Saturday 21 December 2013

Re: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa

Ndugu Elisa,Membe kuwa waziri mkuu?????ningeshangaa sana kama usingemtaja...Huyo Lowasa unayemuandama kila uchao, is just kwamba muda wake wa kuzungumzia kashafa zake kisiasa haujafika...na siku akifungua mdomo wake akasema baadhi tu...hakuna mtazania atayebaki kumnyooshea kidole isipokuwa may be wewe tu.  Remember CCM walipokuwa na ajenda ya kujivua gamba huku pia wakimlenga yeye ilikuwaje....? Lowasa ameibeba serikali ya CCM,  amani na mustakabali wa Tanzania kiasa kwa kiwango  cha kutosha na kwa gharama kubwa..Ni watu wachache haswa wanaoielewa siasa ya Tanzania kwa hisia ndio wasiolikubali hilo,lakini ni ukweli ulio wazi. Lowasa ni mvumilivu,ni mkweli na ni safi,na anaouwezo wa kuwasaidia watanzania kwa kiwango kikubwa,kwa uwezo wa Mungu atashinda.

Tulimuondoa Lowasa kwenye nafasi ya uwaziri mkuu,kilichobaki ni majuto..na Mungu wa huruma na upendo na haki kwa matendo ameonyesha ni kwa jinsi gani nafasi hiyo ilimstahili yeye.Ugumu wa mioyo na upofu,baadhi yetu bado hatujatambua ni kiasi gani huyu ndugu pengine hakuwa hata na kosa,lakini bado anabebeshwa mizigo mingine,duhhh????.

siku zote nzsema na narudia kusema,mbadala wa lowasa,kama yupo basi labda atakuwa ni Membe,Magufuli au Slaa....hakuna mwingine na watu wasijisumbue,watajuta tu na kufa kwa pressure. Ngupula

On Saturday, 21 December 2013, 9:57, Ipyana L <ipyanalwinga@gmail.com> wrote:
Wabunge wapo wengi tu! Basi awekwe Maghufuli, Mwakyembe, au Sitta, lakini Membe hakuna pale!

2013/12/20 Ernest Mmbaga <emmbaga@hotmail.com>
Fatma.  umesema  ukweli  halisi.  hamna  mwenye  chuki  na Lowasa lakini  kwa  swala  la  Urisi  kwanini  yeye  ambae  ameshapatwa  au  kutajwa  katika  kashfa  nyingi  tu.  tangu    enzi  Nyerere.  kwa nini  asipumzike  tu na  kula  mihela  yake ??  hivi  hatuoni  watu wengine  wengi  tu  wanaoweza kua  Rais  isipokua Lowasa??

jamani  tumechoka  na  hadithi  zenu  kama hamna  ya kuandika  tulieni  msome  tu,  hapa  hadanganyiki  mtu  tena !!!

Ernest

Subject: Re: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa
To: wanabidii@googlegroups.com
From: fatma_elia@yahoo.com
Date: Sat, 21 Dec 2013 05:08:02 +0000

Tanzania yetu tumejaaliwa hazina ya Viongozi bora na waadilifu lakini kutokana na kuogelea kwenye bwawa la mafisadi tumekuwa vipofu wa kuwaona walio waadilifu na kuishia kuona hao hao mafisadi ndio watakaotusaidia. Naomba kuuliza hao wanaompigia debe Lowasa waniambie tangu alipojiuzulu kwa kashfa ya Richmond ni kitu gani alichokifanya kuwathibitishia watanzania kuwa amebadilika? Na wanao uhakika gani kuwa atakaporudi hataendelea kumalizia alipoachia? Naombeni elimu ndugu zangu kwani sijakiona chochote alichokifanya zaidi ya kupanda kwenye majukwaa na kuhubiri mahubiri ambao yeye mwenyewe sio muumini wa hayo? Sijaona alichokifanya zaidi ya kuzunguka Tz nzima akimwaga mahela ambayo hajaweza kuwaambia kayapata vipi? Naombeni tuache ushabiki Tanzania ni yetu sote msijigawie mkajiona kama ni yenu na wengine wote ni mbumbumbu

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Augustino Chengula <achengula@gmail.com>
Date: Fri, 20 Dec 2013 21:53:56 +0100
Subject: Re: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa

Akipewa Samweli Sita nadhani mambo yanaweza kwenda vema

2013/12/20 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Anaweza kurudi kweli. Linaweza kuwa janga lingine. Atawadanganya wasioelewa hadi 2015 ili apate urais na baada ya hapo sura yake halisi ionekane.
Wapo wabunge wengi wanaoweza kuwa wanafaa. Tuanze na Anna Tibaijuka, Harison Mwakyembe, Benard Membe. nikomee hapo/. Orodha ya wanaoweza ni kubwa.

Sent: Friday, December 20, 2013 8:01 PM

Subject: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa

Na MM Mwanakijiji

Dalili zote zinaoonesha kuwa kilio cha wabunge kutaka Pinda ajiuzulu na hivyo Baraza la Mawaziri livunjike lina dalili moja kubwa; Lowassa's comeback. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine yeyote ambaye anaweza kupata kuungwa mkono na wabunge wa CCM kama Lowassa. Kurudi kwake itakuwa ni kupata second chance na kujipanga vilivyo kwa ajili ya 2015. Kama siyo Lowassa ni mbunge gani mwingine wa CCM kutoka majimbo ya kuchaguliwa anayeweza kupata support na heshima ya kuwa Waziri Mkuu? Haitakuwa mara ya kwanza kwa Waziri Mkuu kurudia kiti chake mara ya pili. 

Yetu macho.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

To all the questions of your life YOU are the  most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself

Ipyana Lwinga
Email:    ipyanalwinga@gmail.com

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment