Thursday 12 December 2013

Re: [wanabidii] Ujumbe wa Edward Ngoyai Lowasa Katika Kutumiza Miaka 52 ya Uhuru

Maendeleo yatatoka wapi wakati vijana wanambiwa wajiajiri, na ajira hizo wanazoambiwa ni kuendesha bodaboda na kuuza mpesa,

badala kuhubiri vijana waende shamba munahubiri utukutu wa zitto hata kama tunanyeshewa mvua nyie hamjali. Viongozi wetu wamekuwa gagbo wanachana kurasa za katiba wabaki madarakani, sasa kupokezana kijiti hakupo tena.

Wahandisi wamekuwa wachina, wakwetu wako kk wanafanya kazi za ulinzi. Ujamaa haupo tena, kila ofisi ni kupiga dili tu, ofisi ya mama lyatuu iliyokuwa inatoa vibali vya kumiliki gari, utashangaa kabinti ka chuo kanasukuma prado, maegesho ya magari vyuoni ni tatizo hawa watoto wanatoa wapi pesa?

Muhongo anauliza umeme tumewaletea mtautumiaje? Anajibiwa watachaji simu na kupoza soda! Kazi ipo! Huu ni wakati wa mvua ni kinana pekee kawatembelea vijana mashambani tena kawakuta hawana pembejeo kawapa trekta na akalijaribu mwenyewe kama linafaa, hongera sana.
----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, December 12, 2013 7:57:21 PM UTC
Subject: Re: [wanabidii] Ujumbe wa Edward Ngoyai Lowasa Katika Kutumiza Miaka 52 ya Uhuru

Congats sana mheshimiwa Lowasa kwa ujumbe huo...maneno kama hayo kwa kawadia huwa yanatolewa na watu wenye mtazamo wa kitaifa na kuitakia mema nchi yetu..Ngupula

On Thursday, 12 December 2013, 22:34, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

Naam viroboto hao wanatufyonza damu kupitia migao ya Capacity Charges za Richmond na kutudanganya na michango masinagogini ili tusahau mifyonzo ya probosis zao maana wanajua ubweehe wetu 2015 tunawaweka jikoni. Tutakoma kuzaliwa bongo

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, December 12, 2013 12:52 PM
Subject: Re: [wanabidii] Ujumbe wa Edward Ngoyai Lowasa Katika Kutumiza Miaka 52 ya Uhuru

Watanzania wanajitahidi kuchapa kazi kwa ajili ya maisha yao tatizo ni viroboto waliomo ndani ya nguo zao. Kila juhudi inafanyiwa hujuma na hao viroboto. Miili yetu lazima itazoofu tu kama hatutatambua na kujiweka mbali na viroboto hao

2013/12/11 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>

Tunu haza si Amani, Mshikamano na utulivu bali hayo ni mazao ya haki ambayo sasa kwa kuikosa vinajaribu kulazimishwa na matumizi ya Polisi. Lakini vitaweza kudumu kaka mafisadi wanaolinyonya taifa watadhibitiwa. Hapo wala hatutahitaji kuvihubiri ila vitakuja vyenyewe
>
>
>
>From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Monday, December 9, 2013 11:49 AM
>Subject: [wanabidii] Ujumbe wa Edward Ngoyai Lowasa Katika Kutumiza Miaka 52 ya Uhuru
>
>
>
>LEO HII TAIFA LETU LINATIMIZA MIAKA 52 YA UHURU.
>
>Kama taifa tuna kila sababu ya kujivunia Amani, Mshikamano, na Utulivu vitu ambavyo ni tunu pekee tuliyorithi kwa waasisi wa taifa letu.
>
>Kwa sasa kila Mtanzania lazima awajibike na kutimiza wajibu wake ili Taifa lizidi kusonga mbele na kuwashinda maadui zetu Ujinga, Maradhi na Umasikini.
>
>Kwa pamoja lazima tumuunge mkono Mh Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete katika jitihada zake mbali mbali za
kuliletea taifa letu maendeleo makubwa na ustawi wa kijamii.
>
>Na pia lazima tukiri kwa dhati toka moyoni kwamba Mh Rais ameitangaza vyema Tanzania katika medani ya kimataifa na kwa sasa tumepata heshima kubwa kama taifa na kuaminika katika uso wa kimataifa (Hongera sana Mh Rais)
>
>Pia kama taifa lazima tuendelee kujivunia rasilimali watu tuliyonayo na tuitumie vyema katika kuleta manufaa kwa taifa na hasa nguvu kazi ya VIJANA WA TAIFA LETU.
>
>NAWATAKIA WOTE SIKUKUU NJEMA YA UHURU WA TAIFA LETU
>
>
>
>Edward Ngoyai Lowasa
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You
received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment