuwakabidhi simu yake waliifungua na kuirudishia na kumuahidi ataanza kutumia internet baada ya saa moja.Punde si punde akagundua simu yake haiko hewani na baadaye kidogo akagundua alikuwa amebadilishiwa sim card mpya isiyosajiliwa.
>
> Tulipata hisia huenda walikuwa ni wezi ndipo tukaamua kubadili password nmb mobile kupitia ATM na baadaye tulipiga simu Vodacom ambapo walitujulisha walikuwa wameshatoa sh.laki 350 kutoka nmb.
>
> Tahadhari: Tuwe macho tusiwaamini hata wanaojifanya ni wafanyakaZi wa kampuni za simu.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment