Monday 3 September 2012

Re: [wanabidii] POLICE SHOOT AND KILL JOURNALIST IN TANZANIA

Lutginwa, mbona hilo halina ubishi? Tayari wameshatufanya sisi ni mataahira na wanatueleza kwamba kilichomuua Marehemu ni kitu kilichorushwa na Mwananchi/Raia. Kwa mujibu wa maelezo ya Msemaji wa Jeshi la Polisi Advera Senso anasema, 'Mwandishi alikuwa akikimbia kutoka upande wananchi na kuelekea walipokuwa Polisi. Kuna kitu kilirushwa kikitokea upande wa Wananchi na kumfikia ambacho kilimjeruhi pia Askari akiwamo Mkuu wa kituo cha Polisi' Hivi hicho kitu anachorusha Mwananchi mpaka kimmfanye mtu utumbo utoke ni kitu cha aina gani? Na hizi picha zilizozagaa kwenye magazeti tunaona Askari wamemzunguka Mwandishi kabla ya hajafariki wakimshambulia, ina maana hawazioni?

Polisi wetu, tunawaombeni sana tene sana, Sisi ni Raia na nyie ni polisi/Askari lakini kumbukeni hamna nnchi yenu tofauti na ya kwetu. Tunaishi wote mitaani hata kama baadhi yenu mpo kambini lakini watoto wenu tunakaa nao na kushirikiana nao. Hivyo basi mnapopewa amri na wakubwa zenu mzitekeleze bila madhara kwa sisi Raia kama ammbavyo tunatii sheria bila shurti. Isifike mahala mtoto wa askari akipita mitaani aonekane kama mtoto wa Simba. Isifike mahala Polisi akapatwa na msiba watu wakaanza kushangilia na kumsusia msiba tofauti na sasa ambapo tuna utamaduni wa kushirikiana katika misiba na sherehe. Nasisitiza tena kwakuwa mnatutaka Raia tutii sheria bila shurti, basi na nyie mtii amri za wakubwa wenu bila madhara!



From: Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, September 2, 2012 7:15 PM
Subject: Re: [wanabidii] POLICE SHOOT AND KILL JOURNALIST IN TANZANIA

Lina kuwa jeshi la wahuni. Msishangae akaibuka taahira mmoja ndani ya polisi na kusema risasi ilivyafuta yenyewe.

GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com> wrote:

>My Lord, R.I.P Daudi,na Poleni sana wafiwa Jeshi letu la usalama lina
>jukumu  la kulinda usalama wa raia na mali zake, sasa sijui ni uslama upi
>unaolindwa hapa
>
>On Sun, Sep 2, 2012 at 6:44 PM, Ndimara Tegambwage <ndimara@yahoo.com>wrote:
>
>> Journalist Daudi Mwangosi, correspondent for Channel Ten TV station and
>> chairperson of Iringa press club, was shot dead by police this afternoon.
>>
>> Reports reaching Dar es Salaam from Nyololo locality in Mufindi district,
>> in the southern highlands of Tanzania, say the journalist was shot at in
>> the presence leaders of leading opposition Chama cha Demokrasia na
>> Maendeleo (Chadema) party who were officiating at the opening of the
>> party's branch.
>>
>> More reports later...
>>
>>
>>
>> Ndimara Tegambwage
>> Information and Media Consultant
>> P.O. Box 71775, Dar es Salaam
>> Tel: 255 (0)713614872
>> e-mail: ndimara@yahoo.com
>> www.ndimara.blogspot.com
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment