Wednesday 18 December 2013

[wanabidii] Watu 200 Wanusurika Kupoteza Maisha Baada ya Ethiopia Airlines Kutua kwenye majani wakati ikijaribu kutua kwa dharura katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha Airport

 Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) ikiwa imesimama  nje kabisa ya uwanja wa ndege wa arusha
 Tairi la mbele ya Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines)likiwe limezama kwenye mchanga nje kabisa ya uwanja wa ndege wa arusha
Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) ikiwa imesimama  nje kabisa ya uwanja wa ndege wa arusha 
--
Ndege kubwa ya shirika la ndege la Ethiopia Airlines ikiwa na abiria zaidi ya 300 imetua kwenye majani wakati ikijaribu kutua kwa dharura katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha Airport, mkoani Arusha.

Ndege hiyo imetua katika uwanja huo unaotumika na ndege ndogo tu, baada ya kushindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA, kufuatia kuwepo ndege iliyoharibika kwenye njia ya uwanja huo. 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment