Friday 27 December 2013

Re: [wanabidii] Tahadhari wizi mpya umeingia mjini

Hawa akinamama nao sikuhizi matatizo, unakuta mdada anasuguliwa miguu barabarani, anabandikwa makucha ya bandia barabarani, akiambiwa njoo upate ofa ya soda hatakama anapeleka mtoto clinic atakaa kunywa soda.

Huku kwetu kuna mtaa unaitwa makoroboi, ukipita uko kwenye mafungo lazima toba iharibike, utakuta mama anajaribisha gagulo hadharani hajali hata kama kufuli linaonekana kisa nguo inauzwa mia tano.
----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, December 27, 2013 7:36:42 AM GMT-0800
Subject: Re: [wanabidii] Tahadhari wizi mpya umeingia mjini

kina mama ndo wa kuelimishwa ni warahisi sana kushawishia, si unaona my wife wa jamaa , mm kama mambo yangu yako sawa kwann nisimame road na mtu, na kama nna shida ya network naenda kwenye centres za provider banaa

On Friday, December 27, 2013 7:04 AM, Nicco Mwaibale <nicomwaibale@yahoo.com> wrote:

Pole sana mdogo wangu, lakini tunashukuru sana kwa tahadhari hiyo

nico mwaibale

On Friday, December 27, 2013 2:49 PM, Thobiass Mwanakatwe <mwanakatwe2005@yahoo.com> wrote:

Ajira 100,000 zilizoahidiwa na serikali zipo wapi.

On Friday, December 27, 2013 4:16 PM, Jesse Kwayu <jessekwayu@gmail.com> wrote:

Unampa mtu yeyote tu simu yako tena barabarani kwa kuwa tu kavaa uniform za voda? Tusijirahisishe kiasi hicho. Tembelea ofisi zilizosajiliwa upate huduma ya uhakika na ya watu wanaoaminika. Siyo vyote ving'aavyo ni..... Tafakari.
On 27 Dec 2013 11:01, "Emma Kaaya" <emmakaaya@gmail.com> wrote:

Jana nilipata kisa kimoja kutoka kwa my wife,alipotoka kanisani alikutana na vijana wawili waliokuwa wamevalia sare za kampuni ya simu ya Vodacom wakidai wanasaidia wateja wao kuunganishiwa huduma za internet.
>
>
>Baada ya my wife kuwakabidhi simu yake waliifungua na kuirudishia na kumuahidi ataanza kutumia internet baada ya saa moja.Punde si punde akagundua simu yake haiko hewani na baadaye kidogo akagundua alikuwa amebadilishiwa sim card mpya isiyosajiliwa.
>
>
>Tulipata hisia huenda walikuwa ni wezi ndipo tukaamua kubadili password nmb mobile kupitia ATM na baadaye tulipiga simu Vodacom ambapo walitujulisha walikuwa wameshatoa sh.laki 350 kutoka nmb.
>
>
>Tahadhari: Tuwe macho tusiwaamini hata wanaojifanya ni wafanyakaZi wa kampuni za simu.
--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment