Monday 3 September 2012

Re: [wanabidii] poleni iringa press club kwa kuondokewa na Mwenzetu Daud Mwangosi

pole sana jamii ya waandishi wa habari tanzania na hasa kule iringa na njombe. mwangosi ameuliwa na polisi ambao of late they have happy triger. nimemsikiliza commissioner chagonja anasema mwangosi alikuwa anakimbia kulelekea walikokuwapo polisi akionesha kuomba msaada lakini badala ya kupewa msaada wa kuokoa maisha yake polisi wetu ambao sasa wameamua kuua watu walioko kwenye mjumuiko wa kidemokrasia waliamua kummaliza kwa bomu.

polisi wetu hawajafundishwa kulinda raia na mali zake bali kuua na kisha wenye mamlaka kuwalinda. angalia mauaji kule arusha, morogoro na kwingineko kwingi hapa nchini ambapo polisi wamehusika na mauaji ya raia na hakuna iliyochukuliwa dhidi ya wauaji hao wanaotumia risasi za kodi za hao hao wanaowaua.

pamoja na kumwua mwangosi, waandishi kadhaa walishikiliwa na hadi jana usiku baada yao walikuwa hawajulikani waliko labda walifichama kwa hofu ya kukamatwa na pengine kuteswa.

--- On Sun, 2/9/12, nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com> wrote:

From: nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] poleni iringa press club kwa kuondokewa na Mwenzetu Daud Mwangosi
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, 2 September, 2012, 21:36

wanahabari wa Iringa na wanahabari wote,
nimesikitishwa na kusononeshwa na taarifa kwenye blog ya mjengwa kuwa eti mwenyekiti wa Iringa Press Club, david mwangosi, ameuawa na polisi. majuzi tu nilikuwa iringa kwenye ile semina ya wandishi juu ya investigative journalism na namkumbuka sana marehemu kwa ushirikiano na wananchama wenzake uliowezesha semina yetu kufana mno.
nashindwa kuamini kuwa kweli mwangosi katutoka lakini yaelekea mwenyezi mungu kampenda zaidi nasi wanadamu hatuna la zaidi bali kumwombea kwa mola wake apate mapumziko ya milele. nasema poleni wanahabari wa tiringa, poleni wanahabari wote. mungu alitoa, mungu ametwaa, jina lake lihimidiwe, aamen.
na kuuhusu jeshi la ccm linalojiita jeshi la polisi, linapaswa kuelezwa kuwa yale wanayoyafanya leo ni sawa na last kicks of a dying horse.
kicheere, tungi kigamboni tanganyika territory including parts of lake nyasa/malawi

--- On Sun, 9/2/12, sharon sauwa <antisharo@yahoo.co.uk> wrote:

From: sharon sauwa <antisharo@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Nilipopokea Taarifa Za Kuuawa Kwa Mwenzetu Daud Mwangosi Nikiwa Hapa Iringa...
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, September 2, 2012, 11:20 AM

Kwa mujibu wa picha niliyoiona katika mtandao wa matukio hayo ni wazi kabisa kuna jambo ambalo limejificha ndani ya pazia maana bado ninajiuliza hivi hao polisi hawawafahamu waandishi wa habari wa mkoa wa Iringa?. Tusubiri waandishi waliokuwa katika tukio hilo waelezee kwa undani. Lakini kwa umoja wetu wote waandishi hiki ni kipindi cha kuungana kwa pamoja na kuangalia cha kufanya maana juzi moro,jana iringa kesho wapi tena kwa mauaji ya jinsi hii ambayo kwa kweli yanatia uchungu katika tansinia ya habari. RIP kamanda Daudi tutakukumbuka daima.
 On Sun, 2/9/12, makene tumaini <makene_84@yahoo.com> wrote:

From: makene tumaini <makene_84@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Nilipopokea Taarifa Za Kuuawa Kwa Mwenzetu Daud Mwangosi Nikiwa Hapa Iringa...
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, 2 September, 2012, 20:56

Kaka Maggid, labda sijakuelewa, taarifa ulizopewa hazikuelezea kabisa mazingira ya namna ambavyo mwanahabari mwenzetu Daudi Mwangosi uhai wake umekatiliwa wazi wazi kabisa, kwa makusudi. Ni ajabu kuwa masikitiko yako haya ambayo naamini ni ya dhati, hayaendi pamoja na kuusema ukweli wa kile kilichotokea, kama umepewa taarifa hizo, unless uwe hujawa well informed.

Mwangosi ameuwawa vibaya sana, Mungu atamlipia hapa hapa duniani. Pole za dhati kwa familia ya marehemu, ya watoto watano (nimeambiwa hivyo hapa) na mke mmoja.

--- On Sun, 9/2/12, maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

From: maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Nilipopokea Taarifa Za Kuuawa Kwa Mwenzetu Daud Mwangosi Nikiwa Hapa Iringa...
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Sunday, September 2, 2012, 5:17 PM

Ndugu zangu,

Jioni ya leo nikiwa katikati ya kufundisha soka ya vijana hapa Iringa nilipigiwa simu na ndugu yangu Allen,  Katibu Wa CHADEMA , Iringa,  akinitaarifu tukio la vurugu zilizotokea Nyololo, Mufindi na hata kifo cha Mwanahabari mwenzetu, mpiganaji  Daud Mwangosi ambaye pia  ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari hapa Iringa. Kuondoka kwake kutaacha pengo kubwa. Inasikitisha sana.  Ni juzi tu nilikutana na kusalimiana nae nje ya ofisi zake kwenye jengo la Mwamoto.

Pole zangu binafsi kwa familia yake ya karibu na mbali.  Tuko nao katika wakati huu mgumu kwao.
Chini hapa ni baadhi ya picha nilizopata kumpiga Daud Mwangosi katika uhai wake.
Maggid Mjengwa,
Iringa
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment