Thursday 27 September 2012

[wanabidii] WAMACHINGA WAENDELEZA VURUGU ARUSHA MJINI

Mji wa arusha umechafuka ghafla baada ya wafanyabiashara ndogo ndogo
mjini hapa kuvamia eneo lililouzwa na aliyekuwa meya miaka ya nyuma.
Eneo hilo liko karibu na soko la kilombero. Hali hiyo imekuja baada wa
manispaa ya arusha kukamata bidhaa za wafanyabiashara hao ambapo eneo
walilokuwa wamepangiwa kuwa dogo kuliko wafanyabiashara hao

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment