Halo Dada kwa kweli kwanza nakushukuru kwa kuwa muwazi tena jasiri kuoenesha mapungufu yako katika mtandao, maana inaonesha umefunzwa kwamba penzi la dhati ni "pesa" huenda waliokufunza wapo sahihi tu! ndio maana unadhani penzi ni pesa. lakini kwa mtazamo sahihi na ulio makini tena ambao duniano kote wanauheshimu watu wa madhehebu mbalimnbali ni kwamba pesa haina uhusiano na mapenzi ila pesa au mafanikio ya mtu ni mtazamo tu yaani (attitude) kwa maana hiyo kwa kuwa jamaa amekosa kazi ina maana Mungu amefunga mlango wa yeye kukuoa wewe kwani ungeweza hata kumuua kwa presha za kijinga kumbe always God under work! so omba Mungu unaemwamini akupe mchumba wa kufanana na wewe na yumkini ndoa yako haitodumu na huenda hukubarikiwa kuolewa kwa hilo ninadhani nipo sahihi kabisa kwani nimefunuliwa kuyandiuka haya
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
On Sunday, December 8, 2013 1:23 PM, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
Comrades Yona;
Huyu Mdada kweli ni jambazi,yani yeye haoni umuhimu wa kuwa na kazi ili kuchangia kipato cha itakayokuwa familia yao ila kubaki golikipa ndio option katika maisha yake,ana akili ya kizamani sana pia mwambie Mwenyezi Mola ameamua kumtenganisha na huyo jamaa ili jamaa apate nafuu mana hakuna kitu apo ni kuibiana tu japo ni mtihani kwa jamaa yetu.
Wanawake wengi hawajui maana halisi ya 'gender',yaani haki na majukumu sawa,wanajua kutamka tu na kuwa wa kwanza katika mambo mazuri lakini kwenye mtulinga wanajiita wao wanawake.
Asituletee ulofa wake apa.
Reuben
On Sunday, December 8, 2013 1:06 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Duh huyu jambazi tuOn Dec 8, 2013 1:01 PM, "Yona Fares Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:--Admin hide my name pls mimi ni msichana wa miaka 27 Naishi Tabora nchini Tanzania nimejitokeza kwenu kushare tatizo langu naimani mtanipa ufumbuzi sahihi. Mimi na mchumba wangu ambea tulipanga kuoana mwezi wa kumi na mbili ila sasa sioni umuhimu wa kufunga nae ndoa tena kwa mwanzo alikua na kazi yake lakini sasa kafukuzwa kazi sizani kama ataweza kuniudumia mtu kama mimi. Tena maisha yake yamekua magumu sana tofauti na mwanzo kwani tukikutana alikua ananiachia pesa ya kutosha lakini sasa tukikutana ananiachia pesa ya miogo yani kafulia sana hana maana. Sasa naitaji mnipe mawazo yenu je niachane nae au nimsubiri apate kazi tena ndio tuoane?--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment