Monday 30 December 2013

[wanabidii] SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WATU WOTE TAREHE 4/1/2014



CPM Business Consultants tutandesha semina ya ujasiriamali kwa watu wote kwa kiingilio cha sh. 15,000 kwa kila mshiriki, Semina hiyo itaendeshwa kwenye ofisi yetu Sinza kwa Remi Dar es salaam, siku ya Jumamosi tarehe 4/1/2014 kuanzia saa 4.00 asubuhi mpaka saa 7.00. Mwezeshaji ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara, Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;

1.Maana ya Ujasiriamali
2. Namna ya kuanzisha biashara.
3. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
4. Namna ya kupambana na vikwazo katika biashara yako.
5. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
6. Maswali na majibu.

Kwa wale ambao watahitaji huduma hiyo wapige simu au watume ujumbe kwenye simu namba 0784394701 au 0755394701

CHARLES NAZI
MKURUGENZI CPMBUSINESS CONSULTATS
http://cpmbusinessconsult.wordpress.com/

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment