Friday 6 December 2013

[wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Ndugu Wanabidii,

Naomba kujua tofauti kubwa kati ya Mandele lna Nyerere kwa ulimwengu wa kimataifa ilikuwa nini? Nimeona mataifa mengi duniani yakishusha bendera zao baada ya kufa Mandela na sikuona hivyo siku alipo kufa Nyerere.

Naomba nifahamishe ili nami nielewe nini kilikuwa tofauti.
 
Regard,
Rajabu Khamis
+255 718 265 427
+255 755 149 247

0 comments:

Post a Comment