Tuesday 17 December 2013

RE: [wanabidii] UFAFANUZI WA MAKOSA YA MHE ZITTO KABWE , KITILA MKUMBO NA SAMSON MWIGAMBA

Hosea
Tatizo ni la mchangiaji jinsi alivyojipambanua. Ametumia chuki nyingi sana ametumia maneno kama "chadejazba na hukum za kijazba" hii ni wazi huyu anabeba nembo ya MaCCM. Pia taswira ya kampuni au taasisi na hata familia yaweza kuakisiwa toka kwa mtu mmoja kwa jinsi anavyojipambanua, hivyo Mollel pasipo kumung'unya maneno anaonekana ni wakala wa CCM. Pili hapa Tanzania hakuna chama kingine pinzani kwa CDM isipokuwa ni CCM pekee na hivyo mawe yote wanayaelekeza kwa chama hiki makini ambacho ni tumaini kubwa la watanzamia.

Always darkness will never comprehend light

________________________________________
From: wanabidii@googlegroups.com [wanabidii@googlegroups.com] on behalf of hosea.ndaki@gmail.com [hosea.ndaki@gmail.com]
Sent: Wednesday, December 18, 2013 1:00 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UFAFANUZI WA MAKOSA YA MHE ZITTO KABWE , KITILA MKUMBO NA SAMSON MWIGAMBA

Frances, ccm inaingiaje hapa?

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Francis Kasili <Francis.Kasili@nmbtz.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, December 17, 2013 4:48:57 PM GMT+0000
Subject: RE: [wanabidii] UFAFANUZI WA MAKOSA YA MHE ZITTO KABWE , KITILA MKUMBO NA SAMSON MWIGAMBA

No way, wewe unafikiri CDM kufikia hatua hii ndio mwisho!! this is just a normal challenge and the same makes the party even stronger. akili za CCM zimewapofusha hata hamfikirii mambo mengine zaidi ya kuitakia CDM mabaya. Mtaongea mengi sana lakini ukweli unabaki palepale kuwa Mungu anasimama na ukweli pasipo kujali uongo uko kiwango cha juu kiasi gani. Na katika hili CDM inasimamia ukweli na kuthubutu kuchukua hatua ngumu hata kama itachukuwa muda kuwaelewesha waTZ kwani msema kweli ndiye mpenzi wa Mungu. Ashupazaye shingo mwisho wake ni kukatika, na hili ninaliona kwa MaCCM kwani badala ya kujirudi ili waTZ wawasamehe mnazidi kuharibu na kuzua mapya kila kukicha.

Always darkness will never comprehend light

________________________________
From: wanabidii@googlegroups.com [wanabidii@googlegroups.com] on behalf of lesian mollel [aramakurias@yahoo.com]
Sent: Monday, December 16, 2013 7:48 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UFAFANUZI WA MAKOSA YA MHE ZITTO KABWE , KITILA MKUMBO NA SAMSON MWIGAMBA

kaazi kweli kweli chadejazba na hukum za kijazba......check mh slaa naskia almasusra apopolewe mawe chadema....sera imekua ni zitto jamani chadema, hapa si siri hawa wazee washasoma alama za nyakati wameona mtu tishio kwao ni zitto, kina lissu na mnyika wanatumika tu
poleni lakini,kwa mtindo huu mnawayumbisha members na weeengi washaanza kujirudisha ccm, hatari hii 2015 wabunge pungufu na kura chache urais....mnajiloga weneywe chadema...kaeni chini rethink

On Friday, December 13, 2013 8:18 AM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Taarifa kwa Vyombo vya habari 11/12/2013 Albert Msando

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

11/12/2013

ALBERT MSANDO
Baada ya kupokea barua yake ya mashtaka 11 tarehe 01/12/2013 ambayo anashitakiwa nayo na iliyomtaka ajitetee kwa maandishi.

Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe (MB) jana tarehe 10/12/2013 amefanya hivyo kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Uendeshaji za Chama Pia Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe (MB) ametoa taarifa kwa Katibu Mkuu wa Chama kumueleza nia yake kukata rufaa Baraza Kuu la Chama kupinga hatua iliyochukuliwa na Kamati Kuu dhidi yake kumvua nyadhifa zake ndani ya Chama.

Kuna sababu mbili za msingi za kukata rufaa;
1. Utaratibu wa kuchukua hatua za nidhamu ulikiukwa.
2. Sababu za kuchukuliwa hatua hizo sio sahihi.

Utaratibu ambao unatakiwa kufuatwa kabla ya kumchukulia hatua za kinidhamu kiongozi kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Uendeshaji ni kama ifuatavyo;

Kanuni ya Uendeshaji 6.5.6 inasema;
Kiongozi yeyote hatachukuliwa hatua za kinidhamu bila kwanza kupewa mashitaka yake kwa maandishi na mamlaka husika na kupewa nafasi ya kujibu mashitaka kwa maandishi.

Pia tunapenda ijulikane kwamba Kanuni ya Uendeshaji 6.5.2 (a), (b), (c) na (d) kama ilivyorekebiswa Januari 2013 inasema; Kwa mujibu wa ibara ya 5.4.3 na 5.4.4 ya Katiba mwanachama yeyote hatachukuliwa hatua za kinidhamu ama kuonywa ama kuachishwa ama kufukuzwa uanachama bila kwanza;

a) Kujulishwa makosa yake kwa maandishi na kutakiwa kutoa majibu katika muda usiopungua wiki mbili.
b) Kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya kikao kinachohusika.
c) Mwanachama atajulishwa kwa maandishi uamuzi wa kikao mnamo wiki mbili baada ya kusikilizwa.
d) Kamati Kuu inaweza kuchukua hatua za dharura bila kuzingatia utaratibu (b), (c) hapo juu kama itaona maslahi ya Chama kwa ujumla yanaweza kuathiriwa isipokuwa mwanachama au kiongozi anayelalamikiwa atalazimika kuitwa kwenye kikao husika.

Naomba nichukue fursa hii kufafanua kuwa uongozi wa chama ulifanya mkutano na waandishi mnamo tarehe 26/11/2013 na kusema kwamba marekebisho haya ya Kanuni ya mwaka 2013 ambayo nimewawekea hapo juu, ndiyo utaratibu waliofuata.

Pia walieleza kuwa sikuwa naifahamu na nilidanganywa kwani Kanuni ilishabadilishwa.
Mabadiliko haya ambayo ni katika kipengele (d) kuhusu hatua ya dharura iliyochukuliwa na Kamati Kuu haikugusa kipengele (a) cha Kanuni. Yaani ni kuwa hata kama Kamati kuu itachukua hatua ya dharura kwa mujibu wa kipengele (d), bado kipengele (a) ni lazima ifuatwe na inatamka wazi sharti la kiongozi kupewa mashtaka kwa maandishi na kupewa nafasi ya kujibu kwa maandishi. Hii ni haki ya msingi kwa kila utawala au uongozi.

Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe hakupewa mashtaka yake aliyakuta ndani ya kikao baada ya kupewa taarifa kwa ujumbe wa simu (text message au sms).
Kwa uzito wa makosa hayo yaliyosababisha kuvuliwa uongozi na kwa kuangalia athari zake kwake yeye binafsi na chama kwa ujumla, Kamati Kuu ilitakiwa kujiridhisha kwamba Kanuni za Uendeshaji na Katiba zinafuatwa.

Hili linaendana na utaratibu uliotumika kwa Samson Mwigamba kuvuliwa nyadhifa yake ya uenyekiti wa mkoa. Yeye hakuitwa kabisa kwenye kikao hicho na ni ukiukwaji wa Kanuni ya Uendeshaji 6.5.6(d) niliyoisoma hapo juu kwamba lazima kiongozi huyo aitwe kwenye kikao.

Sababu zilizotumika ingawaje hajapokea taarifa rasmi ya maandishi kwa mujibu wa Kanuni za Uendeshaji ni kwamba yeye ameshirki kwenye kuandaa na kusambaza waraka ambao unasemekana ni mkakati wa ushindi wenye lengo la kupindua uongozi uliopo.

Waraka huo haukumtaja Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe kama muandaaji au msambazaji. Waliouandaa hawajaukana na badala yake wamesema waziwazi kabisa kwa maneno na maandishi kwambaMheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe HAHUSIKI.

Sio sawa kumuadhibu Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe kwa hisia au tu kwa sababu ya urafiki wake na watu fulani. Haya ni mapungufu ambayo kwa bahati nzuri Katiba na Kanuni za Uendeshaji zinatoa nafasi ya kurekebishwa kwa kutoa nafasi ya kukata rufaa. Na utaratibu ni huu hapa;

Kwa ufupi, Ibara 6.3.6(d) ya Katiba ya Chama;
"Kiongozi aliyechukuliwa hatua za kinidhamu na mamlaka yake ya nidhamu anayo haki ya kukata rufaa ngazi ya juu ya ile mamlaka yake ya nidhamu na uamuzi wa ngazi hiyo utakuwa wa mwisho".

Ibara 6.3.6(e) ya Katiba ya Chama;
"Rufaa yoyote lazima ifanyike katika muda wa siku thelathini tangu tarehe ya kupokea rasmi kwa maandishi maamuzi ya mamlaka iliyotoa adhabu".

Kanuni za Uendeshaji zinatoa UTARATIBU ambao unatakiwa ufuatwe ili kiongozi aliyeadhibiwa aweze kutumia HAKI yake ya kukata rufani kwa maneno haya;

Kanuni ya 6.5.8 ya Kanuni za Uendeshaji;
"Kiongozi aliyeadhibiwa atapewa taarifa ya msingi wa maamuzi ya mamlaka ya nidhamu ili kumuwezesha kuamua kukata rufani au la"

Kanuni ya 6.5.9 ya Kanuni za Uendeshaji;
"Mwadhibiwa atakayeamua kukata rufani atatakiwa kufanya hivyo katika muda wa siku thelathini baada ya kuarifiwa uamuzi wa adhabu"

Kanuni ya 6.5.10 ya Kanuni za Uendeshaji;
"Baada ya kutoa uamuzi kikao husika kinalazimika kuandaa taarifa kamili ya mwenendo wa shauri na kuwasilisha ngazi ya juu. Taarifa hiyo lazima ifike katika muda wa siku kumi na nne baada ya kikao cha mamuzi"

Mpaka hivi sasa hatujapokea taarifa kamili ya mwenendo wa shauri tokea kikao cha Kamati Kuu cha tarehe 20-21/11/2013<https://192.168.114.74/owa/UrlBlockedError.aspx> Huo ndio utaratibu ambao Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kufuata kwa kuheshimu maamuzi ya Kamati Kuu lakini kukatia rufaa maamuzi hayo. Kuheshimu maamuzi sio kuyakubali uhalali wake.

Kumekuwa na matukio ya kusikitisha ambayo mengine yamefikia mahali kuwa fujo na vurugu ikiwa ni pamoja na kurushiwa mawe Katibu Mkuu wa Chama. Vurugu hizo baadhi zimehusishwa na Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe na baadhi ya watu.

Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe hahusiki kwa njia yoyote na hayo yanayoendelea na anayakemea na kuwashauriwanachama wote kuwa watulivu na kuendelea kuwaheshimuviongozi wa kitaifa. Hatua zimeshachukuliwa kukata rufaa na niimani yake kwamba Baraza Kuu la Chama litatenda haki kwakupitia rufaa yake na kutoa uamuzi.

Nawashukuru wote.
ALBERT MSANDO,
Mwanasheria
11/12/2013

--
Find Jobs in Africa<http://www.wejobsafrica.blogspot.com/> Jobs in Africa
International Job Opportunities<http://www.naombakazi.blogspot.com/> International Job Opportunities
Jobs in Kenya<http://www.findjobinkenya.blogspot.com/> Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

*************************************************************************************** *************************************************************************************** This e-mail and any attachments are proprietary to NMB PLC. Any unauthorized use or interception is illegal. The views and opinions expressed are those of the sender, unless clearly stated as being those of NMB PLC. This e-mail is only addressed to the addressee and NMB PLC shall not be responsible for any further publication of the contents of this e-mail. If this e-mail is not addressed to you, you may not copy, distribute or disclose the contents to anyone nor act on its contents. If you received this in error, please inform the sender and delete this e-mail from your computer.

0 comments:

Post a Comment