Monday 17 September 2012

Re: [wanabidii] UJUMBE WA RICHARD TAMBWE HIZZA KWA WATANZANIA

Sylvanus Kessy,

Hauwezi kujua matumizi ya michngo inayokusanywa mpaka umekuwako katika
kundi linalokusanya hiyo fedha. Kajiunge nao.

Nikukumbushe tu kuwa elimu ya siasa hasa siasa ya vyama vingi
inahitajika mno nchini mwetu kwasasa. Utatoaje elimu bila fedha? Au
unadhani vyama vipya vya siasa ni kama ccm iliyopora mali zetu,
viwanja, majengo, n.k. na kufanya mali za chama? Vyama vipya lazima
viombe nguvu ya wanachama ili vijiendeshe. Hata ccm enzi hizo
tuliichangia labda wewe ulikuwa bado mdogo.

Hayo maendeleo ya madawati, n.k. unayoyasema kwanini usiiulize
serikali tunayoipa kodi zetu inafanya nini? Unafurahi inunue risasi na
mabobu ya kutuulia wananchi tunaohudhuria Mikutano ya vyama pinzani?
Ikiwa hivyo, kajichunguze pengine liko tatizo katka akili yako.



On 9/17/12, Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com> wrote:
> Lengo la vyama vya upinzani ni nini? CHADEMA Kimeanzisha m4c, CUF
> Mchakamchaka hadi 1215, na wengine pengine wataibuka na kauli mbiu zao.
> Kauli mbiu hizi zina manufaa gani kwa Mtanzania?
>
> Tena sasa wamekuja na jipya la HARAMBEE kuchangisha watu pesa. Sijui ni
> hiari au lazima? Ni vema kujiuliza hizi fedha zinapelekwa wapi na zitafanya
> kazi gani. Tukienda mkuku tu pengine ni za kununua mapanga ili TUUANE
> KIRAHISI NA VIZURI ZAIDI.
>
> Naungana na Mama Hildegarda kuwa hizi hela zingetumika kuleta maendeleo
> amabayo kwa namna moja au nyingine chama tawala kimeshindwa kuyaleta
> NINGEELEWA. Zingetumika kununua madawati kwa shule zetu badala ya watoto
> kukaa chini, kujenga madarasa, kununua vitabu au kuwatibu wazee ningeona
> WANA AKILI.
>
> Nina wasiwasi hizi hela ndizo zitakazo uwa vyama vyenyewe. Unajua bwana
> fedha usioyoitokea jasho matumizi yake ni HOVYOOOOO.
>
> YANGU MACHO!
>
>
>
>
> ________________________________
> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, September 17, 2012 6:36 PM
> Subject: Re: [wanabidii] UJUMBE WA RICHARD TAMBWE HIZZA KWA WATANZANIA
>
>
> Chacha Wambura-Sio hii ya kuuawa mwandishi wa habari tu (Mungu amrehemu)
> imeanza nyingine ya CUF ya kusema kuwa-kuwaondoa wananchi wakazi wa jangwani
> mabondeni haikuwa sahihi. Mbona serikali inajenga kituo cha bus? kama
> bondeni ni hatari kituo cha basi kinaweka kufanya nini kama ni a hatari. Ni
> msifia mvua tu ambaye itakuwa imenyea (anayeona ubaya wa kukaa mabondeni
> itakuwa imemfika dhahama na hasara pia).Ambae haoni ubaya-hajaonja joto ya
> jiwe.
>
> Fikiria kifo au vifo vinavyoweza kutokea usiku watu wakiwa wamelala hawaoni
> maji yajayo nyumbani. Jee, hakuna tofauti ya Kituo cha muda na nyumba ya
> kulala. Kuwa mtu halali kituoni bali anakaa kwa muda na zaidi mchana sio
> usiku wa manane wamelala hapo. Na kuwa hata nyumba za NHC za raia viwanja
> vyake viliishia juu kwenye roundabout sio bondeni.
>
> Na wale wa kinondoni Mkwajuni walipata msaadawa UNDP-habitat, Halmashauri ya
> kinondoni na ILO kujenga mitaro ya kupitisha maji yaingie Salander bridge
> baharini in late 1990s. Maana maji yakijaa ndani ya nyumba yakifurika kutoka
> mto ng'ombe utokao Tandale na kinyesi cha ng'ombe na mifugo mingine-mbuzi,
> nguruwe etc na kinyesi cha binadamu(mto Ubungo). Wakazi wakisimulia jinsi
> walivyokuwa wakiweka watoto darini na kupanda juu ya bati mvua ya mafuriko
> na mafuriko yikija. Ila  kwa tamaa ya hela, waliowengi waliuza plots
> wakahamia bondeni kwenye maji ya kinyesi na uchafu mwingine. Iliyopita Dec
> 2011 ilikuwa babu kubwa ya maisha kupotea, mali n.k Cheap politics
> zinazema-walionewa kuhamishwa. Hawa watarudi na wanarudi.
>
> Jee kama mvua ikija na mafuriko serikali iwaache isiende kuwaopoa kwa vile
> wamejitakia? Populist approach ya siasa zetu kwa kutaka sifa bila kuangalia
> essence na mantiki ya kitu itatuumaliza. Ni sawa haya unayoongea hapa mtu ni
> kulaumu upande mmoja iwe chama tawala au upinzani hii haitufai. Tuangalie na
> kulichanganua jambo kama afanyavyo P.Lawala hapa it is educative.
>
> Mimi ninaona, iwe sasa vyama kujituma na kujipendekeza kwa wananchi na
> kufanya ushindani kimatendo sio kimaneno. Vyama vya upinzani kuchangisha,
> kutafuta misaada ya kuwajengea wale wa Mabwepande, kuwawekea miundo mbinu
> ili kuipiku CCM iliyolala na kuwaacha taabuni. Yaani action-oriented
> unafanyakazi inaonekana wanakugeukia wewe kukupenda na kukuona Mungu mtu na
> kura zote toka kwao zitakuwa zako.
>
> Lakini ukiwaunga mkono warudikatika madhara na ukishabikia vitu
> visivyowasaidia, iko siku watakushitukia kuona ni maneno tupu matendo hakuna
> ni sawa ile ya kumchangia sana marehemu (kesha kufa) kuliko kumchangia
> kumuuguza apate afya. Waje wazolewe tena jangwani na Merk Sadick Mzee wa
> ukweli kesha kuwaambia hatopeleka mitumbwi tena kuwaopoa, utakuwa umeunga
> mkono kitu cha hatari. Ni sawa na wale wanaoziba njia za kupita mitaani na
> kuweka kiosk, kujenga vibanda chini ya transfoma za umeme na majumba ya
> kifahari mahala ambapo wanajua hairusiwi na kutumia mbinu za kuhonga ikibidi
> ajenge hapo. Tingatinga likiingia-uonevu. Moto ukiwaka hakuna njia ya gari
> kupita-fire vehicle inapigwa mawe. bado hao wajengao majumba ya maghorofa
> 20-50 ktk nchi ambayo moto ukiwaka huko juu solution wachupe chini au
> wasubili mpaka helikopta ya zima moto itoke south Afrika. Na majumba yetu
> tunaweka grili madirishani. Mzungu mmoja aliuliza kama nyumba zote DSM ni
> benki maana kila
> aionayo ina vyuma mkangoni na dirishani kuonyesha usalama wa hali ya juu
> kama utakiwao kwa bank. Tuna mengi ya kujifunza toka kwa wenzetu pia. Ni
> mifano michache kuonyesha jinsi gani Populist-cheap politics zitatumaliza.
>
>
> From: Chacha Wambura <wamburacm@yahoo.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Monday, 17 September 2012, 13:47
> Subject: Re: [wanabidii] UJUMBE WA RICHARD TAMBWE HIZZA KWA WATANZANIA
>
> Bw. Tambwe,
>
> Umenena. Kinachinisikitisha ni kwamba Watanzania sasa tumenyweshwa maji ya
> mzizi wa 'kama nongwa na iwe nongwa'. Tunajifanya sikio la kufa. Tunadhani
> Tanzania bila CCM itakuwa ni kama kuwa Mbinguni. Tumeziba macho, wala
> hatujifunzi kutoka kwa wenzetu. Tunakimbilia kule tunasikitishwa nako
> tukikutazama matukio yake katika TV. Tunadhani ingekuwa vyema polisi wote
> wauawe, serikali yote ife, sheria zote za nchi zizikwe kaburini, utawala wa
> nchi upewe upande mmoja ambao baadhi yetu tunafikiri ndio watakaotuletea
> neema ya asali na maziwa. Tunadhani ni kwa kupayuka huku tumetoa macho,
> kauli za jeuri, kebehi na za kuudhi dhidi ya viongozi wetu, huku tukiifanya
> hiyo ndio kazi ya kutwa, basi maisha yetu yatanyooka. Sivyo, hata kidogo.
>
> Tunadhani tukiongea kauli mbadala, tofauti na wanazotaka hata wamiliki wa
> mtandao huu wa wanabidii, basi sisi sio wenzao. Zikiruhusiwa hizo kauli
> mbadala, kinachofuatia ni comment za kebehi bila kujali mantiki zilizomo.
> Nina mwaka sasa kila comment ninayoitoa wala sioni ikirushwa, na wala
> sijapewa masharti ya aina ya kuandika katika jukwaa hili. Ninapata hisia
> kuwa nalo linatumiwa na walewale wanaoiona serikali yetu na mifumo na
> viongozi wake kama mashetani. Lakini sikio hili la kupenda kusikia kile
> linachochagua, sio sikio la mambo endelevu. Ni sikio la giza,
> lisiloshirikiana na ubongo wake kuona mema katika hali anuwai. --- On Mon,
> 9/17/12, paul lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:
>
>>From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
>>Subject: Re: [wanabidii] UJUMBE WA RICHARD TAMBWE HIZZA KWA WATANZANIA
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Monday, September 17, 2012, 9:05 AM
>>
>>
>>Tambwe + Kibajaji + Nape = hali ngumu 2012/9/17 Abdalah Hamis
>> <http://us.mc447.mail.yahoo.com/mc/compose?to=hamisznz@gmail.com>: > NA
>> RICHARD TAMBWE HIZZA > > WIKI hii waandishi wa habari kutoka katika vyombo
>> mbalimbali nchini > waliandamana kulaani kuuawa kwa mwandishi wa habari wa
>> Kituo cha > Chanel 10 huko Iringa, kifo cha mwandishi huyu kwa bahati
>> mbaya na kwa > mara nyingine tena kimewagawa wananchi katika makundi
>> yanayotofautiana > kifikra kuhusu chanzo na hatimaye kufariki kwake. > >
>> Wapo wanaoona na kuamini polisi wametumia nguvu kubwa katika > kukabiliana
>> na tatizo lililokuwepo, wapo wanaoamini kwamba jeshi la > polisi lilikuwa
>> linatimiza wajibu wake na madhara haya makubwa > yaliyotokea yanatokana na
>> CHADEMA kuendeleza ghasia katika nchi na > kujaribu kuifanya isitawalike
>> kama walivyoahidi baada ya kushindwa > vibaya katika uchaguzi mkuu
>> uliopita (walishinda viti 23 kati ya > majimbo 239). > > Hata hivyo, kabla
>> ya kuingia katika tafakuri pana
> zaidi zinazotokana > na msiba huu sina budi kutoa pole kwa familia ya
> Mwangosi, waandishi > waliokuwa karibu naye katika kufanikisha majukumu yake
> ya uandishi wa > habari, Kituo cha Channel 10 na Watanzania wote kwa ujumla,
> kwa > kuondokewa na mwananchi mwenzetu katika mazingira ambayo wote >
> hatukuyategemea. > > Tumeshuhudia wakati taifa likiwa katika simanzi nzito
> kutokana na > msiba huu, wapo wenzetu walioamua kuutumia kama turufu ya
> kuleta chuki > baina ya jeshi la polisi na waandishi na zaidi umma wa
> Watanzania > ambao usalama wao na mali zao unategemea sana uwepo wa jeshi
> hilo. > Kuna mambo mengi ambayo nimekuwa najiuliza na ningependa Watanzania
>> wote tujiulize, hivi ghasia zilizosababisha msiba huu zilisababishwa > na
> nini/nani? > > Je kulikuwa na ulazima kwa CHADEMA kukaidi amri ya polisi ya
> kusubiri > sensa ipite? Je, ukaidi wa CHADEMA siyo chanzo cha maafa
> yaliyotokea > na yanayotokea mara kwa mara nchini? Je, ingekuwa sawa kwa
> jeshi la >
> polisi kuwaachia CHADEMA kufanya shughuli ambayo walikwisha wazuia >
> wasiifanye? Je, polisi ingewaachia kufanya jambo ambalo > walikwishawazuia
> wangekuwa wanatimiza sheria na wajibu wao? Na je, > uhalali wa uwepo wa
> jeshi hilo ungeendelea kuwepo? > > Wananchi wote tunapaswa kuheshimu sheria
> na polisi wana jukumu la > kutulazimisha kufuata sheria tunapozikiuka
> vikiwemo vyama vya siasa, > najua sheria ya vyama vya siasa inavipa fursa
> vyama kufanya maandamano > na mikutano baada ya kutoa taarifa polisi, lakini
> sheria hiyo hiyo > inasema vitafanya hivyo endapo tu kama havitapata amri
> pingamizi > kutoka polisi (sheria ya vyama vya siasa 1992 kifungu cha 11). >
>> Tujiulize kulikuwa na ulazima gani kwa CHADEMA ambao mwaka mzima >
> wamekuwa wakiruhusiwa kufanya mikutano na maandamano kulazimisha > kufanya
> mkutano uliosababisha kifo baada ya kupata amri pingamizi? > Kama waliona
> polisi hawakuwafanyia haki je ilikuwa vyema kuandaa > mapambano dhidi ya
> polisi? Jje
> walichukua hatua yoyote ya kisheria > dhidi ya polisi au hawana imani na
> vyombo vya kisheria kama ambavyo > Tundu Lissu anavyoziponda mahakama zetu
> bila kuheshimu kwamba zilimpa > ushindi yeye binafsi katika kesi yake ya
> uchaguzi aliyofunguliwa na > mgombea wa CCM, na zile zilizokipa ushindi
> chama chake zilizowavua > ubunge wana CCM huko Sumbawanga na Igunga. > >
> Naamini ili jeshi la polisi liweze kuendelea kulinda amani ndani ya > nchi
> ni lazima tuliamini na lazima tujue kwamba lipo, likizuia jambo > kwa mujibu
> wa sheria wote tuheshimu vinginevyo litakuwa halina sababu > ya kuwepo. Si
> mara moja au mbili mamlaka za umma na vyombo vya sheria > viliamua mambo
> muhimu katika maendeleo ya taifa, lakini yalipata > upinzani hadi pale
> polisi ilipotumia nguvu kuhakikisha sheria > inafuatwa na utekelezaji wake
> unatimia. > > Je, kumfukuza waziri katika hafla ya kulaani mauaji na
> kumkaribisha > mwana-CHADEMA Dk. Lweitama kuhutubia na kuilaani serikali ni
> sawa? Je,
> > ni sawa kulilaumu jeshi zima la polisi kwa tatizo lililojitokeza > sehemu
> moja ya nchi tena katika kutimiza wajibu wao? Kitendo cha > kutowalaani
> walioanzisha uvunjaji wa sheria uliosababisha ndugu yetu > Mwangosi kupoteza
> maisha katika umri mdogo kinaashiria nini kutoka > katika taasisi zetu za
> habari? > > Hapa ndiyo maswali mengine yasiyo na majibu yanapoanza, kwa nini
> tamko > lililotolewa na CHADEMA na lile la wanahabari yanashabihiana. Kwa
> nini > wanahabari hawakuilaumu CHADEMA hata mara moja kwa kutokutii sheria
> na > kuanzisha ghasia zilizosababisha maafa ya ndugu yetu. Nadhani >
> tunahitaji tafakuri pana zaidi. Je wametumwa? Wana hasira? au nao > wameanza
> kushirikishwa katika ajenda za siri dhidi ya serikali na > vyombo vyake? > >
> Wote tumesikitishwa na msiba huu sidhani kama ni vyema kuendelea >
> kushambulia jeshi la polisi bali kuangalia nani ameanzisha sokomoko > ili
> awajibishwe kisheria, kama ikibainika aliyeua ni raia wa kawaida > sheria
> ichukue mkondo wake, pia ikibainika muuaji ni askari akiwa > katika
> kutimiza majukumu yake ni vyema taratibu za kijeshi na mahakama > zitumike
> badala ya kuendeleza chuki zisizo na msingi. > > Tusijisahau wote
> tunawahitaji polisi kama ambavyo tulikuwa tunamhitaji > ndugu yetu Mwangosi
> nikiwemo mimi niliyeshirikiana naye katika > shughuli mbalimbali. Tusiwe na
> hasira maana wahenga walisema hasira > hasara. Tutafute suluhisho la
> yanayotokea yasijirudie. > > -- > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com > Pata
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com > Blogu ya Habari na Picha
> www.patahabari.blogspot.com > > Kujiondoa Tuma Email kwenda >
> wanabidii+http://us.mc447.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > > Disclaimer: > Everyone posting
> to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of
> his or her postings, and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge
> to abide by our Rules and Guidelines. > > -- Karibu Jukwaa la
> www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu
> ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+http://us.mc447.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his
> or her postings, and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi
> www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha
> www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide
> by our Rules and Guidelines.
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment