Tuesday 17 December 2013

Re: [wanabidii] Clement Mabina auwawa na wananchi wenye hasira , Mwanza

Gikaro;
Nakubaliana na mawazo yako 'wacha dawa ya moto iwe moto' mpaka hapo dawa/solution nyingine itakapo patikana,wengine tunazani malofa hatuna maumivu tunapoonewa na kutokupewa haki zetu.

Kwanza hapa tunatakiwa kuanza na Hakimu aliyekuwa na shauri husika,inawezekana kwa kiasi kikubwa ndiye amesababisha haya yote,kwamba amekaa na shauri husika kwa muda gani na kwasababu zipi?Mana kama facts zipo kunasababu gani ya shauri kuchukua muda lililochukua(kama limechukua muda mrefu na kuwafanya wahusika kuanza kuendelea eneo hilo),kwa kuwamara nyingi mashauri ya ardhi facts huwa zipo na hazihitaji upepelezi.

Reu
ben

On Tuesday, December 17, 2013 5:41 PM, Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com> wrote:
Ndugu zangu, hakuna mtu anaye-entertain haya mambo hata kidogo...haya mambo yana-entertainiwa na serikali kwa kushindwa kuchukua hatua za kuyakomesha au kwa kulindana (kwamba huyu ni mwenzetu,muache asifungwe, nk). Na kama ujuavyo, malofa hawana chao mahakamani...hata kama wao ndiyo wanaoonewa siku zote, huishiwa kufungwa jela kwa jeuri ya pesa ya mafisadi. Kwani mmeshau issue ya Chenge na Titopile? Msiwe wepesi kusahau.

Njia inayotumiwa na malofa kujitetea ipo sahihi kabisa hadi hapo mifumo ya kimahakama itakapoanza kuwatendea haki. Acha dawa ya moto iendelee kuwa moto hadi hapo dawa mbadala itakaopatikana.

On Tuesday, December 17, 2013 5:29 PM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:
hosea sipingi maana sijafanya utafit ila mambo ni mengi.....haya si matukio mazuri kabisa ya kuentartain, inazoeleka na itapelekea watu kuchukuliana hatua on the spot...ie cases za partners kuuwana ishashika kasi saswa hapa kwetu, hii la kutumia bastola kutisha wananchi nayo ishaanza na hili la wananchi kutake action mmmm tunakoelekea ni kubaya , tuiombee tanzania jamani

On Monday, December 16, 2013 1:52 PM, "hosea.ndaki@gmail.com" <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Mollel, sidhani kama tatizo ni ardhi! Turudi mwaka 2010, mgombea wa ubunge kupitia upinzani bwana laurian lukona alikuwa analalamika kuchakachuliwa kura, badae lukona alifariki kwa malaria lakini uvumi ulienea kuwa alipewa sumu kwenye gongo na wahasimu wake wa kisiasa. Hii ilijenga chuki kwa watu dhidi ya wanasiasa. Inawezekana wananchi wameamua kulipa kisasi pia.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, December 16, 2013 6:01:08 AM GMT-0800
Subject: Re: [wanabidii] Clement Mabina auwawa na wananchi wenye hasira , Mwanza

wananchi si utani wamechoka, masuala ya kunyang'anywa ardhi yao...land grab , limekua la kawaida, tena kwa silaha....wamefanya maamuzi hayo magumu baada ya kitendo cha mauaji hayo ya mtoto, wakaaamua kulipiza kisasi on the spot, wana mifano ya kija capt mzuzuri dito na konda pale kawe....
kuna shida ktk institution zetu za sheria

On Monday, December 16, 2013 2:15 AM, MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com> wrote:

Hosea naomba niwe Lawyer wako kwenye mirathi kwa ajili ya madai yako

2013/12/16 Jose Kaps <jjossie@hotmail.com>

Ruben, maelezo yako yamebeba taswira ya dawa ya moto ni moto, jambo ambalo mimi sikubaliani nalo. Sikumtaja marehemu kwenye maelezo, lakini kama angekua hai naye alipaswa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria aeleze ni katika mazingira gani alilazimika kutimia silaha
>
> Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
>
>
>Jose;
>Hawa wananchi walimfuata Mh. Diwani nyumbani kwake?
>Utawala wa Sheria maana yake kuheshimu sheria,wenzetu Usalama wanasema utii wa sheria bila shuruti,sasa suala lipo mahakamani halijatolewa hukumu/maamuzi,nguvu ya Diwani kuendeleza eneo ambalo lina matatizo aliitoa wapi?yeye ndiye kiongozi aliyetakiwa kuwa
mfano kwa kufuata sheria,then kaonyesha ukaidi wa kumwaga ugali...
>
>Kufuata sheria sio kwetu sisi Malofa tu, ni kwa wote. Usemi wako ndio unaonyesha ukweli kwamba magereza zimejaa malofa,sababu hatuna fedha ndio kosa letu, tunapelekwa huko ili tusiwabhuguzi wenye nazo.
>
>Tuzungumzie pande zote,hata Mh. Diwani ana la kujibu kama angesalimika. Jose wacha Koleo iitwe koleo tu na sio kijiko kikubwa.
>
>Reuben.
>
>
>
>
>
>
>
>
>On Monday, December 16, 2013 11:18 AM, Jose Kaps <jjossie@hotmail.com> wrote:
>
>Utawala wa sheria ndiyo kiini cha amani kwenye Jamii yoyote, au kwa maneno mengine rahisi kueleweka ni kwamba, tukiacha watu wafanye watakavyo, tafsiri yake ni kwamba haipo sababu ya kuwa na sheria. Wahusika wakamatwe na wajibu tuhuma kuhusikako
>>
>> Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
>>
>>
>>Comrade Ndaki;
>>Unatoa ushauri kwa upande mmoja tu wa wauwaji wasakwe wachukuliwe hatua,hapa bado hakuna chochote kwa upande wa pili.
>>Je wakisha sakwa na kuchukuliwa hatua nini kifanyike kwa Viongozi wa aina hii ambao wapo kwa maslahi binafsi?au ndo tuendelee kuogopa ili tuendelee kudhulumiwa?Inji hii ni ya wote sio ya Viongozi pekee,kama ndaki Mh. Diwani angezingatia utawala wa Sheria haya tusingekuwa tunayaongelea hapa sasa.
>>
>>Reuben.
>>
>>
>>
>>
>>On Sunday, December 15, 2013 11:12 PM, Magora Hassan <magorah15@gmail.com> wrote:
>>
>>Hali hii inatusha
>>>Rgrds
>>>Magora
>>>On Dec 15, 2013 6:35 PM, "Fakhi Karume" <fkarume@gmail.com> wrote:
>>>
>>>Hii ni picha yake baada ya kufikishwa hospitali 
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>On Sun, Dec 15, 2013 at 6:07 PM, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
>>>>
>>>>Tanzania sio car wala libya wauaji wasakwe wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake, tukiruhusu ushenzi huu sasa hivi amani itapotea, sinagogi lililojengwa kwa miaka mitatu tusiruhusu libomolewe kwa siku tatu.
>>>>>
>>>>> ----------
>>>>>Sent from my Nokia phone
>>>>>
>>>>>
>>>>>------Original message------
>>>>>From: Nzweke Mussa <tugutunm@gmail.com>
>>>>>To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>Date: Sunday, December 15, 2013 3:26:58 PM GMT+0300
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Tetesi - Clement Mabina auwawa na wananchi wenye hasira , Mwanza
>>>>>
>>>>>Ni kweli ameuawa na wananchi wenye hasira kali kule kisesa- Magu, Mwanza.
>>>>>Source: Breaking news ITV na Star Tv.
>>>>>
>>>>>Nzweke Mussa Tugutu
>>>>>Area Sales Executive
>>>>>Nyanza Bottling Co. Ltd
>>>>>Custom road/Uganda rd
>>>>>Box 1242
>>>>>Bukoba, Tanzania.
>>>>>Phone:+255282222155
>>>>>Fax:      +255282222155
>>>>>Cell:     +255754 894535
>>>>>cell:      +255784 894535
>>>>>Mail ID:tugutunm@yahoo.com
>>>>>            tugutunm@gmail.com
>>>>>twiter: Nzweke Mussa @Tugutu
>>>>> On Dec 15, 2013 3:09 PM, "Vincent Mhangwa" <vmhangwa@gmail.com> wrote:
>>>>>
>>>>>> Tuko pabaya sana inchi hii.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>> On 15 December 2013 14:48, <dekleinson@gmail.com> wrote:
>>>>>>
>>>>>>> Nimeuliza mtu wa Mwanza anasema nae "anasikia" ni kweli ila sio KISEKE ni
>>>>>>> KISESA ambako yeye (Mabina)ndio diwani wa huko!!
>>>>>>> Mwenye ukweli atujuze zaidi!
>>>>>>> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>>>>>>
>>>>>>> --
>>>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>
>>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>> ukishatuma
>>>>>>>
>>>>>>> Disclaimer:
>>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>>> ---
>>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>  --
>>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>> Disclaimer:
>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>>>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>> ---
>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>
>>>>>--
>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>>>
>>>>>Disclaimer:
>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>---
>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>> 
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>> 
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
--
>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>> 
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>> 
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
>>>---
>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> 
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> 
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment