Sunday, 8 December 2013

Re: [wanabidii] MAPENZI SIO PESA

Labda dada hukujua. Nikueleze wazi huna mapendo ya aina yoyote kwa kaka huyo. Ulimpenda kwa sababu ya nafasi yake/fedha yake. Na umeshasema wazi hawezi kukuhudumia tena. Sijui huduma uliyohitaji ni mahitaji tu au upendo wa dhati. Ukiendelea na tabia hiyo mbaya hutapata  mtu wa kufaa ktk maisha yako. Muombe Mungu akuangaze na uondokane na jinamiza hilo la mahitaji. Uone thamani ya mtu katika utu wake na si katika mali yake.
Kessy 

On Sunday, December 8, 2013 1:06 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Duh huyu jambazi tu
On Dec 8, 2013 1:01 PM, "Yona Fares Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Admin hide my name pls mimi ni msichana wa miaka 27 Naishi Tabora nchini Tanzania nimejitokeza kwenu kushare tatizo langu naimani mtanipa ufumbuzi sahihi. Mimi na mchumba wangu ambea tulipanga kuoana mwezi wa kumi na mbili ila sasa sioni umuhimu wa kufunga nae ndoa tena kwa mwanzo alikua na kazi yake lakini sasa kafukuzwa kazi sizani kama ataweza kuniudumia mtu kama mimi. Tena maisha yake yamekua magumu sana tofauti na mwanzo kwani tukikutana alikua ananiachia pesa ya kutosha lakini sasa tukikutana ananiachia pesa ya miogo yani kafulia sana hana maana. Sasa naitaji mnipe mawazo yenu je niachane nae au nimsubiri apate kazi tena ndio tuoane?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment